Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
sahihisho dogo
Mstari 1:
[[File:Petersland east africa 1885.png|thumb|Maeneo yaliyodaiwa na shirika la GfdK]]
'''Shirika la Ukoloni wa Kijerumani''' ([[jer.]] ''Gesellschaft für Deutsche Kolonisation'', GfdK) ilikuwa shirika la binafsi nchini Ujerumani lililoweka msingi kwa koloni ya [[Afrika ya MasahrikiMashariki ya Kijerumani]] katika eneo la [[Tanzania]] ya leo.
Shirika lilianzishwa tar 28 Machi 1884 na [[Karl Peters]] na Wajerumani wengi waliotaka Ujerumani kuingia kati ya mataifa yenye koloni. Shabaha ya shirika ilikuwa kuanzisha [[koloni]] za Kijerumani katika maeneo nje ya Ujerumani.