Tofauti kati ya marekesbisho "Maana ya maisha"

Mitazamo ya kifalsafa kuhusu maana ya maisha ni itikadi ambazo huelezea kuhusu maisha kupitia suala la maadili au dhana zinazofafanuliwa na binadamu.
 
===Falsafa za Kale za Kigiriki===
[[File:Sanzio 01 Plato Aristotle.jpg|thumb|160px|right|Plato na Aristotle katika ''[[Shule ya AtheniAthene]]'' waliyochorwa[[mchoro wa ukutani]] nawa [[msanii]] [[Raffaello]].]]
 
====Uplato====
[[Plato]] alikuwa mmoja wa [[wanafalsafa]] wa mwanzo, na mwenye ushawishi mwingi hadi wa leo - hasa kwa uhalisia kuhusu kuwepouwepo kwawa viulimwengu. Katika [[Nadharia ya Maumbo]], viulimwengu havipo kimwili, lakini kama vyombo, lakini vipo katika maumbo ya kipepo au kimbinguki[[mbingu]]. Katika ''[[Jamhuri ya Plato|Jamhuri]]'', mazungumzo ya mhusika wa [[Socratesmwalimu]] inaelezeawake Umbo[[Sokrates]] layanaelezea Zuri. WazoUmbo la Zuri ni ''ekgonos'' (wazawa) Wa Zuri, jambo la kimaadili, Halihali kamili ya [[uzuri]], hivyo basi kipimo cha kiujumlaujumla cha [[haki]]. Katika falsafa ya Plato, maana ya maisha ni kufikia umbo la juu zaidi la [[elimu]], ambalo ni Umbo la Zuri, ambapo mambo yote mema na ya haki yanatoa umuhimu na thamani. Binadamu wamefungwa na [[wajibu]] wa kuyatekeleza mazuri, lakini hakuna yeyote anayeweza kufanikiwa katika [[harakati]] hiyo bila fikira za kifalsafa, ambazo zinaruhusu elimu ya kweli.
Katika falsafa ya Kiplato, maana ya maisha ni kufikia umbo la juu zaidi la elimu, ambalo ni Wazo (Umbo) ya Zuri, ambapo yote mema na ya haki yanatoa umuhimu na thamani. Binadamu wamefungwa kwa wajibu wa kuyatekeleza mazuri, lakini hakuna yeyote anayeweza kufanikiwa katika harakati hiyo bila fikira za kifalsafa, ambazo zinaruhusu elimu ya kweli.
 
====Uaristoteli====
[[Aristotle]], mwanafunzi wa [[Plato]], alikuwa mwanafalsafa mwingine, wa mapema, mwenye ushawishi mkubwa, ambaye alisema kuwa maarifa ya kimaadilimaadili si maarifa yenyeya ''uhakikahakika'' (kama [[metafizikia]] na [[somo la maarifa]]), lakini ni ''maarifa ya kiujumla''. Kwa sababu si nidhamu ya [[nadharia|kinadhariafani]] ya kinadharia, ilimbidiinambidi mtu asome na afanye mazoezi ili awe 'mzuri', kwa hivyo ikiwahiyo mtu angekuwa [[mema|mwema]], hangeweza tu kusoma tu [[fadhila]] ni nini, ingembidi awe mwenyena fadhila, kupitia shughulijuhudi za kifadhilakiadili. Kufanya hili, Aristotle alifafanua kitendo kilicho cha fadhila: "Kila tajriba na kila swali, na vilevile kila tendo na chaguo la tendo, linadhaniwa kuwa na uzuri fulani kama lengo lake. Hii ndiyo sababu ya kwamba lile zuri limefafanuliwa ifaavyo kama lengo la bidii yote [...]<br>Kila kitu hufanywa na lengo, na lengo hilo ni "zuri".([[Maadili ya Kinikomakea]] 1.1).
{{quote|Kila tajriba na kila swali, na vilevile, kila tendo na chaguo la tendo, linadhaniwa kuwa na zuri fulani kama lengo lake. Hii ndio sababu mbona lile zuri limefafanuliwa ifaavyo kama lengo la bidii yote [...]<br>Kila kitu hufanywa na lengo, na lengo hilo ni "zuri".|Maadili ya Kinikomakea 1.1}}
 
