Tofauti kati ya marekesbisho "Maana ya maisha"

[[Somo la kijamii]] linapima thamani katika ngazi ya kijamii kwa kubuni nadharia kama vile nadharia ya thamani kanuni, [[anomi]], n.k.
 
===Asili na hali ya maisha ya kibaiolojiakibiolojia===
Kufanya kazi kwa [[abayojenesisi]] hakueleweki kwa [[ufasaha]]: nadharia mashuhuri ni pamoja na nadharia ya dunia ya [[RNA]] (vitoaji aina sawa katika makao ya RNA) na nadharia ya dunia ya [[chuma]]-[[sulfuri]] ([[umetaboli]] bila Jenetikia). Nadharia ya [[mabadiliko ya viumbe]] haijaribu kuelezea asili ya uhai, bali [[mchakato]] ambao viumbe tofauti vimepitia katika kipindi chote cha [[historia]] kupitia [[mabadiliko ya ghafla ya kijenitikia]] na [[uteuzi wa kiasili]]<ref>[[Charles Darwin]] (1859). ''[[On the Origin of Species]]''.</ref> Wakati wa mwisho wa [[karne ya 20]], kwa kuzingatia ufahamu wa mabadiliko ya viumbe unaotegemea [[jeni]] hasa, [[wanabiolojia]] [[George C. Williams]], [[Richard Dawkins]], [[David Haig]], miongoni mwa wengine, wanahitimisha kwamba ikiwa kuna kazi msingi ya maisha, ni kujinakilisha kwa DNA na kuendelea kuwa hai kwa jeni za mtu.<ref name="Dawkins selfish gene">{{cite book |author=[[Richard Dawkins]] |title=[[The Selfish Gene]] |publisher=Oxford University Press |year=1976 |isbn=019857519X}}</ref><ref name="Dawkins river">{{cite book |author=[[Richard Dawkins]] |title=[[River out of Eden]] |publisher=Basic Books |location=New York |year=1995 |isbn=0-465-06990-8}}</ref>
 
[[File:CMB Timeline75.jpg|right|268px|thumb|[[Upanuzi wa kimetriki wa nafasi]]. Enzi ya kupanda ni kupanuka kwa kivuto cha kimetriki kilichoko upande wa kushoto.]]
 
Ingawa dhana ya [[Mlipuko mkuu]] ilipozinduliwa mara ya kwanza ilipambana na [[shaka]] kwa wingi, shaka iliyochangiwa na uhusiano na imani ya dini ya [[uumbaji]], imekuja kuungwa mkono na [[uchunguzi]] kadhaa wa kujitegemea.<ref>{{cite book | author = Helge Kragh | title = Cosmology and Controversy | publisher = Princeton University Press | year = 1996 | isbn=069100546X}}</ref> Hata hivyo, [[fizikia]] ya sasa inaweza kuelezea tu ulimwengu ulivyokuwa mapema sekunde 10 baada ya kutokea<sup>_"43</sup>. [[Wanafizikia]] wengi wamedadisi nini inaweza kuwa imetangulia, na jinsi ulimwengu ulivyoanza.<ref name="Prantzos & Lyle">{{cite book |author=Nikos Prantzos; Stephen Lyle |title=Our Cosmic Future: Humanity's Fate in the Universe |publisher=Cambridge University Press |year=2000 |isbn=052177098X}}</ref> Baadhi ya wanafizikia hudhani kuwa Mlipuko mkuu ulitokea ki[[ajali]], na kanuni ya kianthropiki inapozingatiwa, mara nyingi hutafsiriwa kuashiria uwepo wa ulimwengu maridhawa.<ref name="Edwards">{{cite book |author=Rem B. Edwards |title=What Caused the Big Bang? |publisher=Rodopi |year=2001 |isbn=9042014075}}</ref>
 
Hata hivyo, haijalishi jinsi ulimwengu ulivyokuja kuwepo, hatima ya binadamu katika ulimwengu huu ni [[maangamizi]] kwani - hata kama ubinadamu utaishi muda huo wote - maisha ya kibiolojia hatimaye yatashindwa kujiendeleza.<ref name="Prantzos & Lyle" />{{page number}}
 
===Maswali ya sayansi kuhusu akili===