Calvin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 17:
Baada ya wakimbizi wengi kuhamia Geneva, uchaguzi mpya uliwezesha kufukuza toka mji huo waliompinga Calvin.
 
Miaka yake ya mwisho aliitumia kueneza matengenezo yake kote [[Ulaya]], akiacha nyuma yake madhehebu ya [[Reformed]], [[Congregationalists]] na [[Presbyterians]], ambayo leo yana jumla ya waamini zaidi ya milioni 80, wengi wao wakiwa wameunganika katika "[[World Communion of Reformed Churches]]".
 
Calvin alitetea kwa [[ukali]] misimamo yake na kusababisha mabishano mengi.