Kipindupindu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kipindupindu''' (''kwa [[ing.Kilatini]] na [[Kiingereza]] ''cholera'' kutoka neno la [[Kigiriki]] χολέρα, kholera, lililotokana na χολή, kholē, [[nyongo]]) ni [[ugonjwa]] hatari unaosababishwa na [[bakteria]] hasa katika [[utumbo mwembamba]].

[[Dalili]] zake ni [[kuhara]] sana na [[kutapika]] sana pamoja na [[homa]] kali. Kuambukizwa hutokea hasa kupitia [[maji]] au vyakula vilivyochafuliwa. Kiwango cha kuhara na kutapika kinaleta upungufu wa maji na uwiano wa [[chumvi]] mwilini. Baada ya dalili hizo kutokea kuna hatari ya [[kifo]] kwa [[asilimia]] 20 - 70 ya wagonjwa kama hawana [[tiba]].
 
[[Picha:Cholera bacteria SEM.jpg|thumb|right|Bakteria wa ''Vibrio cholerae'']]<ref name=Sherris>
Line 18 ⟶ 20:
| isbn = 978-1-904455-33-2
}}</ref>
[[Picha:Distribution of the cholera.PNG|thumbnail|250px|Kutokea kwa kipindupindu duniani; Nyekundu: kinatokea mara kwa mara; Njano: kinatokea mara kadhaa; nyeupeNyeupe: kinatokea mara chache ]]
==Ambukizo==
Kipindupindu husababishwa na bakteria aina ya [[vibrioVibrio cholerae]] vinavyosababishazinazosababisha kuhara majimaji yenye rangi kama maji ya kupikia [[mchele]]. Bakteria hiihiyo ilitambuliwa mwaka [[1854]] na [[Filippo Pacini]]. [[Robert Koch]] alifaulu mwaka 1833[[1883]] kufuga bakteria kutokana na [[utumbo]] wa wagonjwa waliokufa kwa kipindupindu huko [[Misri]].
 
Kipindupindu hutokea hasa katika nchi pasipo na maji safi hasa ambako maji ya kunywa na maji ya [[choo]] yanaweza kuchanganywakuchanganyikana. Bakteria ya vibrio cholerae hupatikana hasa katika [[mavi]] na maji ya choo na pia katika maji ya [[bahari]], maziwama[[ziwa]] na mito kama maji machafu huingizwa katika magimbama[[gimba]] ya maji bila kusafishwa kablakwanza.
 
Vilevile [[samaki]] na vyakula vingine kutoka maji yenye bakteria haya zinachafuliwavinachafuliwa na zinawezavinaweza kusababisha [[ambukizo]]. Vilevile vyakula vinavyooshwa kwa maji yaliyochafuliwa na bakteria ya kipindupindu.
 
Katika mazingira penye maji ya bomba yaliyosafishwa na karakana ya kusafisha maji machafu kipindupindu hutokea mara chache tu. Kujulikana kwa njia za kuambukizwa kulikuwa sababu ya kuanzishwa na kugharamiwa kwa teknolojia hizi katika nchi nyingi.
 
Katika [[mazingira]] penyeyenye maji ya [[bomba]], yaliyosafishwa na [[karakana]] ya kusafisha maji machafu, kipindupindu hutokea mara chache tu. Kujulikana kwa njia za kuambukizwa kulikuwa sababu ya kuanzishwa na kugharamiwa kwa [[teknolojia]] hizihizo katika nchi nyingi.
 
== Matibabu ==
[[Picha:Cholera hospital in Dhaka.jpg|thumb|right|[[Hospitali]] mjini [[Dhaka]] inayoonyesha vitanda vya wanaougua ugonjwa wa kipindupindu]]
1. [[Mgonjwa]] hunyweshwa maji mengi, kwa ajilisababu [[mwili]] wake hupoteza maji mengi anapougua [[maradhi]] haya.
 
