Masatoshi Koshiba : Tofauti kati ya masahihisho

Mwanafizikia wa Kijapani na mnajimu (1926-2020)
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Masatoshi Koshiba''' (amezaliwa 19 Septemba, 1926) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichungu...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:01, 20 Juni 2014

Masatoshi Koshiba (amezaliwa 19 Septemba, 1926) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza mabo ya nyota, pia anajulikana kwa kutatua fumbo la nyutrino za jua. Mwaka wa 2002, pamoja na Raymond Davis na Riccardo Giacconi, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Masatoshi Koshiba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.