Tofauti kati ya marekesbisho "Maana ya maisha"

no edit summary
 
'''Maana ya maisha''' ni mojawapo kati ya ma[[suala]] kuhusu [[thamani]], [[madhumuni]] na umuhimu wa [[binadamu]] kuwepo [[duniani]] na wa [[maisha]] kwa jumla. Suala hilo linaweza kujitokeza katika ma[[swali]] mengi tofauti yanayohusiana, kama vile ''Mbona tumekuwepo?'', ''Maisha yanahusu nini?'' na ''Ni nini maana ya haya yote?''
 
Binadamu anajiuliza maswali kama hayo hasa anapokabiliana na [[kifo]], kwa mfano [[msiba]] wa [[ndugu]] au [[rafiki]].
 
Limekuwa suala kuu la [[udadisi]] kwa [[sayansi]], [[falsafa]] na [[teolojia]] tangu zamani. Kumekuwa na idadi kubwa ya majibu kwa maswali hayo kutoka asili mbalimbali ki[[itikadi]] na ki[[utamaduni]].
 
Maana ya maisha imechanganyikana kwa undani na [[dhana]] za [[falsafa]] na [[imani]] za [[dini]] na falsafa na hugusia masuala mengine mengi, kama vile [[ontolojia]], [[tunu]], [[kusudi]], [[maadili]], [[hiari]], uwepo wa [[Mungu]], [[roho]], na kinachoendelea baada ya maisha haya.
 
Michango ya sayansi kawaida ni ya moja kwa moja na inaeleza [[uhalisia]] kutokana na mambo yanayopimika kuhusu [[ulimwengu]]; sayansi inatoa [[muktadha]] na mipaka kwa mazungumzo kuhusu [[mada]] zinazohusika.
*Kukubali mkanganyo: kwa Camus, huu tu ndio ufumbuzi wa kweli. Ni kukubali na hata kukumbatia mkanganyo wa maisha na kuendelea kuishi. Mkanganyo ni tabia muhimu ya hali ya kibinadamu, na njia pekee ya kweli ya kukabiliana na hili ni kulikubali kwa ujasiri. Kulingana na Camus, tunaweza "kuishi maisha bora zaidi ikiwa hayana maana."<ref>[http://www.iep.utm.edu/c/camus.htm#SSH5a.i Albert Camus at the Internet Encyclopedia of Philosophy] Accessed Mei 25th, 2009</ref>
 
====UbinadamuUtu wa Kidunia====
[[File:HumanismSymbol.PNG|120px|left|thumb| Picha ya "binadamu mwenye furaha" ishara ya Utu wa Kidunia.]]
 
Kulingana na Ubinadamu[[Utu wa Kidunia]], wanadamu walitokana na kuzaana katika maendeleo ya mabadiliko ambayo hayakuongozwa kama sehemu muhimu ya maumbile, ambayo huishi yenyewe.<ref name=humanifesto1>{{cite web |title=[[Humanist Manifesto I]]] [http://www.americanhumanist.org/about/manifesto1.html url=http://www.americanhumanist.org/about/manifesto1.html |work=American Humanist Association |year=1933 |accessdate=2007-07-26}}</ref><ref name=humanifesto2>{{cite web |title=[[Humanist Manifesto II]]] [http://www.americanhumanist.org/about/manifesto2.html work=American Humanist Association |year=1973 |url=http://www.americanhumanist.org/about/manifesto2.html |accessdate=2007-08-01}}</ref> Maarifa hayatoki katika vyanzo vyenye nguvu visivyo vya kawaida, lakini kutoka uchunguzi wa binadamu, majaribio, na uchambuzi wa kimantiki ([[mbinu ya kisayansi]]): asili ya [[ulimwengu]] ni kile ambacho watu huitambua kuwa hivyo.<ref name=humanifesto1 /> Aidha, "[[maadili]] na ukweli" yanadhamiriwavinalengwa "kwa njia ya uchunguzi wa kiakili"<ref name=humanifesto1 /> na "yanatokana na mahitaji ya binadamu na hamu kama ilivyopimwa na uzoefu", yaani kupitia akili yenye uchambuzi.<ref name=humanifesto3>{{cite web |title=[[Humanist Manifesto III]]] [http://www.americanhumanist.org/3/HumandItsAspirations.php work=American Humanist Association |year=2003 |url=http://www.americanhumanist.org/3/HumandItsAspirations.php |accessdate=2007-08-01}}</ref><ref name=CDSH>{{cite web |title=[[A Secular Humanist Declaration]]] [http://www.secularhumanism.org/index.php?section=main&page=declaration work=Council for Democratic and Secular Humanism (now the Council for Secular Humanism) |year=1980 |url=http://www.secularhumanism.org/index.php?section=main&page=declaration |accessdate=2007-08-01}}</ref> "Kulingana na yale tunayojua, tabia za mtu kiujumla ni [chanzo] cha kiumbe cha kibiolojia kinachoendesha shughuli zake katika muktadha wa kijamii na wa kiutamaduni."<ref name=humanifesto2 />
 
