Pai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Pi eq C over d.svg|alt=A diagram of a circle, with the width labeled as diameter, and the perimeter labeled as circumference|thumb|right|Uwiano wa [[urefu]] wa [[mzunguko]] na ule wa [[kipenyo]] ni 3 na kitu. Uwiano kamili unaitwa π, pi.]]
'''Pi''' ni [[namba]] ya [[duara]].
'''Pi''' ([[jina]] la [[herufi]] ya [[Kigiriki]] '''π''') ni [[namba]] ya [[duara]] kwa maana ya [[uwiano]] wa [[urefu]] wa [[mzunguko]] na ule wa [[kipenyo]].
 
Jinsi ilivyo kawaida kwa [[herufi]] mbalimbali za [[Kigiriki]], Pi pia inatumika kama [[kifupisho]] kwa ajili ya [[maarifa]] na [[dhana]] za [[hesabu]] na [[fisikia]].
 
Imejulikana hasa kama namba ya duara kwaina thamani ya 3.1415926535897932384626433832795028841....
 
22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.