Jumapili : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 179 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q132 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Jumapili''' ni [[siku]] ya kwanza katika [[juma]] (wiki) ya siku saba yenye asili ya [[Uyahudi|
Kwa [[Wakristo]] walio wengi ni siku ya sala za pamoja == Kiswahili, Kiarabu na utamaduni wa Kiislamu ==
Katika [[lugha]] ya [[Kiswahili]] jina la siku lina namba "2" ndani yake.
[[Tabia]] hii katika Kiswahili ni ya pekee, hasa kwa sababu [[Kiarabu]], ambacho ni lugha ya [[Korani]] takatifu na lugha ya kimataifa ya [[Waislamu]], kinafuata hesabu ya Kiyahudi na kuiita siku "al-ahad" yaani "ya kwanza". == Siku ya jua, siku ya Bwana, siku ya ufufuo ==
Katika [[lugha za Kigermanik]] siku hii ina jina la "[[jua]]". Lugha
Kundi lingine la lugha linatumia
Lugha ya [[Kirusi]] inaita siku hii "voskresenye" yaani siku ya
== Uzoefu wa Kikristo ==
Wakristo wa [[madhehebu]] mengi (isipokuwa [[Wasabato]]) wanatazama Jumapili kama siku ya
Sababu ya badiliko hilo lilitokea tangu [[karne ya 1]] ni Kadiri Wakristo wa mwanzo walivyozidi kushindana na Wayahudi wasiomuamini Yesu, walizidi kuzingatia Jumapili kuliko Jumamosi, hasa baada ya kufukuzwa kutoka ma[[sinagogi]] katika [[miaka ya 80]] BK.
== Jumapili katika lugha mbalimbali ==
Line 43 ⟶ 51:
|-
|}
{{Siku za juma}}
|