Hata hivyo, ikiwa kitendo A kinafanyika ili kufikia lengo B, kisha lengo B pia litakuwa na lengo, (lengo C), na lengo C pia litakuwa na lengo, na hivyo muundo huuhuo utaendelea, mpaka kitu kisimamishekiusimamishe. [[kuendelea kwa muundo huu bila mwishoSuluhisho]]. Suluhisho la Aristotle ni ''[[SummumWema bonum|Kizuri Kikuumkuu]]'', ambachoambao ni chawa kuwaniwa kwa ajili yake pekee, ni lengo lake lenyewe. KizuriWema Kikuumkuu hakiwaniwihauwaniwi kwa ajili ya kufikia mema mengine mema, na menginemema yote 'mema' yanayowaniwayanawaniwa kwa ajili yake. Hili linahusisha kufikia eudaemonia[[eudemonia]], ambaloambayo kwa kawaida hutafsiriwa kama "furaha", "ustawi", "kutokosa chochote muhimu", na "ubora".
 
====Falsafa ya Shaka====
Katika [[kipindiUgiriki chaya KigirikiKale]] [[wanafalsafa wa shaka]] walisema kuwa lengo la maisha ni kuishi maisha ya fadhila yanayowiana na [[viumbe]] wengine. Furaha inategemeainatokana na kujitegemea na kuusimamia mtazamo wa kiakili; mateso yanatokana na maamuzi ya [[uongo]] kuhusu thamani, ambayo husababisha hisia mbaya na aidha tabia ya [[uhasama]].
 
Maisha ya shaka yanakataa tamaa za kawaida za [[mali]], [[nguvu]], [[afya]], na [[umaarufu]], kwa kuwa huru kutoka vitu vinavyopatikana katika kuyatafuta ya kawaida.<ref>Kidd, I., "''Cynicism''," in ''The Concise Encyclopedia of Western Philosophy.'' (ed. [[J. O. Urmson]] and [[Jonathan Rée]]), Routledge. (2005)</ref><ref>Long, A. A., "''The Socratic Tradition: Diogenes, Crates, and Hellenistic Ethics,''" in ''The Cynics: The Cynic Movement in Antiquity and Its Legacy.'' (ed. Branham and Goulet-Cazé), University of California Press, (1996).</ref> Kama viumbe vyenyewenye [[uwezo wa kufikiria]], watu wanaweza kufanikisha furaha kupitia mafunzo kabambe, kwa kuishi katika njia iliyo ya kiasili kwa [[binadamu]]. [[Dunia]] ni ya kila mtu katikakwa kiwango sawa, hivyo [[mateso]] yanasababishwa na uamuzi wa uongo kuhusu kile ambacho ni cha thamani na kile ambacho hakina maana kulingana na [[tamaduni]] na itikadi za [[jamii]].
 
====Usairini====
Falsafa ya [[usairini]], iliyoanzishwa na Aristippus[[Aristipo wa SairiniKirene]], ilikuwa ni [[shule]] ya mapemazamani ya KisokratikiKisokrate iliyotilia maanani upande mmoja tu wa mafundisho ya SocratesSokrates - kwamba furaha ni tokeo moja la mwisho wala hatua za kimaadili na kwamba radhi ni zuri kuu; hivyo basiabasi mtazamo wa dunia wa kuipenda raha pekee ambapo kutimiza tamaa za mwili ni za faida zaidi kuliko radhi ya akili. Wasairini wanapendeleawalipendelea kutimiza tamaa haraka kuliko faida inayopatikana baada ya kusubiri kwa kipindi kirefu; kunyimwa ni huzuni mbaya.<ref>"Cyrenaics." Internet Encyclopedia of Philosophy. The University of Tennessee At Martin. 4 Nov. 2007 <http://www.iep.utm.edu/>.</ref><ref>"The Cyrenaics and the Origin of Hedonism." Hedonism.org. BLTC. 4 Nov. 2007 <http://www.hedonism.org>.</ref>
 
====UepikureaUepikuro====
[[File:Epicurus Louvre.jpg|left|thumb|132px|Mchongo wa [[EpicurusEpikuro]] akimuegemea [[mwanafunzi]] wake Metrodorus katika [[makavazi]] ya [[Louvre]].]]
 