Watu huamua kusudi la binadamu, bila ya ushawishi wa Kimungu; ni tabia ya binadamu, (hisia ya kijumla), ambayo ni lengo la maisha ya binadamu. Utu wa Kidunia unataka kuendeleza na kutimiza ubinadamu:<ref name=humanifesto1 /> "Utu husisitiza [[uwezo]] wetu, na [[uwajibikaji]] wetu, kuishi maisha ya kimaadiliadili yenye [[utimilifu]] wa binafsi yanayolenga mema makuu ya ubinadamu ".<ref name=humanifesto3 /> [[Wanautu]] huendeleza kufunguliwa kifikra ili kuyashughulikia [[maslahi]] ya binafsi na yenye manufaa kwa watu wote. Furaha ya mtu binafsi inahusishwa kwa njia isiyoweza kubadilishwa na ustawi wa binadamu, kwa uzima, kwa sehemuwengine, kwa sababu sisi ni wanyama wanaolazimika kuishi katika jamii, ambayo hupata maana kutokana na uhusiano wa karibu, na kwa sababu maendeleo ya kitamadunikiutamaduni humnufaisha kila mtu katika [[utamaduni]].<ref name=humanifesto2 /><ref name=humanifesto3 />
 
Falsafa ndogo za utuUtu wa baadayeBaadaye na utuUtu unaopitaUnaopita yoteYote (ambazo wakati mwingine hutumiwa [[kimbadala]]) ni upanuzi wa [[maadili ya kiutu]]. Mtu anapaswa kutafuta maendeleo ya ubinadamu na ya maisha yote kwa kiasi kikubwa iwezekanavyo ili kupatanisha Utu wa Kirainasansi na utamaduni wa karne ya 20 wa sayasansi na teknolojia. Hivyo, kila kiumbe hai ana haki ya kuamua "maana ya maisha binafsi" kwa mtazamo wa kijamii na kibinafsi.<ref>{{cite web| author=[[Nick Bostrom]] |title=Transhumanist Values |work=[[Oxford University]] |year=2005 |url=http://www.nickbostrom.com/ethics/values.html |accessdate=2007-07-28}}</ref>
Kutoka mtazamo wa kiutu na kielimunafsia ya kupunguza maumivu, suala la maana ya maisha pia linaweza kutafsiriwa tena kama "Ni nini maana ya maisha "yangu"?"<ref>Irvin Yalom, ''Existential Psychotherapy'', 1980</ref>
 
 
====Uchanya wa kimantiki====
Wachanya wa kimantiki huuliza: ''Ni nini maana ya maisha?'' na ''mbonaYa nini kuuliza?''<ref>{{cite book |author=[[Richard Taylor (philosopher)|Richard Taylor]] |title=Good and Evil |pages="The Meaning of Life" (Chapter 5) |publisher=Macmillan Publishing Company |month=Januari | year=1970 |isbn=0026166909}}</ref><ref>Wohlgennant, Rudolph. (1981). "Has the Question about the Meaning of Life any Meaning?" (Chapter 4). In E. Morscher, ed., ''Philosophie als Wissenschaft''.</ref> ''Kama hakuna maadili yanayolengwa, basi, hivyohiyo ni kusema maisha hayana maana?''<ref>{{cite book |last=McNaughton |first=David |month=Agosti | year=1988 |title=Moral Vision: An Introduction to Ethics |pages="Moral Freedom and the Meaning of Life" (Section 1.5) |publisher=Oxford: Blackwell Publishing |isbn=0631159452}}</ref> [[Ludwig Wittgenstein]] na wachanya wa kimantiki walisema:{{Citation needed|date=Desemba 2009}} "Linapoulizwa kilugha, swali ni la ubatilibatili"; kwa sababu, maishani taarifa ya "maana ya x", kawaida inaashiria madhara ya x, au umuhimu wa x, au kile ambacho ni dhahiri kuhusu x na kadhalika, kwa hivyo, wakati dhana ya maana ni sawa na "x", katika taarifa ya "maana ya x", taarifa inakuwa ya kujirudia, na kwa hivyo,hiyo ya kiupuzikipuuzi, au inaweza kutaja kama ukweli kwamba maisha ya kibaiolojiakibiolojia ni muhimu ili kuwa na maana maishani.
 
