Pai (herufi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q168 (translate me)
extracted to Pi (namba)
Mstari 4:
 
Katika [[Ugiriki ya Kale]] ilihesabiwa pia kama namba "80".
 
== Namba ya duara ==
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika [[hesabu]] na [[fisikia]]. Imejulikana hasa kama namba ya [[duara]] kwa thamani ya 3.1415926535897932384626433832795028841....
 
22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.
 
Wanahisabati duniani husheherekea [[sikukuu ya Pi]] tarehe [[14 Machi]] au pia [[22 Julai]].
 
[[Jamii:Mwandiko]]
[[Jamii:Namba]]
[[Jamii:Alfabeti ya Kigiriki]]