Kipindupindu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+picha
+kuepukana
Mstari 49:
}}</ref>
 
== KuepukaKuepukana kupatana Kipindupindu ==
* wakati wowote kunawa mikono kabla ya kutayarisha au kula chakula, kusafisha vyombo kama sahani, vikombe n.k.
* Maji ya choo yanayotokamana na wagonjwa wa maradhi ya kipindupindu yanapasa kupitia shimo za choo zilizohifadhiwa vizuri ili kuzuia usanbazaji wa bakteria. Vifaa vyote vinavyotumiwa na wagonjwa vinapaswa kuchemshwa kwa maji ya moto. Mikono inayoshika wagonjwa au nguo zao yanapaswa kuoshwa kwa sabuni.
* kuwa na akiba ya maji yaliyochemshwa pasipo na maji safi ya bomba
* kupika chakula vizuri maana halijoto juu ya 75 °C (hadi 85 mlimani) inaua bakteria; kumenya matunda yote.
*kufunika chakula maana inzi zinapitisha bakteria kwa miguu yao
* Maji ya choo yanayotokamana na wagonjwa wa maradhi ya kipindupindu yanapasa kupitia shimo za choo zilizohifadhiwa vizuri ili kuzuia usanbazajiusambazaji wa bakteria. Vifaa vyote vinavyotumiwa na wagonjwa vinapaswa kuchemshwa kwa maji ya moto. Mikono inayoshika wagonjwa au nguo zao yanapaswa kuoshwa kwa sabuni.
* Mikono inayoshika wagonjwa au nguo zao yanapaswa kuoshwa kwa sabuni.
* Mashimo ya choo yanapaswa kutiwa dawa za kuuwa bakteria kwa kutumia klorini.
 
* Maji yanafaa kuchemshwa kabla ya kutumiwa.
 
 
== Historia ==
Line 87 ⟶ 93:
{{Marejeo}}
 
*[http://kenya.thebeehive.org/sw/content/124/965 Maelezo ya kipindupindu na namna za kuikinga kwenye beehive.com (swa.)]
[[Jamii:Biolojia]]