Tofauti kati ya marekesbisho "Maana ya maisha"

no edit summary
[[File:Woher kommen wir Wer sind wir Wohin gehen wir.jpg|thumb|right|355px|''Tumetoka Wapi? Sisi ni Nani? Tunaenda Wapi?''<br />Mmojawapo kati ya michoro maarufu ya msanii [[Paul Gauguin]] wa kipindi cha baada ya uimpreshonisti.]]
 
'''Maana ya maisha''' ni mojawapo kati ya ma[[suala]] kuhusu [[thamani]], [[madhumuni]] na umuhimu wa [[binadamu]] kuwepo [[duniani]] na wa [[maisha]] kwa jumla. Suala hilo linaweza kujitokeza kupitiakatika ma[[swali]] mengi tofauti yanayohusiana, kama vile ''Mbona tumekuwepo?'', ''Maisha yanahusu nini?'' na ''Ni nini maana ya haya yote?''
 
Limekuwa suala kuu la [[udadisi]] kwa [[sayansi]], [[falsafa]] na [[teolojia]] tangu zamani. Kumekuwa na idadi kubwa ya majibu kwa maswali hayo kutoka asili mbalimbali ki[[itikadi]] na ki[[utamaduni]].
 
Maana ya maisha imechanganyikana kwa undani na [[dhana]] za [[falsafa]] na [[imani]] za [[dini]] na falsafa na hugusia masuala mengine mengi, kama vile maana ya ki[[isharaontolojia]], [[ontolojiatunu]], [[thamani (falsafa)|thamanikusudi]], kusudi, [[maadili]], mema na mabaya, [[hiari]], dhanauwepo zawa [[Mungu]], kuwepo kwa Mungu, [[nafsiroho]], na kinachoendelea baada ya maisha haya.
 
Michango ya sayansi kawaida ni ya moja kwa moja na inaeleza [[ukweliuhalisia]] kutokana na mambo yanayopimika kuhusu [[ulimwengu]]; sayansi inatoa [[muktadha]] na inaweka mipaka kwa mazungumzo kuhusu [[mada]] zinazohusika.
 
Mbadala ni mtazamo wa kifalsafa unaokabili swali: "Ni nini maana ya maisha 'yangu'?" Thamani ya swali linalohusu kusudi la maisha huweza kuwiana na kuupata ukweli wa mwisho, au [[hisia]] za [[umoja]], au hisia ya [[utakatifu]].
 
==Maswali na marejeo yake==
 
===Falsafa za enzi ya Kutaalamika===
[[Kutaalamika|Enzi ya Kutaalamika]] na kipindiile chaya [[ukoloni]] yotezote mawilimbili yalibadilishazilibadilisha hali ya falsafa ya [[Ulaya]] na kuieneza duniani[[dunia]]ni kote. [[Ibada]] na kujinyenyekea mbele yakumnyenyekea Mungu zilibadilishwaviligeuka nakuwa dhana za [[haki yaza kuzaliwabinadamu]] zisizowezwa kunyimwa mtu na dhana ya uwezo wake mkuu wa kifikira, na. maadiliMaadili ya ulimwengu mzima ya [[upendo]] na [[huruma]] yaliibuayaligeuka dhana za kiraia za [[uhuru]], [[usawa]], na [[uraia]]. Maana ya maisha pia yalibadilika, yakiwacha kuhimizaikiacha kidogo juu yakuhimiza uhusiano wa wanadamu na Mungu na zaidi juu yakusisitiza uhusiano kati ya watu binafsi na jamii yao. Kipindi hikihicho kimejaakilijaa nadharia zinazolinganisha kuwepo kwa maana na utaratibu wa kijamii.
 