Mambo (watu, matukio) katika maisha ya mtu yanaweza kuwa na maana (umuhimu) kama sehemu ya uzima, lakini maana isiyobainika wazi ya maisha (hayo), yenyewe, mbali na mambo hayo, haiwezi kubainika. Maisha ya mtu yana maana (kwake mwenyewe, na kwa wengine) kama matukio ya maisha yanayotokana na mafanikio yake, urithi, familia, na kadhalika, lakini, kusema kwamba maisha, yenyewe, yana maana, ni matumizi mabaya ya lugha, kwani yoyote yayaliyo umuhimumuhimu, au ya mwisho, ni muhimu tu "katika" maisha (kwa walio hai), hivyo basi kuifanya taarifa iwe ya kimakosa. [[Bertrand Russell]] aliandika kwamba ingawa alipata kwamba chuki yake ya mateso haikuwa kama chuki yake ya [[mboga]] ya [[brokoli]], hakupata utaratibu wowote wa kuridhisha, na wa kupimika wa kuthibitisha hili:<ref name="Russel"/>
 
<blockquote> Tunapojaribu kuwa na uhakika, kulihusukuhusu kile tunachomaanisha tunaposema kuwa hiki au kile ndichoni "Zuri,tunu", sisi hujipatatunajikuta katika matatizo makubwa sana. Tamko la Bentham, kwamba radhi ndiyo Zuri, lilizua upinzani mkali, na ilisemekana kuwa falsafa ya [[nguruwe]]. Yeye na wapinzani wake walishindwa kuibua hoja zozote. Katika swali la kisayansi, ushahidi unaweza kupatikana kutoka pande zote mbili, na mwishowe, upande mmoja unabainika kuwa na hoja bora - au, kama hili halitokei, swali linabaki kama halijajibiwa. Lakini katika swali, kuhusu ikiwa hili, au hilo, ndilo mwisho Mzuri, hakuna ushahidi, kwa vyovyote vile; kila mtetezi anaweza kupendekeza tu hoja kulingana na hisia zake, na kutumia vifaa vya ushawishi ambavyo vitaibua hisia sawa katika wengine. . . Maswali kuhusu "maadili" - yaani, kuhusu kile ambacho chenyewe ni kizuri kibayaau kibaya, bila kutilia maanani madhara yake - yanapatikana nje ya uwanja wa sayansi, jinsi watetezi wa dini wanavyodai kwa msisitizo. Nadhani kwamba, katika hili, wako sawa, lakini, mimi napata hitimisho zaidi, ambalo hao hawapati, kwamba maswali kuhusu "maadili" yanapatikana kabisa nje ya uwanja wa maarifa. Hiyo ni kusema, tunaposema kwamba hili, au lile, lina "thamani", sisi tunaeleza tu hisia zetu wenyewe, si ukweli, ambao bado ungalikuwa kweli ikiwa hisia zetu za binafsi zingalikuwa tofauti.<ref>[[Bertrand Russell]] (1961). [http://www.solstice.us/russell/science-ethics.html ''Science and Ethics'']</ref></blockquote>
 
====Baada ya usasaUsasa====
Falsafa ya baada[[Baada ya usasaUsasa]] - tukizungumza kwa upana- zinaonainaona hali ya binadamu ikiwa kama iliyojengwa na lugha, au na miundo na taasisi za jamii ya kibinadamu. Ikitofautiana na aina nyingine za falsafa, ni nadra kwa falsafa ya baadaBaada ya usasa[[Usasa]] kutafutamaanakutafuta maana zinazopatikana kabla ya tendo au zilizojikita kwa undani katika kuwepouwepo kwawa binadamu, lakini. badalaBadala yake inalenga kuchunguza au kukosoa maana zilizopewa ili kuzitafakari au kuzirekebisha upya. Chochote kinachofananakinachofana na 'maana ya maisha', katika maana ya falsafa ya baada ya usasahiyo, linawezakinaweza kueleweka tu ndani ya muundo wa kijamii na wa kilugha, na lazima ufuatwe kama kimbilio kutoka miundo ya nguvu ambayo tayari imejikita katika aina zote za hotuba na mwingiliano.
 
