Tofauti kati ya marekesbisho "Yosia"

84 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
 
==Familia==
Mwana wa mfalme [[Amon]] na [[Jedidah]]<ref name=je>[http://www.jewishencyclopedia.com/articles/8926-josiah "Josiah", ''Jewish Encyclopedia'']</ref>, Yosia alirithi utawala akiwa [[mtoto]] wa miaka 8 tu, kutokana na [[uuaji]] wa [[baba]] yake, akatawala miaka 31,<ref>[[2Fal]] 22:1; 2Fal 21:23-26; 2Fal 21:26</ref> kuanzia 641/[[640 KK]] tohadi [[610 KK]]/609 KK.<ref>Edwin Thiele, ''[[The Mysterious Numbers of the Hebrew Kings]]'', (1st ed.; New York: Macmillan, 1951; 2d ed.; Grand Rapids: Eerdmans, 1965; 3rd ed.; Grand Rapids: Zondervan/Kregel, 1983). ISBN 0-8254-3825-X, 9780825438257, 217.</ref>
 
Anatajwa pia katika [[Injili ya Mathayo]] kama [[babu]] wa [[Yesu]].
Babu yake, [[Manase]] anatajwa na Biblia kama mmojawapo kati ya wafalme waovu zaidi wa [[ukoo wa Daudi]] kwa jinsi alivyoelekeza [[raia]] zake kuacha [[ibada]] ya [[Mungu]] mmoja ili kufuata dini za mataifa makuu ya wakati huo, hata kutumia [[Hekalu la Yerusalemu]], kinyume cha [[uaminifu]] wa baba yake [[Hezekia]].
 
Yosia alizaa watoto wa kiume wanne: [[Yohane]], [[Yehoyakimu|Eliakimu]]<ref>[http://www.biblegateway.com/passage/?search=2+Kings+23%3A34&version=KJV 2 Kings 23:34]</ref>, [[ZedekiaSedekia|Matania]] na [[Yehoahazi wa Yuda|ShallumShalumu]].<ref>[[1Nya]] 3:15; 2Fal 23:36; 2Fal 24:18; 2Fal 23:31</ref>
 
Kwanza ShallumShalumu alimrithi Yosia kwa jina la [[Yehoahazi wa Yuda|Yehoahazi]].<ref>1Nya 3:15; [[Yer]] 22:11</ref> lakini baada ya miezi tu nafasi yake ilishikwa na Eliakimu kwa jina la [[Yehoyakimu]],<ref>2Nya 36:4;</ref> halafu na mtoto wa huyo, [[Yekonia]];<ref>2Nya 36:8</ref> hatimaye alitawala MattaniaMatania kwa jina la [[ZedekiaSedekia]].<ref>2Fal 24:17</ref> Huyo akawa malmemfalme wa mwisho wa Yuda kwa kushindwa na [[Babuloni]] aliyoisaliti, akapelekwa uhamishoni huko pamoja na Wayahudi wengi mwaka [[586 KK]].
 
==Urekebisho==
Kipindi hicho [[mji mkuu]] wa [[Ashuru]] uliangamizwa alivyotabiri kwa [[furaha]] [[nabii Nahumu]] ([[612 KK|612]] hivi K.K.).
 
Lakini mambo yakaharibika haraka sana Yosia alipokufa [[vita]]ni kabla ya wakati mambo yakaharibika haraka sana, kwa sababu urekebisho ulitokana zaidi na [[juhudi]] zake binafsi, mbali ya kuungwa mkono na watu wachache kama [[nabii]] [[Yeremia]].
 
==Tanbihi==