====Uhuru kutoka mipango ya kimali ya jamii====
Uhuru kutoka mipango ya kimali ya kijamii ni seti ya mawazo yaliyoibuka katika [[karne za 17]] na [[karne ya 18|18]], kwa sababu ya migogoro iliyochukua nafasi kubwa barani Ulaya kati ya waliozidi kuwa ma[[tajiri]], pamoja na utaratibu wa viongozi matajiri, na watu wa dini.
Uhuru kutoka mipango ya kimali ya kijamii ni seti ya mawazo yaliyoibuka katika karne za 17 na 18, kwa sababu ya migogoro kati ya waliozidi kuwa matajiri, waliokuwa na mali, na utaratibu wa viongozi matajiri na watu wa dini yaliyochukua nafasi kubwa barani Ulaya. Uhuru kutoka mipango ya kimali ya kijamii ulionyesha binadamu kama viumbe wenye [[haki]] walizozaliwa nazo na wasizowezwa kunyimwa (pamoja na haki ya mtu kubaki na mali yanayotokana na kazi ya kibinafsi), na ilitafuta mbinu za kupima haki kwa sawa katika jamii yote. Kiujumla, inatazama [[uhuru]] wa [[kibinafsi]] kuwa kama lengo kuu,<ref>A: "'Liberalism' is defined as a social ethic that advocates liberty, and equality in general." – [[C. A. J. (Tony) Coady]] ''Distributive Justice'', A Companion to Contemporary Political Philosophy, editors Goodin, Robert E. and Pettit, Philip. Blackwell Publishing, 1995, p.440. B: "Liberty is not a means to a higher political end. It is itself the highest political end." – [[John Dalberg-Acton, 1st Baron Acton|Lord Acton]]</ref> kwa sababu tu kupitia hakikisho la uhuru ndio haki zingine zilizojikita kwa undani zinapolindwa.
 
Kuna aina nyingi ya dhana ya uhuru kutoka mipango ya kimali ya kijamii, lakini dhana zao kuu kuhusu maana ya maisha zinaambatana na dhana tatu msingi. Wanafalsafa wa awali kama vile [[John Locke]], [[Jean-Jacques Rousseau]] na [[Adam Smith]] waliona binadamu akianza katika hali ya kimaumbile, kisha akitafuta maana kuwepo kupitia ajira na mali, na kutumia [[mkataba wa kijamii|mikataba ya kijamii]] ili kujenga mazingira ambayo yanasaidia juhudi hizo.
Uhuru kutoka mipango ya kimali ya kijamii ni seti ya mawazo yaliyoibuka katika karne za 17 na 18, kwa sababu ya migogoro kati ya waliozidi kuwa matajiri, waliokuwa na mali, na utaratibu wa viongozi matajiri na watu wa dini yaliyochukua nafasi kubwa barani Ulaya. Uhuru kutoka mipango ya kimali ya kijamii ulionyesha binadamu kama viumbe wenye [[haki]] walizozaliwa nazo na wasizowezwa kunyimwa (pamoja na haki ya mtu kubaki na mali yanayotokanainayotokana na kazi yayake kibinafsibinafsi), na ilitafutaulitafuta mbinu za kupima haki kwakuwa sawa katika jamii yote. Kiujumla, inatazama [[uhuru binafsi]] wa [[kibinafsi]]ulitazamwa kuwa kama lengo kuu,<ref>A: "'Liberalism' is defined as a social ethic that advocates liberty, and equality in general." – [[C. A. J. (Tony) Coady]] ''Distributive Justice'', A Companion to Contemporary Political Philosophy, editors Goodin, Robert E. and Pettit, Philip. Blackwell Publishing, 1995, p.440. B: "Liberty is not a means to a higher political end. It is itself the highest political end." – [[John Dalberg-Acton, 1st Baron Acton|Lord Acton]]</ref> kwa sababu tuya kudhani kwamba kupitia hakikisho la uhuru ndiotu haki zinginenyingine zilizojikita kwa undanindani zinapolindwazitakapolindwa.
 
Kuna aina nyingi yaza dhana ya uhuru kutoka mipango ya kimali ya kijamii, lakini dhana zao kuu kuhusu maana ya maisha zinaambatana na dhana tatu za msingi. Wanafalsafa wa awali kama vile [[John Locke]], [[Jean-Jacques Rousseau]] na [[Adam Smith]] waliona binadamu akianza katika hali ya kimaumbile, kisha akitafuta maana kuwepo kupitia [[ajira]] na mali, na kutumia [[mkataba wa kijamii|mikataba ya kijamii]] ili kujenga mazingira ambayo yanasaidia juhudi hizo.
 