Kama kanuni, wanafalsafa wa baadaBaada ya usasaUsasa wanatazama mwamko wa vikwazo vya lugha kama muhimu kuvikwepa vikwazo vivyo hivyo, lakini wananadharia tofauti wana maoni mbalimbali kuhusu asili ya mchakato huu: kutoka ujenzi wa kidharura[[dharura]] wa maana na watu binafsi (kama katika falsafa ya kuharibuKuharibu yaliyojengwaYaliyojengwa) hadi kwa nadharia ambamo watu ni upanuzi wa kimsingi wa lugha na jamii, bila uhuru halisi (kama katika falsafa ya baadaBaada ya muundoMuundo). Kiujumla, falsafa ya baadaBaada ya usasaUsasa inatafuta maana kupitiakwa kuangalia miundo ya msingi ambayo inaunda au kulazimisha maana, kuliko yale yanayoonekana kiepifomenalikiepifenomenali Dunianiduniani.
 
====Dhana ya kihisiaUhisia====
Kulingana na dhana ya kihisia, maana kuu ya maisha ni kupata kutosheleza hisia za kibinadamu. Wafuasi wa falsafa hiihiyo wanaamini kuwa vitendo vyote maishani ni matokeo ya hisia na hasa mahitajihaja ya kuzaa. UhisiaUwepo unaonyesha jinsi kuwepo kwawa mtu binafsi huwa chanzo cha kuzaa na unamfanya binadamu kutafuta lengo la kuzaa maishani kwa kuufuata mzunguko. UharakaHaraka unasisitizainasisitiza kuwa watu wanapofikiria kwa kina, watapata kuwa lengo kuu la matendo yote ni wafanyayo ni kuvutia watu wa [[jinsia]] nyingine. Dhana kuu ya uhisia inaweza kufuatwa hivi:
 
<blockquote> Kama inayokubalika kuwa watu hufunzwa kujifunza shuleni. MbonaKwa nini tusome kwa bidii? Ili tufuzu mitihani. MbonaKwa nini tufuzu mitihani? Ili tuweze kuenda chuo kikuu? MbonaKwa nini tuweze kuenda chuo kikuu? Ili tuweze kupata kazi nzuri? MbonaKwa nini tupate kazi nzuri? Ili tuwe na mali. MbonaKwa nini tuwe na mali? Ili tununue magari mazuri; ili tununue nyumba nzuri; ili tununue bidhaa nzuri. MbonaKwa nini vitu vyote vizuri kumfanya mtu aonekana mzuri? Mwishowe kuvutia watu wa jinsia nyingine, kutosheleza mahitajihaja ya msingi ya kuzaa na kuendeleza familia ya kibinadamu. </blockquote>
 
Wanahisia hutumia mawazo hayahayo kuendeleza dhana kuwa matukio yote ya kibinadamu yanaweza kuelezewakuelezwa kwa kutumia lengo letu la kuzaa:
MbonaKwa nini watu wanapinga sana ndoa baina ya watu wa jinsia moja? Kwa sababu watu katika ndoajozi la namna hiyo hawawezi kuzaa
MbonaKwa nini watu hupendana? Kwa sababu upendo husababisha ngono, ambayo huchangia kwa ongezekoustawi lawa [[spishi]] ya kibinadamubinadamu
MbonaKwa nini akina mama hupenda watoto hata kama hawajazaliwa bado? Kwa sababu inachangia kutunza na kuongeza idadi ya spishi ya kibinadamubinadamu
MbonaKwa nini watu wengi hupinga uavyaji wa[[utoaji mimba]]? Kwa sababu inazuia uzalishaji.uzazi
MbonaKwa madaktarinini ma[[daktari]] wengi sana na matibabu mengi? Ili kutunza idadi ya watu wa spishi ya kibinadamu
MbonaKwa nini [[uuaji]] ni hatia kubwa sana? Kwa sababu kuua kunapunguza idadi ya watu wa spishi ya kibinadamu
 
====Upanthei wa kiasilia====
Kulingana na [[upanthei]] wa kiasilia, maana ya maisha ni kutunza viumbe na mazingira.
 