Kwa [[EpicurusEpikuro]], jambo zuri kwakuliko yote ni katika kutafuta raha za wastani, kupata utulivu na kuwa uhuru kutoka hofu (“ataraxia”) kupitia maarifa, urafiki, na wema, kuishi kwa kujichunga; maumivu ya kimwili (“aponia”]]) hayapo kupitia maarifa ya mtu kuhusu hali ya dunia na mipaka ya matamanio ya mtu. ZikiwaVikiwa pamoja, uhuru kutoka maumivu na uhuru kutoka hofu nindiyo furaha kuu. KusifuKukusifu kwa Epicurus kwakwake kufurahia [[anasa]] ambazo hazijapita kiasi kunakaribia dhana ya "kujiepusha" na raha zote kama vile [[ngono]] na anasa:
 
<blockquote>Tunaposema... kuwa radhi ndio mwisho na lengo, hatumaanishi raha za upotevu au raha za kimwili, jinsi tunavyoeleweka kufanya, na wachache, kupitiakwa ujinga, ubaguzi au kudanganyaudanganyifu kimakusudiwa makusudi. Tukisema radhi tunamaanisha kutokuwepo kwa maumivu mwilini na taabu katika nafsi. Si kwa mfululizo wa [[ulevi]] na kuponda raha, si kwa tamaa ya ngono, wala kufurahia utamu yawa [[samaki]], na vyakula vingine vitamu kutoka [[meza]] iliyojaa vinono, ambazoambavyo huzalisha maisha mazuri; ni fikira za kimakini, kutafuta nje ya misingi ya kila uchaguzi na kuepuka, na kuikataa mitazamo ambayo hufanya shida kubwa kuichukua nafsi.<ref>[[Epicurus]], "Letter to Menoeceus", contained in Diogenes Laertius, ''Lives of Eminent Philosophers'', Book X</ref></blockquote>
 
Maana ya KiepikureaKiepikuro ya maisha inakataainakanusha kutokufa na dhana ya maisha mengine mbali na haya ya duniani; kuna nafsi, lakini inaweza kufa kama mwili. Hakuna maisha baada ya kifo, ingawa, mtu hafaihatakiwi kuogopa kifo, kwa sababu "Kifo si chochote kwetu, kwani yale ambao hunywea, ni bila hisia, na kile ambacho hakina hisia si chochote kwetu."<ref name="Russel">[[Bertrand Russell]] (1946). ''[[History of Western Philosophy (Russell)|A History of Western Philosophy]]'', New York: Simon and Schuster; London: George Allen and Unwin</ref>
 
====Falsafa ya Uvumilivu====
[[Falsafa ya Uvumilivu]] hufunza kwamba kuishi kulingana na fikira memanjema ni kuwa katika uwiano na mpango wa ulimwengu wa kimunguKimungu, unaotokana na mtu kufahamu ''[[logos]]'', (''fikira),'' ya ulimwenguniulimwengu kotewote, thamani muhimu inayopatikana kwa wote. Maana ya maisha ni ''uhuru kutoka mateso'' kupitia ''apatheia '' (Grkwa [[Kigiriki]]: απαθεια), yaani kuwa na lengo, kuakuwa na "uamuzi wazi" "siyo"si kutofautiana. Mashauri ya moja kwa moja ya falsafa ya uvumilivu ni fadhila, fikira na [[sheria ya kiasilikimaumbile]], zinazojumuisha kuendeleza kujidhibiti kwa kibinafsi na [[ujasiri]] wa kiakili kama njia za kuzishinda [[hisia haribifu]]. Mwenye kuifuata falsafa ya uvumilivu hanuii kuzizima hisia, bali ni kuziepukakuepuka shida za kihisia, kwa kuendeleza uamuzi wazi na utulivu wa kindanindani kupitia uzoefu makini wa kimantiki, kutafakari, na kuziweka fikira mahali pamoja.
 
Msingi wa kimaadili wa falsafa ya uvumilivu ni kuwa "zuri liko katika hali ya nafsi", yenyewe, inaonyeshwa katika [[hekima]] na kujidhibiti, hivyo kuboresha ustawi wa kiroho: "Fadhila" inatokana na "nia" ambayo inawiana na Maumbilemaumbile."<ref name="Russel" /> Kanuni inatumika katika uhusiano wa kibinafsi, yaani: "kuwa huru kutokana na hasira, na wivu"..<ref name="Russel" />
 
===Falsafa za enzi ya Kutaalamika===