====Ukanti====
[[File:Immanuel Kant (portrait).jpg|right|125px|thumb|[[Immanuel Kant]] anafahamika kama mmoja wa wanafalsafa wenye ushawishi mwingi zaidi katika kipindi cha mwisho cha [[Enzi ya Kutaalamika|Kutaalamika]].]]
[[Ukanti]] ni falsafa iliyo na msingi katika maandishi ya kimaadili, ya [[somo la maarifa]], na ya ki[[metafizikia]] ya [[Immanuel Kant]]. Kant anajulikana kwa [[nadharia yenye msingi katikaya uwajibikaji]] ambapo kunamsingi ni wajibu mmoja wa kimaadili, "dhana ya lazima bila kujalisha", inayotokana na dhana ya uwajibikaji. Wakanti wanaamini kuwa vitendo vyote vinafanywa kulingana na lengo au kanuni fulani isiyobainika wazi, na kwakuwa ili vitendo kuwavive vya kimaadiliadilifu, ni lazima viambatane na dhana ya lazima bila kujalisha.
 
Kifupi, [[mtihani]] ni kwamba lazima mmoja afanye lengo litumike ulimwenguni kote (tafakari kwamba watu wote walitenda hivi) kisha angalia kama bado itawezekana kulitekeleza lengo duniani. Katika kitabu chake, ''Kazi ya msingi'', Kant anatoa mfano wa mtu ambaye anataka kukopa [[pesa]] bila kunuia kuzirudisha. Huu ni utata kwa sababu kama hiyo ingalikuwa hatua ya wote ulimwenguni kote, hakuna mtu ambaye angemkopesha mwingine pesa tena kwani yeye angejua kwamba hangerudishiwa pesa hizo. Lengo la hatua hii, anasema Kant, linaleta matokeo ya mkanganyiko katika matazamio (na hivyo linapingana na wajibu kamili).
 
Kant pia alikanusha kwamba matokeo ya tendo huchangia kwa njia yoyote kwa thamani ya kimaadili ya tendo, hoja yake ikiwa kwamba ulimwengu wa kimwili unapatikanaupo nje ya udhibiti kamili wa mtu na hivyo mtu hawezi kuwajibika kwa matukio yanayofanyika hapo.
 
===Falsafa za [[karne ya 19]]===
====Utumikaji====
[[File:Jeremy Bentham by Henry William Pickersgill detail.jpg|right|thumb|120px|Jeremy Bentham]]
Asili ya utumikaji inaweza chapwa nyuma mbalisana hadi [[EpicurusEpikuro]], lakini, kama shule ya mawazo, inahusishwa na [[Jeremy Bentham]],<ref>Rosen, Frederick (2003). ''Classical Utilitarianism from Hume to Mill''. Routledge, pg. 28. ISBN 0415220947 "It was Hume and Bentham who then reasserted most strongly the Epicurean doctrine concerning utility as the basis of justice."</ref> ambaye aligundua kuwa ''asili imemuwekaimemweka mtu chini ya utawala wa mabwana wawili wa kujitegemea, maumivu na raha'',. basiBasi, kutokana na busara hiyo ya kimaadili, na kuiunda ''Sheria ya Utumizi'', ''kwamba wema ni chochote ambacho huleta furaha nyingi zaidi kwa idadi kubwa zaidi ya watu''. Alifafanua maana ya maisha kama "kanuni ya furaha nyingi zaidi".
 
