Trekta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 16:
 
==Magurudumu makubwa==
Trekta inahitaji magurudumu makubwa kwa ajili ya kazi kwenye shamba pasipo na barabara ili ipite kwenye ardhi laini na matope shambani. Trekta ndogo huwa na magurudumamagurudumu makubwa ya nyuma inayosukumwayanayosukumwa na injini yake. Magurudumu makubwa yanatumia nguvu ya injini vizuri zaidi kuliko magurudumu madogo lakini hayaruhusu mkasikasi waya haraka hivyo matrekta yana mwendo wa polepole kuliko magari mengine.
 
Trekta za kisasa mara nyingi huwa na [[giaboksi]] inayopeleka nguvu kwakwenye magurudumu yote manne.
[[Picha:TractorPoweringWaterpump.jpg|350px|thumbnail|right|Trekta iliyounganishwa na mkono wa kuinulia mizigo na pampu ya maji]]
==Vifaa vya kuunganishwa na trekta==
Trakta huwa pia na nafasi za kuongeza mashine, vifaa na [[zana za kilimo]] mbalimbali. Kwa kusudi hii trekta huwa pia huwa na pampu ya [[haidroliki]]. Nguvu ya haidroliki hutumiwa mara nyingi kwa kuegesha mkono wa mbele wa kuinulia mizigo juu, kwa mfano juu ya trela.
 
Mifano ya zanaa zinazopokea nguvu kutoka trekta ni [[mashine ya kukafulia]] au [[mashine ya kukatia majani].