Madagaska : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuondoa vigezo visivyofaa na vinginevyo
No edit summary
Mstari 54:
|}
 
[[Picha:Madagascar-carte.png|thumb|right|200px|MadagascarMadagaska]]
 
'''Jamhuri ya Madagaska''', au '''Madagaska''' (pia: '''Bukini'''), ni [[kisiwa]] cha [[Bahari Hindi]] [[mashariki]] kwa [[pwani]] ya [[Afrika]].
'''Jamhuri ya Madagaska''', au '''Madagaska''' (pia: '''Bukini'''), ni kisiwa katika [[Bahari Hindi]] mashariki ya pwani la [[Afrika]]. Kisiwa chenyewe, ambacho chajulikana kama Madagaska, ni mojawapo ya visiwa vikubwa duniani na [[Orodha ya visiwa|ni kisiwa cha nne kwa ukubwa duniani]]. Kisiwa hiki cha Madagaska pia ni Mazingira makubwa ya aina ya [[violezo]], Violezo asilimia 5 ya [[mimea]] na [[Wanyama]] wa Dunia, asilimia 80 yenyewe ni ya kifani kwa Madagaska. Kwa wana [[biolojia ya mazingira]] mambo ya [[violezi kifani]] ni kama aina ya tumbili [[lemur]], ndege ambao wasambukiza ugonjwa na [[baobab|mti wa baobab]]. Jina Madagaska latoka kutoka Jina la wenyeji , [[Malagasi|Wamalagasi]] ambayo waongea [[Wamalagasi|Kimalagasi]].
 
Kisiwa chenyewe, ambacho kinajulikana kama Madagaska, ni [[Orodha ya visiwa duniani|kisiwa cha nne kwa ukubwa duniani]].
 
Kisiwa hicho ni pia [[mazingira]] makubwa ya aina ya [[violezo]] ambayo ni asilimia 5 ya violezo vyote vya [[mimea]] na [[wanyama]] vya [[dunia]]. Asilimia 90 ya viumbe asili ni maalumu ya Madagaska, kama vile wanyama aina ya [[tumbili]] wanaoitwa [[lemur]], [[ndege]] ambao wasambukiza [[ugonjwa]] na [[mti]] wa [[mbuyu]].
 
=== MwendoJina ===
Jina Madagaska lina maana ya "Kisiwa kikubwa" na linatoka katika jina la wenyeji, [[Wamalagasi]] ambao waongea [[Kimalagasi]].
 
== Historia ==
Madagaska ni kati ya maeneo ya mwisho kufikiwa na kukaliwa na [[binadamu]]. Wa kwanza walitokea visiwa vya [[Indonesia]] (kama mwaka [[350]]-[[550]] [[BK]]). Baadaye tu walihamia watu kutoka [[bara]] la Afrika (mwaka [[1000]] hivi) na wengineo ([[Waarabu]], [[Wahindi]], [[Wazungu]], [[Wachina]] n.k.).
 
== Siasa ==
 
=== Serikali ===
 
== Jiografia ==
{{seealso|Mikoa ya Madagaska|Orodha ya miji ya Madagaska}}
Upekee wa kisiwa unatokana na kwamba kilimeguka kutoka [[India]] miaka milioni 88 hivi iliyopita, halafu kilibaki bila watu hadi [[karne ya 5]] hivi BK.
 
== EcologiaEkolojia ==
 
== Uchumi ==
 
== Uhusiano wana Kigenichi za kigeni ==
 
== Watu ==
[[File:Madagascar Kids 5 (4814978342).jpg|thumb|Mtoto wa Kimalagasi anayeonyesha kuwa na mchanganyiko wa damu.]]
Mwaka [[2012]] idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa milioni 22. Wenyeji wengi wana mchanganyiko wa [[damu]]: [[DNA]] inaonyesha kuwa wakazi wa kwanza kutoka Indonesia wameichangia asilimia 50 hivi na Waafrika vilevile. Wanaoishi sehemu za ndani ni wa Kiindonesia zaidi, wakati wale wa pwani ni wa Kiafrika zaidi.
 
=== Lugha ===
[[Lugha rasmi]] za Madagaska ni Kimalagasi na [[Kifaransa]].
 
=== Dini ===
Nchini Madagaska kuna [[dini za jadi]] (52% hivi), [[Ukristo]] (41%, [[Waprotestanti]] wakiwazidi kidogo [[Wakatoliki]]), [[Uislamu]] na(7% Ukristohivi) n.k.
 
== Utamaduni ==
Pamoja na kutokea mazingira tofauti sana, Wamalagasi wamechanganyikana sana na kuwa na [[utamaduni]] na lugha aina moja, ya Kiindonesia zaidi.
 
== UtambuziMiundo ==
 
== Miungano ya nje ==
=== Serikali ===
 
=== Habari ===
 
=== Maangalizi ===
=== Mwendo ===
=== Utalii ===
 
 
{{Afrika}}
 
{{mbegu-jio-Afrika}}
 
[[Jamii:Madagaska|*]]