Sedekia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|220px|Sedekia alivyochorwa na [[Guillaume Rouillé katika ''Promptuarii Iconum Insigniorum'']] '''Sedekia''' (kwa Kiebrania צ...'
 
No edit summary
 
Mstari 4:
Alikuwa [[mwana]] wa mfalme [[Yosia]] na kuitwa awali Matania.
 
Kisha kuwekwa madarakani na [[Nebukadneza II]], mfalme wa [[BabiloniaBabuloni]], kwa [[kiapo]] cha kuwa mwaminifu kwake, aliasi na kusababisha [[Yerusalem]] izingirwe tena na [[jeshi]] na hatimaye itekwe na kuteketezwa mwaka [[597 KK]].
 
Ilitokea hivyo kwa sababu Sedekia alishindwa kutekeleza maelekezo aliyopewa na [[nabii]] [[Yeremia]], ambaye [[utabiri]] wake ulitimia daima, lakini mfalme aliogopa ma[[waziri]] wake waliomuendesha walivyotaka. Kwa kushindwa kutii [[Neno la Mungu]] na kwa kuvunja kiapo chake, [[Biblia]] inamhukumu kwamba "alitenda yaliyo mabaya mbele ya Bwana". ([[2Fal]] 24:19-20; [[Yer]] 52:2-3)
Mstari 15:
== Viungo vya nje ==
{{commons category}}
 
{{mbegu-mtu-Biblia}}
 
[[Category:Watu wa Biblia]]
[[Category:Wafalme wa Yuda]]
[[Category:6th-centuryHistoria BCya biblical rulersIsraeli]]