==Mitazamo ya kidini==
<!--Note: the following two commented sections were commented out when I re-classified the sections. It is preserved here in case someone can make use of it later-->
<!--The rise of [[universal religion]]s marks a shift from concerns about personal potential and relationships to the natural world, to a focus on more profound forms of devotion and all-inclusive salvation. In the Christian, Muslim, and Sikh faiths, this manifested as subjection to God: salvation was not a personal achievement, but rather a token of God's grace to be earned by the devout. Eastern traditions like Buddhism and Hinduism, likewise, moved from their primary focus on individual liberation to more abstract ideals of liberation for all. In all, this era magnified and generalized ideals of love, compassion, and relief of human suffering that had little or no place in earlier philosophy.-->
<!--Prior to the expansion of the major [[universal religion]]s - from the first or second centuries BCE to the sixth century CE, depending on the faith - the meaning of life was investigated in terms of human potential and the relationship of individuals to the natural world. Devotion to god or gods was an important aspect of some traditions, but was generally viewed in terms of personal development (as in the [[#Hindu views|Hindu]] relationship between atman and brahman, or as a social relationship, as in the [[#jewish view|Jewish covenant]]). Other traditions relied heavily on reason, discipline, or the development of other human faculties, either as meaningful in their own right, or as tools to reach other decisions.-->
 
===Dini za Magharibi na Mashariki ya Kati===
====Uzoroastro====
[[Uzoroastro]] ni dini na falsafa inayopata jina lake kutoka kwa [[nabii]] wake [[Zoroaster]], ambayo ilishawishilabda iliathiri imani za [[Uyahudi]] na dini zilitokana na Uyahudi. Wazoroastro wanaamini katika ulimwengu na Mungu apitaye fikirafikra, [[Ahura Mazda]], ambaye [[ibada]] yote inaelekezwa kwake. Kiumbe cha Azhura Mazda ni asha, ukweli na mpango, naambao inazozanaunazozana na kinyume chake, druj, uwongo na machafuko. (Angalia pia Ueskatolojia wa Kizoroastro).
 
Kwa sababu ubinadamubinadamu unawana nia huruhiari, watuni lazima wawe na uwajibikaji kwa maadili wanayoyachagua. Kwa kutumia nia huruhiari, watu lazima wawe na jukumu tendaji katika mgogoro wa dunia zimanzima, wawe na mawazo mazurimema, maneno mema na matendo mema ili kuhakikisha furaha na kuepuka machafuko.
 
====Uyahudi====
Kipengele muhimu zaidi cha Uyahudi ni ibada ya [[Mungu]] mmoja anayejua yote, mwenye nguvu kuliko wote, ambaye ni [[mkarimu]] kila wakati, anayepita fikirafikra zote, na ambaye [[uumbaji|aliumba]] ulimwengu na anautawala. Kulingana na Uyahudi wa jadiawali, Mungu alifanya [[agano]] na watu wa Kiyahudi,[[Waisraeli]] katika Mlima wa[[mlima Sinai]], alipofafanuaalipowapa sheria zake na amri zake zinazopatikana katika [[Torati]]. Katika Uyahudi wa Kirabi, Torati inajumuisha maandishi ya [[Torati]] na sheria ya [[mapokeo ya mdomo]] (iliyonakiliwailiyoandikwa baadaye kama maandiko matakatifu).
 
