Tofauti kati ya marekesbisho "Yosia"

609 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|Mfalme Yosia katika ibada hekaluni '''Yosia''', kwa Kiebrania יֹאשִׁיָּהוּ, Yoshiyyáhu|Yôšiyyāhû, maana ya...')
 
|page=386
}} entry "Josiah"
</ref>; kwa [[Kigiriki]] Ιωσιας; kwa [[Kilatini]] Josias}}; ([[649 KK]] – [[609 KK]]) alikuwa [[mfalme]] wa [[Yuda]] ([[641 KK]] – 609 KK) aliyejitahidi kufanya [[urekebisho]] upande wa [[dini]] ya [[Israeli]] ili kufuata zaidi [[Torati]] iliyoelekea kukamilika.
 
==Familia==
Mwana wa mfalme [[Amon]] na [[Jedidah]]<ref name=je>[http://www.jewishencyclopedia.com/articles/8926-josiah "Josiah", ''Jewish Encyclopedia'']</ref>, Yosia alirithi utawala akiwa [[mtoto]] wa miaka 8 tu, kutokana na [[uuaji]] wa [[baba]] yake, akatawala miaka 31,<ref>[[2Fal]] 22:1; 2Fal 21:23-26; 2Fal 21:26</ref> kuanzia 641/[[640 KK]] to [[610 KK]]/609 KK.<ref>Edwin Thiele, ''[[The Mysterious Numbers of the Hebrew Kings]]'', (1st ed.; New York: Macmillan, 1951; 2d ed.; Grand Rapids: Eerdmans, 1965; 3rd ed.; Grand Rapids: Zondervan/Kregel, 1983). ISBN 0-8254-3825-X, 9780825438257, 217.</ref>
 
Anatajwa pia katika [[Injili ya Mathayo]] kama [[babu]] wa [[Yesu]].
 
YosiaLakini anajulikananje tu katikaya [[Biblia]]. Nje yake hatajwi popote.<ref name="Alpert">{{cite book |last1=Alpert |first1=Bernard |last2=Alpert |first2=Fran |year=2012|title=Archaeology and the Biblical Record|publisher=Hamilton Books|ISBN=978-0761858355|page=74}}</ref>
==Familia==
Yosia anajulikana tu katika [[Biblia]]. Nje yake hatajwi popote.<ref name="Alpert">{{cite book |last1=Alpert |first1=Bernard |last2=Alpert |first2=Fran |year=2012|title=Archaeology and the Biblical Record|publisher=Hamilton Books|ISBN=978-0761858355|page=74}}</ref>
 
Babu yake, [[Manase]] anatajwa na Biblia kama mmojawapo kati ya wafalme waovu zaidi wa [[ukoo wa Daudi]] kwa jinsi alivyoelekeza [[raia]] zake kuacha [[ibada]] ya [[Mungu mmoja]] mmoja ili kufuata dini za mataifa makuu ya wakati huo, hata kutumia [[Hekalu la Yerusalemu]], kinyume cha [[uaminifu]] wa baba yake [[Hezekia]].
 
Yosia alizaa watoto wa kiume wanne: [[Yohane]], [[Yehoyakimu|Eliakimu]]<ref>[http://www.biblegateway.com/passage/?search=2+Kings+23%3A34&version=KJV 2 Kings 23:34]</ref>, [[Zedekia|Matania]] na [[Yehoahazi wa Yuda|Shallum]].<ref>[[1Nya]] 3:15; 2Fal 23:36; 2Fal 24:18; 2Fal 23:31</ref>
 
Kwanza Shallum alimrithi Yosia kwa jina la [[Yehoahazi wa Yuda|Yehoahazi]].<ref>1Nya 3:15; [[Yer]] 22:11</ref> lakini baada ya miezi tu nafasi yake ilishikwa na Eliakimu kwa jina la [[Yehoyakimu]],<ref>2Nya 36:4;</ref> halafu na mtoto wa huyo, [[Yekonia]];<ref>2Nya 36:8</ref> hatimaye alitawala Mattania kwa jina la [[Zedekia]].<ref>2Fal 24:17</ref> Huyo akawa malme wa mwisho wa Yuda kwa kushindwa na [[Babuloni]] akapelekwa uhamishoni huko pamoja na Wayahudi wengi mwaka [[586 KK]].
 
==Urekebisho==
[[File:Close-Up.jpg|thumb|right|220px|Ua wa ndani wa [[Hekalu la Solomoni]].]]
Kwa miaka 13 tu ([[622 K.K.|622]] - [[609 K.K.]]) [[Yosia]] alifanya urekebisho wa kidini kuanzia [[Yerusalemu]] hadi kwa mabaki ya [[Waisraeli]] wa kaskazini, akizuia wote wasiabudu miungu mingine wala wasimtolee Mungu [[sadaka]] nje ya [[hekalu la Yerusalemu]].
 
Kipindi hicho [[mji mkuu]] wa [[Ashuru]] uliangamizwa alivyotabiri kwa [[furaha]] [[nabii Nahumu]] ([[612 KK|612]] hivi K.K.).
 
Lakini mambo yakaharibika haraka sana Yosia alipokufa [[vita]]ni kabla ya wakati, kwa sababu urekebisho ulitokana zaidi na [[juhudi]] zake binafsi.
 
==Tanbihi==
*[http://www.jewishvirtuallibrary.org/jsource/judaica/ejud_0002_0011_0_10368.html Jewish Virtual Library Josiah]
 
{{mtu-Biblia}}
 
[[Category:Wafalme wa Yuda]]
[[Category:Waliozaliwa 648 KK]]
[[Category:Waliofariki 609 KK]]
[[Category:Watu wa Biblia]]
[[Category:Wafalme wa Yuda]]