Tofauti kati ya marekesbisho "Wakatoliki wa Kale"

286 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 34 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5169816 (translate me))
[[Image:Sint-Gertrudiskathedraal.JPG|thumb|[[Kanisa kuu]] la Mt. [[Gertrude]] huko [[Utrecht]], [[Uholanzi]]. Ni mama wa ma[[kanisa]] yote ya Wakatoliki wa Kale.]]
'''Wakatoliki wa Kale''' ni jina linalotumika kujumlisha [[Ukristo|Wakristo]] wa Magharibi ambao wametengana na [[Askofu wa Roma]] hasa baada ya [[Mtaguso wa kwanza wa Vatikano]] ([[1869]]-[[1870]]) kutangaza [[dogma]] ya [[Papa]] [[kutoweza kukosea]] anapotamka rasmi jambo fulani kama fundisho la kudumu moja kwa moja.
 
Wakristo hao walijipatia [[Uaskofuuaskofu]] halisi katika [[mlolongo wa Mitume]] kupitia [[Askofu]] wa [[Utrecht]] mwaka [[1873]], na baada ya hapo waliusambaza kwa [[madhehebu]] mengi, ambayo mengine kwa sasa hayana [[ushirika]] nao.
 
[[Imani]] na [[liturujia]] zao zinafanana na zile za [[Kanisa Katoliki]], lakini taratibu zimekwenda mbali.
 
Baadhi ya Makanisa ya namna hiyo yanaunda "[[Umoja wa Utrecht]]" ulioanzishwa mwaka [[1889]] na kuwa na waamini 115,000 duniani mwaka [[2013]].
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Ukristo]]