Katika mtazamo wa ulimwengu wa Kiyahudi, maana ya maisha ni kumtumikia Mungu mmojapekee wa kweli na kujiandaa kwa [[ulimwengu ujao]].<ref name="Cohn-Sherbok">{{cite book |author=Dan Cohn-Sherbok |title=Judaism: History, Belief, and Practice |publisher=Routledge |year=2003 |isbn=0415236614}}</ref><ref name="Heschel">{{cite book |author=Abraham Joshua Heschel |title=Heavenly Torah: As Refracted Through the Generations |publisher=Continuum International Publishing Group |year=2005 |isbn=0826408028}}</ref> Fikira za "Olam Haba"<ref name="Shuchat">{{cite book |author=Wilfred Shuchat |title=The Garden of Eden & the Struggle to Be Human: According to the Midrash Rabbah |publisher=Devora Publishing |year=2006 |isbn=1932687319}}</ref> ni kuhusuInahusu kujiinua kiroho, kuunganikani namtu Mungukutumia katika"Olam kujiandaaHazeh" kwa(dunia ajilihii) yakwa "Olamkuunganika Haba";na FikiraMungu zana Kiyahudikujiandaa ni mtu kutumiakwa "Olam HazehHaba" (duniaulimwengu hiiujao) ili kujiinua mwenyewe.
<ref name="Braham">{{cite book |author=Randolph L. Braham |title=Contemporary Views on the Holocaust |publisher=Springer |year=1983 |isbn=089838141X}}</ref>
 
====Ukristo====
[[File:Das Jüngste Gericht (Memling).jpg|thumb|right|240px|[[Picha]] ya [[Hans Memling]] inayoitwa ''[[Hukumu ya Mwisho]]'', inayoonyeshainaonyesha [[Malaika mkuu]] [[Mikaeli]] akizipimaakipima nafsi na kuwafukuza waliohukumiwa kuelekea [[jehanamu]].]]
 
Ingawa [[Ukristo]] una mizizi yake katika Uyahudi, na unafanana sana na [[ontolojia]] ya Uyahudi, imani kuu ya Ukristo inatokana na mafundisho ya [[Yesu Kristo]] yaliyotolewa katika [[Agano Jipya]]. Kusudi la maisha kwa Mkristo ni kutafuta [[wokovu]] wa Kimungu kupitia [[neema]] ya Mungu iliyoletwa na [[Yesu]] ([[Injili ya YohanaYoh]] 11:26).
 
Agano Jipya linaongea kumhusukuhusu Mungu kutaka kuwa na uhusiano na binadamu wote katika maisha haya na maishayale yajao, jambo ambalo linaweza kufanyika tu kama [[dhambi]] za mtu zimesamehewa ([[Yoh]] 3:16-21), ([[2 Pet]] 3:9).
 
Katika mtazamo wa Kikristo, watu waliumbwa kikamilifukatika hali njema kwa mfano wa Mungu, lakini kuanguka kwao ([[dhambi ya asili]]) kulisababisha wanaozaliwa kuirithi dhambi hiyo.
 
Dhabihu[[Sadaka]] ya [[Yesu Kristo]] ya upendo, kifo na ufufuko hutoa njia ya kuishinda hali hiyo chafu ([[Rum]] 6:23).
 
Njia ya kufanya hivyo inatofautiana kati ya [[madhehebu]] mbalimbali ya Wakristo, lakini yote yanategemea imani katikakwa Yesu, kazi yake msalabani[[msalaba]]ni na [[ufufuko wa Yesu|kufufuka kwake]] kama msingi wa kuanza uhusiano mpya na Mungu. Chini ya mtazamo wa Ukristo, watu wanafanywa waadilifu kupitia imani katika [[kafara]] ya Yesu kufa msalabani.
 
[[Injili]] inahimizainafundisha kwamba, kupitia imani hiihiyo, kizuizi ambacho dhambi imeunda kati ya mtu na Mungu kinaondolewa, ili kumruhusu Mungu kuwabadilikuwageuza watu na kuweka ndani yao [[moyo mpya]] unaotii mapenzi yake, na uwezo wa kutii hivyo.
 
Hii ndiyo maana inayoashiriwa na maneno 'kuzaliwa upya' au 'kuokolewa'.
 
Jambo hili linatofautisha sana Ukristo na dini nyingine ambazo zinadai kwamba waumini ni waadilifu kwake Mungu kwa kushikamana na mwongozo au sheria tuliyopewawaliyopewa na Mungu.
 
