Mtume Thoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q43669 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Mitume 12 wa Yesu}}
{{Yesu Kristo}}
'''Thoma''' au '''Didimo''', yaani '''[[Pacha]]''' nialikuwa [[jinaMyahudi]] lawa [[karne ya 1]], mmojawapo kati ya [[Mitume wa Yesu]] anayeheshimiwa kama [[mtakatifu]], kwa namna ya pekee na [[Ukristo|Wakristo]] wa maeneo yaliyokuwa [[mashariki]] kwa [[Dola la Roma]], kuanzia [[Iraq]] hadi [[India]].
 
Inawezekana kwamba sababu yake ni [[kazi]] alizofanyaza [[utume]] alizozifanya huko hadi [[kifodini]] chake huko [[Chennai]] ([[Tamil Nadu]]) mwaka [[72]].
'''Thoma''' au '''Didimo''', yaani '''[[Pacha]]''' ni [[jina]] la mmojawapo kati ya [[Mitume wa Yesu]] anayeheshimiwa kama [[mtakatifu]], kwa namna ya pekee na [[Ukristo|Wakristo]] wa maeneo yaliyokuwa mashariki kwa [[Dola la Roma]], kuanzia [[Iraq]] hadi [[India]].
 
==Chanzo cha umaarufu wake==
Inawezekana kwamba sababu yake ni kazi alizofanya huko hadi [[kifodini]] chake huko [[Chennai]] ([[Tamil Nadu]]) mwaka [[72]].
Alikuwa mtu mwenye [[tabia]] ya pekee iliyomvutia umaarufu hadi leo. Hasa alielekea kukata tamaa, kupinga [[hoja]] na kutosadiki kwa urahisi.
 
Alikuwa mtu mwenye [[tabia]] ya pekee iliyomvutia umaarufu hadi leo. Hasa alielekea kukata tamaa, kupinga hoja na kutosadiki kwa urahisi. Hata hivyo, [[Injili ya Yohane]] ambayo ndiyo inayomzungumzia zaidi katika [[Biblia ya Kikristo]], inaripoti jibu lake la mwisho kwa [[Yesu]] mfufuka kama ifuatavyo(Yoh 20:28): "Bwana wangu na Mungu wangu"!
 
==Marejeo==
Line 31 ⟶ 34:
* [http://ocafs.oca.org/FeastSaintsViewer.asp?FSID=148985 Icon of the Mother of God Arapet (Arabian)] Orthodox icon and synaxarion for 6 Septemba
 
{{Mbegumbegu-Mkristomtu-Biblia}}
 
[[Jamii:Waliofariki 72]]
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Wafuasi wa Yesu]]
[[Jamii:Mitume katika Ukristo]]
[[Jamii:Watakatifu wa Israeli]]