2. [[Dawa]] zinazojulikana kufanya kazi ni kama cotrimoxazole, erythromycin, doxycycline, chloramphenicol, na furazolidone.<ref>
 
{{cite web
Line 50 ⟶ 51:
 
== Kuepukana na Kipindupindu ==
* wakati wowote kunawa mikono kabla ya kutayarisha au kula chakula, kusafisha vyombo kama sahani, vikombe n.k.
* kuwa na akiba ya maji yaliyochemshwa pasipo na maji safi ya bomba
* kupika chakula vizuri maana halijoto juu ya 75 °C (hadi 85 mlimani) inaua bakteria; kumenya matunda yote.
*kufunika chakula maana inzi zinapitisha bakteria kwa miguu yao
* Maji ya choo yanayotokamana na wagonjwa wa maradhi ya kipindupindu yanapasa kupitia shimo za choo zilizohifadhiwa vizuri ili kuzuia usambazaji wa bakteria. Vifaa vyote vinavyotumiwa na wagonjwa vinapaswa kuchemshwa kwa maji ya moto.
* Mikono inayoshika wagonjwa au nguo zao yanapaswa kuoshwa kwa sabuni.
* Mashimo ya choo yanapaswa kutiwa dawa za kuuwa bakteria kwa kutumia klorini.
 
 
Kinga ni kama ifuatavyo:
* wakati wowote kunawa mikono kabla ya kutayarisha au kula chakula, kusafisha vyombo kama [[sahani]], [[vikombe]] n.k.
* kuwa na [[akiba]] ya maji yaliyochemshwa pasipo na maji safi ya bomba
* kupika [[chakula]] vizuri maana [[halijoto]] juu ya 75 °C (hadi 85 mlimani) inaua bakteria; kumenya matunda yote.
* kumenya ma[[tunda]] yote
* kufunika chakula maana inzi[[nzi]] zinapitishawanapitisha bakteria kwa miguu yao
* Majimaji ya choo yanayotokamana na wagonjwa wa maradhi ya kipindupindu yanapasa kupitia ma[[shimo]] zaya choo zilizohifadhiwayaliyohifadhiwa vizuri ili kuzuia [[usambazaji]] wa bakteria. Vifaa vyote vinavyotumiwa na wagonjwa vinapaswa kuchemshwa kwa maji ya moto.
* vifaa vyote vinavyotumiwa na wagonjwa vinapaswa kuchemshwa kwa maji ya moto
* Mikonomikono inayoshika wagonjwa au [[nguo]] zao yanapaswainapaswa kuoshwakunaniwa kwa [[sabuni.]]
* Mashimomashimo ya choo yanapaswa kutiwa dawa za kuuwakuua bakteria kwa kutumia [[klorini.]]
 
== Historia ==
Mnamo mwakamiaka [[1816]]-[[1826 ndio]] kulikuwa na '''[[janga]] la kwanza la kipindupindu''' mjinimkoani [[Bengal]], nchini [[India]]. [[Waingereza]] 10,000 na wenyeji [[IndiaWahindi]] walikufa.<ref>[http://www.earlyamerica.com/review/2000_fall/1832_cholera_part1.html The 1832 Cholera Epidemic in New York State], By G. William Beardslee.</ref>
 
Janga la '''pili la kipindupindu''' lilikuwa mnamo [[1829]]-[[1851]] iliyoeneakilipoenea nchini [[Urusi]], [[Hungaria]], [[Ujerumani]] na [[LondonUingereza]]. Zaidi ya watu 55,000 walikufa kutoka Uingereza pekee.<ref>[http://www.ph.ucla.edu/EPI/snow/pandemic1826-37.html Asiatic Cholera Pandemic of 1826-37].</ref> Mwaka wa [[1831]], watu 150,000 walikufa kutokana na janga hili nchini [[Misri]].<ref>[http://whqlibdoc.who.int/bulletin/1947-1948/Vol1-No2/bulletin_1948_1(2)_353-381.pdf Cholera Epidemic in Egypt (1947)].</ref>
 
Mwaka wa [[1849]], kipindupindu ilizukakilizuka tena kwa mara ya pili mjini [[Paris]].<ref>[http://www.oocities.com/CapitolHill/Congress/2807/irishfamine.html The Irish Famine].</ref> Mjini [[London]], watu 14,137 walikufa.
 