Katika Mafunzo"[[Katekisimu]] Mafupi ya KiinjiliFupi ya [[Westminster]]", swali la kwanza ni: "Ni nini kikomo cha binadamu?" yaani, "Ni nini lengo kuu la binadamu?". Jibu ni: "Lengo kuu la binadamu ni kumtukuza Mungu na kufurahi naye milele. Mungu anahitajianataka mtu kutiiatii sheria ya maadili aliyomwonyesha akisema: tumpende Bwana Mungu wetu kwa moyo wetu wote, kwa roho yetu yote, kwa nguvu zetu zote, na kwa akili zetu zote; na majirani wetu kama sisi wenyewe".<ref>{{cite web |title=The Westminster Shorter Catechism |url=http://www.creeds.net/reformed/Westminster/shorter_catechism.html |accessdate=2008-03-21}}</ref>
 
Mafunzo ya InjiliKatekisimu ya [[Baltimore]] yanajibuinajibu swali, "Kwa nini Mungu amekuumba?" yakisemaikisema "Mungu ameniumba ili nimjue, nimpende na kumtumikia katika dunia hii, na kuwa na furahaheri pamoja naye milele mbinguni."<ref>{{cite web |title=The Baltimore Catechism |url=http://www.sacred-texts.com/chr/balt/balt1.htm |accessdate=2008-06-12}}</ref>
 
[[Mtume Paulo]] pia analijibualijibu swali hilihilo katika hotuba yake yakwenye Areopagus[[Areopago]] mjini Atheni[[Athene]]: "Kutokana na mtu mmoja (Mungu) alifanya kila taifa la wanadamu, kwambaili wanapaswa kuishiwaishi duniani kote; na akapima nyakati haswahasa zilizowekwa kwao na mahali ambapo wanapaswa kuishi. Mungu alifanya hivyo ili binadamu amtafute na labda kuuonyosha mkono njekama kwa ajilikupapasa yake naili kumpata, ingawa hayupo mbali kutokana kila mmoja wetummojawetu. ([[Mdo]] 17:26-27)<ref>[[Bible]], [[Acts]] 17:26-27, [[NKJV]]</ref>
 
====Uislamu====
Katika [[Uislamu]], lengo kuu la maisha ya binadamu ni kumtumikia [[Allah]] (kwa Kiarabu sawa na "Mungu") na kukaa na miongozo ya Kimungu iliyofafanuliwa katika [[Qur'an]] na [[Mapokeo ya Mtume]]. Maisha ya kiduniaduniani ni [[mtihani]] tu, kuamuaambao huamua maisha ya mtu baadaabaada ya kifo, katika Jannat (Mbinguni) au katika Jahannum (Kuzimu).
 
Kwa ajili ya radhi ya Mwenyezi Mungu, kupitia Qur'ani, lazima Waislamu wote waamini katika Mungu, ufunuo wake, malaika wake, wajumbe wake, na katika "Siku ya Kiyama".<ref>{{cite quran|2|4|style=ref}}, {{cite quran|2|285|style=ref}}, {{cite quran|4|136|style=ref}}</ref> Qur'an inaelezea madhumuni ya uumbaji kama ifuatavyo: "Heri yeye ambaye mkononi mwake ana ufalme, yeye ana nguvu juu ya kila kitu, ambaye aliumba mauti na uhai ili apate kuchunguza nani kati yenu ndiye bora katika matendo, na yeye ni mwenyezi, Mwenye kusamehe "(Qur'an67 :1-2) na" 'Mimi tu niliumba malaika na binadamu kuniabudu Mimi "(Qur'an 51:56). Ibada inashuhudia kuwepo kwa umoja wa Mungu katika uongozi wake, majina yake, na sifa yake. maisha ya Duniani ni mtihani; jinsi mtu anavyotenda huamua kama nafsi ya mtu inakwenda Jannat (Mbinguni) au Jahannam (Motoni).
 
[[Nguzo Tano za Kiislamu]] ni [[wajibu]] unaostahiliwa nawa kila Muislamu; yaani: [[Shahadah]] ([[ungamo la imani]]); [[Salah]] (Maombi); [[Zakah]] (ukarimu); [[Sawm]] (kufunga wakati wa Ramadhan) na [[Hajj]] ([[Hija]] kwenda [[Makka]]).<ref>{{cite encyclopedia | title=Pillars of Islam | encyclopedia=Encyclopaedia Britannica Online | accessdate=2007-05-02}}</ref> Zinatokana na maandiko ya [[Hadith]], hasa ya [[Sahih Al-Bukhari]] na [[Sahih Muslim]].
 
