Alberto Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 23:
Mwaka [[1223]], baada ya kusikia hotuba ya [[Jordano wa Saksonia]], [[mwalimu mkuu]] wa pili katika historia ya [[Shirika la Wahubiri]], alijiunga na utawa huo ulioanzishwa na [[Dominiko Guzman]]. Jordano mwenyewe alimvika [[kanzu]] ya shirika.
 
Alipomaliza masomo yake, ama Padova ama kwingine, na kupata [[upadrisho]], alitumwa kufundisha [[teolojia]] katika vituo vya shirika[[teolojia]] vilivyounganika na [[konventi]] za shirika huko [[Hildesheim]], [[Freiburg in Brisgau]], [[Regensburg]], [[Strasburg]] na [[Cologne]] mmoja kati ya miji mikuu ya mikoa, ambapo aliishi kwa awamu kadhaa na hatimaye ukawa mji wake.
 
Akiwa katika [[konventi]] ya mji huo, akisoma ''[[Liber Sententiarum]]'' ya [[Petro Lombardo]] mwaka [[1245]], aliagizwa kwenda [[Paris]] ([[Ufaransa]]) alipojipatia [[digrii]] katika kituo kikuu chakecha huko, maarufu kuliko vyote upande wa teolojia.
 
Tangu hapo alianza kazi yake kubwa ya kuandika, mbali ya kutekeleza ma[[jukumu]] makubwa alivyozidi kupewa.
 
Akiwa safarini alisikilizwa na [[Thoma wa Akwino]], kijana mkimya mwenye kutafakari, ambaye Alberto alitambua ukuu wa akili yake akamtabiri umaarufu mkubwawa kimataifa. Kati yao kukawa na [[heshima]] na [[urafiki]] mkubwa hadi mwisho. Huyo mwanafunzi mpya aliongozana naye hadi Paris halafu ([[1248]]) Cologne, ambapo Alberto alikuwa amechaguliwa kuwa [[gombera]] wa kwanza, wakati Thoma akawa mwalimu wa pili na ''Magister Studentium'' ("mwalimu wa wanafunzi").
 
Katika [[mkutano mkuu]] wa Wadominiko uliofanyika [[Valenciennes]] mwaka [[1250]], pamoja na Thoma na [[Papa Inosenti V|Petro wa Tarentaise]], alitunga taratibu za masomo na za stahili shirikani.
 
Mwaka [[1254]] alichaguliwa [[mkuu wa kanda]] ya [[Ujerumani]], wadhifa mgumu alioshughulikia vizuri sana. Alijitokeza kwa [[ari]] yake katika kutembelea [[jumuia]] za eneo lake kubwa, lililojumlisha [[Ulaya Kaskazini]] yana Kati[[Ulaya naya Kati|ya KaskaziniKati]], huku akihimiza [[uaminifu]] kwa mafundisho na mifano ya Mt. Dominiko.
 
Mwaka [[1256]] alikwenda [[Roma]] ili kutetea [[mashirika ya ombaomba]] dhidi ya mashambulizi ya [[Wiliamu wa Saint-Amour]], ambaye kitabu chake ''De novissimis temporum periculis'' hatimaye kililaaniwa na [[Papa Aleksanda IV]] tarehe [[5 Oktoba]] 1256.
Mstari 53:
Alijitokeza tena kwa nguvu mwaka [[1277]], ilipotangazwa nia ya [[Etienne Templier]], [[askofu mkuu]] wa Paris pamoja na wengine ya kulaani maandishi ya Thoma kama yenye [[uzushi]]. Ili kumtetea alifunga safari kwenda Paris kuyafafanua.
 
Mwaka [[1278]] (alipoandika [[wasia]] wake) alianza kusahausahau mambo, na mwili wake uliodhoofishwa na maisha magumu ya kujinyima na ya kazi ulizidi kushindwa na uzee hadi akafa mwakatarehe 15 Novemba 1280 katika [[chumba]] chake konventini.
 
Alizikwa katika [[kanisa]] la [[parokia]] ya [[Mt. Andrea]] ya Cologne.
Mstari 60:
Vitabu vyake vingi vinahusu [[fani]] zote za elimu ya wakati ule: [[mantiki]], [[sayansi]] mbalimbali, [[elimunafsia]], [[falsafa]], [[maadili]], [[siasa]], [[teolojia]], ufafanuzi wa [[Biblia]] n.k. Orodha yake inashangaza kwa upana wa [[mada]] alizozikabili kitaalamu. Ndiyo sababu [[Papa Pius XII]] alimpangia jina la “Doctor universalis” (yaani Mwalimu wa kila jambo).
 
Akiwa [[Mtaalamumtaalamu]] mkuu wa [[biolojia]] wakati wake, aliunganisha vizuri sayansi na [[ufunuo]] wa Mungu, falsafa na teolojia. Ulinganifu huo unamfanya awe karibu na watu wa leo katika maswali wanayojiuliza kuhusu asili na maendeleo ya [[ulimwengu]].
 
Upana wa mawazo yake ulijitokeza hasa katika kuelekeza Kanisa lipokee falsafa ya [[Aristotle]] katika [[ufafanuzi]] wa [[ulimwengu]], kutokana na hakika ya kwamba kila kinachokubaliwa na [[akili]] nyofu kinapatana na [[imani]] katika [[ufunuo]] wa Mungu. Kwa namna hiyo Alberto aliwezesha falsafa kuwa fani inayojitegemea, ikishirikiana na kuuunganikakuunganika na [[teolojia]] katika umoja wa [[ukweli]] tu, bila kuchanganyikana.
 
Yeye alifaulu kushirikisha hata mawazo hayo kwa namna sahili na ya kueleweka, kama alivyofanya katika mahubiri aliyowapa watu wa kila kiwango cha elimu, waliovutiwa na maneno yake na mfano bora wa maisha yake.