Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sahihisho dogo
viungo, kusahihisha lemma
Mstari 1:
[[File:Petersland east africa 1885.png|thumb|Maeneo yaliyodaiwa na shirika la GfdK]]
'''Shirika lakwa Ukoloni wa Kijerumani''' ([[jer.]] ''Gesellschaft für Deutsche Kolonisation'', GfdK; [[ing.]] ''"Society for German Colonization"'') ilikuwalilikuwa shirika la binafsi nchini [[Ujerumani]] lililoweka msingi kwa [[koloni]] ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] katika eneo la [[Tanzania]] ya leo.
 
Shirika lilianzishwa tar 28 Machi 1884 na [[Karl Peters]] na Wajerumani wengi waliotaka Ujerumani kuingia kati ya mataifa yenye koloni. Shabaha ya shirika ilikuwa kuanzisha [[koloni]] za Kijerumani katika maeneo nje ya Ujerumani.