[[Jeremy Bentham]] aliungwa mkono sana na [[James Mill]], mwanafalsafa muhimu katika siku zake, na babakebaba yake [[John Stuart Mill]]. Mill mdogo alifunzwa kulingana na kanuni za Bentham, pamoja na kunakili na kufupisha maandishi mengi ya baba yake.<ref name="Mill">Mill, John Stuart. 'On Liberty', ed. Himmelfarb. Penguin Classics, 1974, Ed.'s introduction, p.11.</ref>
 
====Umaksi====
Kulingana na [[Umaksi]] na [[UkomiunistiUkomunisti]], maana ya maisha ni kutumikiana, katika [[amani]] na kwa [[uadilifu]] kama wanadamu walio sawa na wenye haki.{{Citation needed|date=Desemba 2009}}
 
====Ubatili wa vyote====
[[Ubatili]] wa vyote ni falsafa inayokataa madai kuwa yeyote ana [[maarifa]] na ukweli, na hivyo inapeleleza umuhimu wa kuwepokuishi bila ukweli unaoweza kujulikana. Badala ya kusisitiza kwamba maadili yanabadilika kulingana na mtu, na huenda yasipewe sababu, [[mbatilivyote]] anasema: "Hakuna kitu chenye thamani", maadili hayana thamani, hutumika tu kama maadili ya uongobandii ya jamii.
 
[[Friedrich Nietzsche]] aliutambulisha [[ubatilivyote]] kama kuifanya dunia kuwa tupu, na hasa kuwepokuhusu kwauwepo wa binadamu, kwawa maana, wa kusudi, wa ukweli wa kueleweka, na wa thamani muhimu; kwa ufupi, ubatili wa vyote ni mchakato wa "kuyafanya maadili makuu yasiwe na thamani".<ref name="Bindé">{{cite book|author=Jérôme Bindé|title=The Future Of Values: 21st-Century Talks|publisher=Berghahn Books|year=2004|isbn=1571814426}}</ref> Kumuona kama mbatiliUbatili wa vyote ni kama matokeo ya kiasili ya wazo kwamba Mungu amekufa, na kusisitiza kuwakwamba ni kitu kilichokuwa kinafaa kushindwa, maswali ya Nietzsche kuhusu maadili ya kuyakataa maisha ya ubatili wa vyote, kuliirudisha maana Duniani.<ref name="Reginster">{{cite book |author=Bernard Reginster |title=The Affirmation of Life: Nietzsche on Overcoming Nihilism |publisher=Harvard University Press |year=2006 |isbn=0674021991}}</ref>
 
[[File:MARTIN John Great Day of His Wrath.jpg|thumb|left|''Mwisho wa Dunia'', picha iliyochorwa na msanii [[John Martin]].]]
Kwa [[Martin Heidegger]], falsafa ya ubatili wa vyote ni harakati ambapo "kuwa" kunasahaulika, na kugeuzwa kuwa thamani, kwa maneno mengine, kupunguzwa kwa kuwa hadi thamani ya ubadilishanaji.<ref name="Bindé" /> Heidegger, kama Nietzsche, aliona katika lile lililodaiwa kuwa "kifo cha Mungu" kuwa chanzo cha ubatilivyote kuibuka:
 
<blockquote>Kama Mungu, ambaye ndiye lengo na msingi unaozidi yale yanayoweza kuhisika, na wa ukweli wote, amekufa; kama ulimwengu unaozidi yanayoweza kuhisika wa Mawazomawazo umeumizwa kwa kupoteza nguvu zake za kilazimalazima za kujijenga juu, na juu ya hayo, za kuipa nguvu zaidi, basi hakuna chochote kinachobaki ambacho Mtumtu anaweza shikiliakushikilia, na ambacho anaweza tumia kuitafuta njia.<ref>Heidegger, "The Word of Nietzsche," 61.</ref></blockquote><ref name="Bindé" /> Heidegger,
 
[[Mdhanaishi]] [[Albert Camus]] anadaialidai kuwa mkanganyo wa hali ya binadamu ni kwamba watu wanatafuta maadili ya nje na maana katika dunia ambayo haina maana yoyote, na ambayo haiwajali. Camus anaandika kuhusu wabatilivyote wa thamani kama Meusrault,<ref>Camus (1946) ''L'Etranger''</ref> na pia kuhusu maadili katika ulimwengu wa kuyabatili yote, kwamba watu wanaweza badala yake kujitahidi kuwa "wabatilivyote wa kishujaa", wanaoishi na hadhi wanapopambana na mkanganyiko, kuishi kwa "utakatifu wa kidunia", [[mshikamano wa kindugu]], na kuuasi na kupambana dhidi ya kutojali kwa dunia.<ref>Camus (1955) ''The Myth of Sisyphus''</ref>
 
