Zohali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza viungo
Mstari 1:
[[Picha:Saturn (planet) large.jpg|thumbnail|Zohali]]
'''Zohali''' (kutoka [[kar.]] "[[:ar:زحل"|زحل]] ''(zuhal)'', pia: '''Zohari''' au '''Sarateni''' kutoka [[Kilatini]]/[[Kiing.]] "[[w:Saturnus"|Saturnus]]) ni [[sayari]] ya sita toka kwenye [[jua]] katika [[Mfumo wa jua na sayari zake]]. Ni sayari kubwa ya pili baada ya [[Mshtarii]].
 
Inaonekana kwa macho matupu si lazima kutumia darubini. Kwa hiyo imeshajulikana tangu zamani ilitambuliwa na wataalamu wa nyakati za kale.