Hans Krebs : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 39 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q57191 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[File:Hans Adolf Krebs.jpg|thumb|Hans Adolf Krebs]]
 
'''Hans Adolf Krebs''' ([[25 Agosti]] [[1900]] – [[22 Novemba]] [[1981]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Mwaka wa 1933, kwa vile wazazi wake walikuwa [[Wayahudi]] alilazimishwa kuhamia [[Uingereza]]. Hasa alichunguza athari za kikemia ndani ya [[chembe hai]]. Mwaka wa [[1953]], pamoja na [[Fritz Lipmann]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''. Mwaka wa [[1958]] alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.