Vitali Ginzburg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Vitali Lazarevich Ginzburg''' (4 Oktoba, 1916 - 8 Novemba, 2009) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ur...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:52, 20 Juni 2014

Vitali Lazarevich Ginzburg (4 Oktoba, 1916 - 8 Novemba, 2009) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza usumaku na mionzi kutoka nyota. Mwaka wa 2003, pamoja na Alexei Abrikosov na Anthony Leggett, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vitali Ginzburg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.