===Falsafa za [[karne ya 20]]===
Kipindi cha sasa kimeyaona mabadiliko makuu katika dhana ya hali ya binadamu. Sayansi ya kisasa imefanikiwa kuandika upya uhusiano kati ya wanadamu na ulimwengu halisia, maendeleo katika [[matibabu]] na [[teknolojia]] yametufanya tuwe huru kutokana nakutoka upungufu na maradhi ya vipindi vya awali, na falsafa - hasa kufuatia mgeuko wa kilugha - ulibadilishailibadilisha jinsi uhusiano mbalimbali kati ya watu wenyewe na wengine unavyotazamwa. Maswali kuhusu maana ya maisha pia yamekabiliwa na mabadiliko makuu, kutoka majaribio ya kutazama upya kuwepo kwa binadamu kupitia maneno ya kibaiolojia na kisayansi (kama katika [[#upragmatiki|upragmatiki]] na [[#uchanya wa kimantiki|uchanya wa kimantiki]]), hadi jitihada za kunadharia kimeta kuhusu kufanya maana kama shughuli ([[#udhanaishi|udhanaishi]], utu wa kidunia).
 
Maswali kuhusu maana ya maisha pia yamekabiliwa na mabadiliko makuu, kutoka majaribio ya kutazama upya kuwepo kwa binadamu kupitia biolojia na sayansi kwa jumla (kama katika [[#upragmatiki|upragmatiki]] na [[#uchanya wa kimantiki|uchanya wa kimantiki]]), hadi jitihada za kinadharia kimeta kuhusu kufanya maana kama shughuli ([[#udhanaishi|udhanaishi]], utu wa kidunia).
 
====Upragmatiki====
[[Upragmatiki]], ulianzishwa mwishoni mwa karne ya kumi na tisa19 nchini [[Marekani,]] kujihusishaukidokeza (hasa) nakwamba ukweli, ukidokeza kwamba ''ni tu katika kukabiliana na mazingira tu'' ndipo deta, huwa na maana, na kwamba ''matokeo'', kama utumiaji na chenye uwezo wa kufanyika kimatendo pia ni sehemu za ukweli. Isitoshe, upragmatiki unadokeza kwamba ''chochote'' muhimu na chenye vitendo si kweli daima, akisema kwamba kile ambacho huchangia zaidi kwa mema ya binadamu wengi katika kipindi cha muda mrefu ni kweli. Katika mazoezi, madai ya kinadharia lazima ''yathibitishwe kwa vitendo'', yaani lazima mtu aweze kutabiri na kupima madai, na kwamba, mwishowe, mahitaji ya watu yanapaswa kuongoza uchunguzi wa kisomi wa binadamu.
 
Wanafalsafa wa Kipragmatiki wanadokeza kwamba kuyaelewa maisha kupitia vitu vinavyotendwa ni muhimu zaidi kuliko kutafuta dhana ya kiakili ambayo ni gumu kuwekwa katika vitendo kuyahusukuhusu maisha. [[William James]] alisema kuwa ukweli unawezwa kufanywa, lakini hauwezi kutafutwa.<ref name="James">{{cite book|author=[[William James]]|title=The Meaning of Truth|publisher=Prometheus Books|year=1909|isbn=1-57392-138-6}}</ref><ref name="Corti">{{cite book|author=Walter Robert Corti|title=The Philosophy of William James|publisher=Meiner Verlag|year=1976|isbn=3787303529}}</ref> Kwa mpragmatiki, maana ya maisha yanajulikana tu kupitia uzoefu.
 
