Zohali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 25:
 
==Muundo wa sayari==
Zohali huhesabiwa kati ya sayari jitu za gesi yaani saraisayari kubwa sana zilizojengwa hasa kwa gesi inayopatikana katika hali mbalimbali kutokana na shinikizo kubwa inayotokea katika vilindi vyake.
 
Kipenyo cha Zohali ni takriban kilomita 120,000 na hii ni nafasi ya pili baada ya [[Mshtarii]] katika mfumo wa jua na sayari zake.