Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Flag of the German East Africa Company.svg|thumbnail|right|Bendera ya Kampuni]]
[[Picha:Carl Peters.jpg|thumbnail|Karl Peters, aliyetangazwa katika picha hiiy a kihistoria kama "Mwuumba wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani"]]
'''Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki''' ([[Kijerumani]]: Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft (DOAG)) ilikuwa shirika ya binafsi iliyoundwa na [[Karl Peters]] ikaanzisha koloni ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].