====Udhanaishi====
Kila mwanaume[[mwanamume]] na kila [[mwanamke]] anaumba kiini (maana) ya maisha yake; maisha hayadhamiriwi na munguMungu mwenye nguvu zilizozidikuliko za kibinadamubinadamu au mamlaka ya kidunia, bali kila mtu yuko huru. Kwa hivyo, mambo muhimu yanayomuendesha mtu kimaadili ni ''vitendo'', ''uhuru'' na ''uamuzi'',. kwa hivyoHivyo, [[udhanaishi]] unapinga ufikiriaji na uchanya. Katika kutafuta maana ya maisha, mdhanaishi anatazama mahali ambapo watu hupata maana ya maisha, ambapo katika kutumia fikira tu kama chanzo cha maana ni pungufu;. Upungufu huibua hisia za wasiwasi na hofu, zinazohisika katika kukabiliana na [[uhuru]] mkuu, na kuambatana na mwamko kuhusu kifo. Kwa mdhanaishi, kuwepo kunatangulia kiini; (kiini) cha maisha ya mtu huja ''tu'' baada ya mtu kuwa.
 
[[Søren Kierkegaard]] aliliundaaliunda neno "mruko wa kiimani", akidokeza kuwa maisha yamejaa mkanganyiko, na mtu lazima aunde maadili yake katika ulimwengu usiojali. Mtu anaweza kuishi maisha yenye maana (yasiyo na kukata tamaa nawala wasiwasi) kwa kufanya ahadi kwa vyovyote kuhusu kitu kilicho na mwisho, na kujitolea kwa maisha hayo ya kufanya ahadi, licha ya mazingira magumu yaliyojikita katika kufanya hivyo.<ref name="Hall">{{cite book|author=Amy Laura Hall|title=Kierkegaard and the Treachery of Love|publisher=Cambridge University Press|year=2002|isbn=0521893119}}</ref>
 
[[Arthur Schopenhauer]] alijibu: "Ni nini maana ya maisha?" kwa kubainisha kuwa maisha ya mtu yanaonyesha nia yake, na kwamba nia (maisha) kiendeshaji kisichokuwa na lengo, kisichofuata fikira na kinachokuwa chungu. [[Wokovu]], [[ukombozi]], na kuepuka mateso yamo katika kutafakari mambo mazuri, huruma kwakuhurumia wengine, na kujieupusha na anasa.<ref name="Jacquette">{{cite book|author=Dale Jacquette|title=Schopenhauer, Philosophy, and the Arts|publisher=Cambridge University Press|year=1996|isbn=0521473888}}</ref><ref name="Murray">{{cite book|author=Durno Murray|title=Nietzsche's Affirmative Morality|publisher=Walter de Gruyter|year=1999|isbn=3110166011}}</ref>
 
Kwa [[Friedrich Nietzsche]], maisha ni ya thamani tu ikiwa kuna malengo yanayomshawishi mtu kuishi. IpasavyoHivyo, aliona falsafa ya ubatilivyote ("yote ambayo hufanyika ni ubatili") kama bila malengo. Alikana kujiepusha na anasa, kwa sababu kufanya hivihivyo kunakanusha kuishi katika ulimwengu; alikanusha kuwa maadili ni malengo ya ukweli, ambayo kwa kifikira ni ahadi za lazima zinazotumika ulimwenguni kote: tathmini zetu ni tafsiri, na si tafakari za dunia, kama ilivyo, kwa kweli, na basi, dhana zote hufanyika kupitia mtazamo fulani.<ref name="Reginster" />
 
====Ukanganyikaji====
[[Albert Camus]], mwanafalsafa wa [[Kifaransa]] natoka Kialgeria[[Algeria]], ambaye mara nyingi anahusishwa na udhanaishi lakini ambaye alilikataa neno hilo kabisa,<ref>{{cite book |last=Solomon |first=Robert C. |authorlink=Robert C. Solomon |title=From Rationalism to Existentialism: The Existentialists and Their Nineteenth Century Backgrounds |publisher=[[Rowman and Littlefield]] |date=2001 |page=245 |isbn=074251241X}}</ref> ni ana umaarufumaarufu kwa kudokeza nadharia yake ya mkanganyiko. Kulingana na ukanganyikaji, kuna ukosefu wa umoja wa kimsingi unaotokana na kuwepo kwa ushirikiano wa binadamu na ulimwengu. Mtu ana hamu ya mpango, maana, na kusudi katika maisha, lakini ulimwengu haujali na hauna maana; mkanganyo unatokana na mgogoro huu.
 