Miaka ya [[1961]]-[[1970]]: kulikuwa na janga lingine la kipindupindu nchini [[Indonesia]]. Ilianzia [[Afrika Kaskazini]] na kuenea hadi nchi ya [[Italia]]. Katika [[miaka ya 1970]], watu kidogo waliathirika kidogo nchini [[Ujapani]].
 
Mnamo [[1991]]-[[1994]] kulikuwa na janga lingine nchinihuko [[Marekani yaAmerika Kusini]], iliyosababishwalililosababishwa na [[meli]] iliyomwaga maji machafu. MjiniNchini [[Peru]], watu takriban 10,000 waliuawa.
 
Mwaka wa [[2000]], wagonjwa 1400014,000 waliripotiwa kuugua kutokana na kipindupindu. Takriban 87% waliripotiwa kutoka bara la [[Afrika]].<ref>[http://www.worldwaterday.org/wwday/2001/disease/cholera.html Disease fact sheet: Cholera]. IRC International Water and Sanitation Centre.</ref>
 
Julai - Desemba [[2007]]: [[ukame]] wa [[maji safisalama]] kwa ajili ya kunywa nchini [[Irak]] ilisababishaulisababisha tena janga la [[Kipindupindu]]kipindupindu.<ref>{{cite news |first= |last= |authorlink= |author= |coauthors= |title=U.N. reports cholera outbreak in northern Iraq |url=http://www.cnn.com/2007/WORLD/meast/08/29/iraq.cholera/index.html |work= |publisher=CNN |id= |pages= |page= |date= |accessdate=2007-08-30 |quote= }}</ref> Watu 22 walifariki.<ref>[http://www.guardian.co.uk/world/2007/dec/02/iraq.davidsmith Cholera crisis hits Baghdad], The Observer, 2 Desemba 2007.</ref>
 
Mnamo Agosti [[2007]] mjinijimboni [[Orissa]], [[India.]], Zaidizaidi ya watu 2,000 walilazwa hospitalini.<ref>[http://news.bbc.co.uk/2/hi/south_asia/6968281.stm Cholera death toll in India rises], BBC News.</ref>
 
Machi - Aprili [[2008]]: Watuwatu 2,490 walilazwa hospitalini mjininchini [[Vietnam]] kutokamanakutokana na janga la kipindupindu.<ref>[http://www.who.int/cholera/countries/VietNamCountryProfile2008.pdf Cholera Country Profile: Vietnam]. WHO.</ref>
 
== Waathirika Maarufumaarufu ==
*[[George Bradshaw]]
*[[Nicolas Léonard Sadi Carnot]]
*[[Charles X ofwa FranceUfaransa]]
*[[Juan de Veramendi]]
*[[John Blake Dillon]]
*[[Alexandre Dumas, pèremzee]], [[mwandishi]] wa [[Kifaransa]] aliyeandika [[kitabu]] cha "The Three Musketeers"
*Mary Abigail Fillmore, [[mtoto]] wa [[rais]] wa [[Marekani:]] [[Millard Fillmore]]
*[[James K. Polk]], rais wa kumi na moja wa Marekani
*[[Pedro V]], [[Mfalme]] wa nchi ya Portugal[[Ureno]]
 
== MarejeoTanbihi ==
{{Marejeo}}
 
==Viungo vya nje==
*[http://kenya.thebeehive.org/sw/content/124/965 Maelezo ya kipindupindu na namna za kuikingakujikinga kwenye beehive.com (swa.)]
 
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Maradhi]]