Wawanji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kusanifisha kiasi umbo la makala, yaliyomo bado kusanifishwa
Mstari 1:
'''Wawanji''' ni kabila kutoka eneo la [[Makete]], katika milima [[Kipengere]] ya [[Mkoa wa Iringa]], sehemu ya kusini ya nchi [[Tanzania]]. Mwaka 2003 idadi ya Wawanji ilikadiriwa kuwa 28,000<ref>[http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=wbi Vwanji. A language of Tanzania.]</ref>. Lugha yao ni [[Kiwanji]].wawanji Wawanji ni moja ya makabila yaliopo wilayani maketeMakete, wawanjiWawanji ni majirani kabisa wa kabila la kikingaWakinga, asilimia kubwa ya wawanyiWawanji wapo sehemu za ikuwoIkuwo na Matamba maarufu kwa bonde la uwanjiUwanji. wawanjiWawanji na wakingaWakinga wamepakanishwa na hifadhi ya kituloKitulo.
 
HISTORIA YA WAWANJI
==Historia ya Wawanji==
Katika mahijiano niliwahi fanya na ASKOFUaskofu WAJ KILUTHERImbwilu wa dayosisi ya kusini mrkanisa J.la Mbwilokiluteri, aliniambia kuwa wawanjiWawanji walitokea Dodoma katika kabila la wagogo, uthubitishouthibitisho wa hilo ni majina mengi ya koo za kigogo na kiwanji zinafanana bali tofauti ipo katika utamkaji ambayo hiyo iliathiriwa na rafudhi ya mahali walipofika wa wazee wazamani walipotoka ugogoni kwenda kusini mwa tanzania wilayani makete. kwamfano wagogo wana Msemwa ila wawanji wana Nsemwa, wagogo wana Mgogo ila wawanji wana Ngogo, wagogo wana Mkinda ila wawanji wna Nkinda, hii inaonyesha jinsi gani asili ya watu hawa ilivyo moja, ila imebadilika baada ya uhamaji ambao ni moja yatabia ya viumbe hai. kwamaana hiyo ukitaka kuita jina la koo za kiwanji mengi yaoyanaanzayanoyanaanza na N'.......
MAHUSIANO YA WAWANJI NA MAKIBILA MENGINE
 
Kwa uchunguzi uliofanyika kwa kipindi kirefu umebaini kuwa wawanji ni watu wenye ukarimu sana na kupokea wageni wa aina yoyote bila ubaguzi, uthubitisho wahili unathibitika pale wanapoonekana kuishi vyema na makabila ya lio wazunguka kama wakinga ,wabena , wanyakyusa, wasafwa nawengine na pia wanaweza kuoana na makibaratote tanzania bila kipingamizi
==Mahusiano ya Wawanji na makabila mengine==
pia ukarimu huu ulioneka na miaaka mingi iliopita kwani mababu waliotoka ugogoni waliishi vyemana makibila jirani kiasi cha kusahau lugha yao ya kigogo na kuunda lugha mpya ya kiwanji yenye misamiati ambukizi toka makabira jirani haswa wanyakyusa
Kwa uchunguzi uliofanyika kwa kipindi kirefu umebaini kuwa wawanji ni watu wenye ukarimu sana na kupokea wageni wa aina yoyote bila ubaguzi, uthubitishouthibitisho wahili unathibitika pale wanapoonekana kuishi vyema na makabila ya lio wazunguka kama wakinga ,wabena , wanyakyusa, wasafwa nawengine na pia wanaweza kuoana na makibaratote tanzania bila kipingamizi
mwisho makabira jirani huamini kuwa huwezi fika nyumbani kwa muwanji ukaondoka bila chakula na pia kama ukienda na chakula chako basi mtakila wote na weweutakula chakula chao.
 
piaPia ukarimu huu ulioneka na miaaka mingi iliopita kwani mababu waliotoka ugogoni waliishi vyemana makibila jirani kiasi cha kusahau lugha yao ya kigogo na kuunda lugha mpya ya kiwanji yenye misamiati ambukizi toka makabira jirani haswa wanyakyusa
 
mwishoMwisho makabira jirani huamini kuwa huwezi fika nyumbani kwa muwanji ukaondoka bila chakula na pia kama ukienda na chakula chako basi mtakila wote na weweutakulawewe utakula chakula chao.
 
 
Line 16 ⟶ 20:
 
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[jamii:makala yenye mashaka]]