Kama viumbe vinavyotafuta matumaini katika dunia isiyokuwa na maana, Camus anasema kuwa binadamu wana njia tatu za kuutatua mtanziko.
*[[Kujiua]]: ufumbuzi wa kwanza wa mtanziko ni mtu kuyakomesha maisha yake. Camus anakataa chaguo hili kama la woga.
 
* [[Imani]] ya kidinidini katika ulimwenguUlimwengu Upitao Fikira: imani ya namna hiihiyo huenda ikadokeza kuwepo kwa ulimwengu ambao umezidi yahuu wa kukanganya, na, kwa hivyo, una maana. Camus anaitaanauita ufumbuzi huuhuo "kujiua kifalsafa" na anaukataa kwa sababu ni sawa na kuangamizwa kwa fikira, ambayo kwa maoni yake ni [[janga]] sawa na kujiua kimwili.
 
*KubaliKukubali ya kukanganyamkanganyo: Kulingana nakwa Camus, huu tu ndio ufumbuzi wa kweli. Ni kukubali na hata kukumbatia mkanganyo wa maisha na kuendelea kuishi. Ya kunganyaMkanganyo ni tabia muhimu ya hali ya kibinadamu, na njia pekee ya kweli ya kukabiliana na hili ni kuyakubali hayakulikubali kwa ujasiri. Kulingana na Camus, tunaweza "kuishi maisha bora zaidi ikiwa hayana maana."<ref>[http://www.iep.utm.edu/c/camus.htm#SSH5a.i Albert Camus at the Internet Encyclopedia of Philosophy] Accessed Mei 25th, 2009</ref>
 
====Ubinadamu wa Kidunia====
[[File:HumanismSymbol.PNG|120px|left|thumb| Picha ya "binadamu mwenye furaha" ishara ya Utu wa Kidunia.]]
 
Kulingana na Ubinadamu wa kiduniaKidunia, wanadamu walitokana na kuzaana katika maendeleo ya mabadiliko ambayo hayakuongozwa kama sehemu muhimu ya maumbile, ambayo huishi yenyewe.<ref name=humanifesto1>{{cite web |title=[[Humanist Manifesto I]]] [http://www.americanhumanist.org/about/manifesto1.html url=http://www.americanhumanist.org/about/manifesto1.html |work=American Humanist Association |year=1933 |accessdate=2007-07-26}}</ref><ref name=humanifesto2>{{cite web |title=[[Humanist Manifesto II]]] [http://www.americanhumanist.org/about/manifesto2.html work=American Humanist Association |year=1973 |url=http://www.americanhumanist.org/about/manifesto2.html |accessdate=2007-08-01}}</ref> Maarifa hayatoki kutokakatika vyanzo vyenye nguvu visivyo vya kawaida, lakini kutoka uchunguzi wa binadamu, majaribio, na uchambuzi wa kimantiki ([[mbinu ya kisayansi]]): asili ya [[ulimwengu]] ni kile ambacho watu huitambua kuwa.<ref name=humanifesto1 /> Aidha, "[[maadili]] na ukweli" yanadhamiriwa "kwa njia ya uchunguzi wa kiakili"<ref name=humanifesto1 /> na "yanatokana na mahitaji ya binadamu na hamu kama ilivyopimwa na uzoefu", yaani kupitia akili yenye uchambuzi.<ref name=humanifesto3>{{cite web |title=[[Humanist Manifesto III]]] [http://www.americanhumanist.org/3/HumandItsAspirations.php work=American Humanist Association |year=2003 |url=http://www.americanhumanist.org/3/HumandItsAspirations.php |accessdate=2007-08-01}}</ref><ref name=CDSH>{{cite web |title=[[A Secular Humanist Declaration]]] [http://www.secularhumanism.org/index.php?section=main&page=declaration work=Council for Democratic and Secular Humanism (now the Council for Secular Humanism) |year=1980 |url=http://www.secularhumanism.org/index.php?section=main&page=declaration |accessdate=2007-08-01}}</ref> "Kulingana na yale tunayojua, tabia za mtu kiujumla ni [chanzo] cha kiumbe cha kibiolojia kinachoendesha shughuli zake katika muktadha wa kijamii na kiutamaduni."<ref name=humanifesto2 />
 
