Yosia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
|page=386
}} entry "Josiah"
</ref>; kwa [[Kigiriki]] Ιωσιας; kwa [[Kilatini]] Josias; ([[649 KK]] – [[609 KK]]) alikuwa [[mfalme]] wa [[Yuda]] ([[641 KK]] – 609 KK) aliyejitahidi kufanya [[urekebisho]] upande wa [[dini]] ya [[Israeli]] ili kufuata zaidi [[Torati]] iliyoelekea kukamilika. wakati huo.
 
Hasa alitumia nguvu zake zote kutekeleza agizo la gombo lililopatikana mwaka [[622 KK]] likidai [[sadaka]] zote zitolewe katika [[hekalu]] la [[Yerusalemu]] tu, kadiri ya msimamo wa [[Kumbukumbu la Torati]]: "Mungu mmoja, hekalu moja".
 
Ndiyo maana [[Biblia]] inamsifu kwa namna ya pekee pamoja na [[Hezekia]] kati ya wafalme wote wa [[Israeli]] na [[Yuda]], mbali na [[Daudi]] aliyebaki [[kielelezo]] cha kudumu cha mtawala aliyempeneza [[Mungu]].
 
==Familia==