Ralph Bunche : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 35 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q213500 (translate me)
d (Script) File renamed: File:Bunche.jpgFile:Ralph Bunche, 1951.jpg this is not Bunche Park, Florida
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Ralph Bunche, 1951.jpg|thumbnail|Ralph Bunche (1951)]]
'''Ralph Johnson Bunche''' ([[7 Agosti]] [[1904]] – [[9 Desemba]] [[1971]]) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya [[Marekani]]. Mwaka wa [[1950]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani''' kwa vile aliwasaidia [[Waarabu]] na [[Waisraeli]] kusimamisha vita yao kwa muda kule [[Palestina]] mwaka wa 1949.