Watu huamua kusudi la binadamu, bila ya ushawishi wa kiMunguKimungu; ni tabia ya binadamu, (hisia ya kijumla) ambayo ni lengo yala maisha ya binadamu;. Utu unataka kuendeleza na kutimiza:<ref name=humanifesto1 /> "Utu husisitiza uwezo wetu, na uwajibikaji wetu, kuishi maisha ya kimaadili yenye utimilifu wa binafsi yanayolenga mema makuu ya ubinadamu ".<ref name=humanifesto3 /> [[Wanautu]] huendeleza kufunguliwa kifikra ili kuyashughulikia [[maslahi]] ya kibinafsibinafsi na yenye manufaa kwa watu wote. Furaha ya mtu binafsi ni inahusishwa kwa njia isiyoweza kubadilishwa na ustawi wa binadamu, kwa uzima, kwa sehemu, kwa sababu sisi ni wanyama wanaolazimika kuishi katika jamii, ambayo hupata maana kutokana na uhusiano wa karibu, na kwa sababu maendeleo ya kitamaduni humnufaisha kila mtu katika [[utamaduni]].<ref name=humanifesto2 /><ref name=humanifesto3 />
 
Falsafa ndogo za utu wa baadaye na utu unaopita yote (ambazo wakati mwingine hutumiwa [[kimbadala]]) ni panuziupanuzi wa [[maadili ya kiutu]]. Mtu anapaswa kutafuta maendeleo ya ubinadamu na ya maisha yote] kwa kiasi kikubwa kiwezekanavyoiwezekanavyo ili kupatanisha Utu wa Kirainasansi na utamaduni wa karne ya ishirini20 wa kisayasansisayasansi na kiteknolojia,teknolojia. hivyoHivyo, kila kiumbe hai ana haki ya kuamua "maana ya maisha kibinafsibinafsi" kwa mtazamo wa kijamii na kibinafsi.<ref>{{cite web| author=[[Nick Bostrom]] |title=Transhumanist Values |work=[[Oxford University]] |year=2005 |url=http://www.nickbostrom.com/ethics/values.html |accessdate=2007-07-28}}</ref>
Kutoka mtazamo wa kiutu na kielimunafsia ya kupunguza maumivu, suala la maana ya maisha pia linaweza kutafsiriwa tena kama "Ni nini maana ya maisha "yangu"?"<ref>Irvin Yalom, ''Existential Psychotherapy'', 1980</ref>
 
Badala ya kujifunga na swali la kidini au la kikozmiki kuhusu madhumuni makuu, mbinu hii inapendekeza kwamba swali hili ni la kibinafsibinafsi sana. Kuna majibu mengi ya kimatibabu ya kupunguza maumivu kwa swali hili, kwa mfano [[Viktor Frankl]] anadokeza kuwa dhana ya "Kutowaza", ambayo kwa kiasi kikubwa hutafsiriwa kama kukoma kutafakari bila mwisho juu ya ubinafsi, badala ya kujishughulisha na maisha. Kwa ujumla, mwitikio wa matibabu ya kuyapunguza maumivu ni kwamba swali la maana ya maisha huvukiza ikiwa mtu anajishughulisha kikamilifu na maisha. Swali kisha linabadilika kuwa wasiwasi maalum zaidi kama vile "Ni upotovu upi unaonisumbua?", "Ni nini kinachozuia uwezo wangu kufurahia vitu?", "Mbona mimi huwasahau wapendwa wangu?". Angalia pia Matibabu ya Kupunguza Maumivu ya Kidhanaishi, kadiri ya [[Irvin Yalom]].
 
====Uchanya wa kimantiki====