Imani ni tofauti kati ya Kalam. Dhana ya Kisunni ya mwisho wa safari iliyoamuliwa awali ni amri ya kimunguKimungu;<ref>{{Muslim|1|1}}</ref> aidha, dhana ya Kishi'a ya nafsi kuwa na mahali pa kwenda kabla ya kifo ni haki ya kimunguKimungu; katika mtazamo wa Kisufi unaoeleweka na wachache Ulimwengu upo tu kwa radhi ya Mungu; Uumbaji ni mchezo mkubwa, ambapo Mwenyezi Mungu ndiye tuzo kuu.<ref name="Yusuf Ali">{{cite book |author=[[Abdullah Yusuf Ali]] |title=[[Qur'an|The Holy Qur'an]] |publisher=Wordsworth Editions |year=2000 |isbn=1853267821}}</ref><ref name="Yusuf Ali" />
 
====Imani ya KibaháBahá'í====
[[Imani ya Kibahá'íBahai]] inasisitiza umoja wa ubinadamu.<ref>{{Citation | year = 2007 | title = "Bahaism." The American Heritage Dictionary of the English Language | volume = Fourth Edition | publisher = Houghton Mifflin Company | url = http://dictionary.reference.com/browse/bahaism}}</ref> Kwa Wabahá'í, madhumuni ya maisha yanalengani kukua kiroho na kutoa huduma kwa ubinadamu. Binadamu wanatazamwa kama viumbe wa kiroho kwa undani. Maisha ya watu katika dunia hii tunayoishi hutoa fursa zilizopanuliwa za kukua, kukuza sifa na fadhila za kimunguKimungu, na manabii walitumwa na Mungu kuwezesha hili.<ref>{{cite book |last = Smith |first = P. |year = 1999 |title = A Concise Encyclopedia of the Bahá'í Faith |publisher = Oneworld Publications |location = Oxford, UK |pages = 325–328|isbn = 1851681841 }}</ref><ref>For a more detailed Bahá'í perspective, see {{Citation | title = "The Purpose of Life" Bahá'í Topics An Information Resource of the Bahá'í International Community| url = http://info.bahai.org/article-1-4-0-6.html}}</ref>
 
===Dini za Asia ya Kusini===
====Falsafa za Kihindu====
[[File:Golden Aum.png|left|thumb|110px|[[Aum]] ya kidhahabu[[dhahabu]] iliyoandikwa katika [[Devanagari]]. Aum ni takatifu katika [[dini]] za [[Uhindu]], [[Ujaini]] na [[Ubuddha]].]]
 
[[Uhindu]] ni jamii ya kidini inayojumuisha itikadi na desturi nyingi. Kwa sababu Uhindu ulikuwa njia ya kuonyesha maisha yenye maana tangu jadi, wakati ambapo hapakuwa na haja ya kutaja Uhindi kama dini tofauti, mafundisho ya Uhindu ni nyongeza na yanayowiana kiasili, kiujumla yasiyo ya kipekee, yenye kudokeza tu na yenye maudhui ya kuvumiliana.<ref name=weightman>{{Harvard reference | author= Simon Weightman | year=1998 | title=The new Penguin handbook of living religions |editor = Hinnells, John (Ed.) | publisher= [[Penguin books]] |chapter= Hinduism | isbn=0-140-51480-5}}</ref>
 
Wengi wanaamini kwamba ātman (roho, nafsi), nafsi ya kweli waya mtu -, ni ya [[milele]].<ref name="monierwilliams">{{Harvard reference | author= [[Monier Monier-Williams]] | year=1974 | title=Brahmanism and Hinduism: Or, Religious Thought and Life in India, as Based on the Veda and Other Sacred Books of the Hindus | publisher= Adamant Media Corporation |url=http://books.google.com/books?id=U5IBXA4UpT0C&dq=isbn:1421265311 |accessdate=2007-07-08 |series=Elibron Classics | isbn=1421265311}}</ref>. KatikaKwa sehemu, hili linatokana na imani ya Kihindu kwamba maendeleo ya kiroho hufanyika katika maisha mengi, na malengo yanafaa kuwiana na hali ya maendeleo ya mtu binafsi. Kuna malengo manne ya maisha ya binadamu, yanayojulikana kama purusharthas (yamepangwa kutokakuanzia lile dogo ndogozaidi hadi ilelile kuu): Kama (kazi, upendo na radhi ya kingono), Artha (mali), Dharma (haki, maadili), na Moksha (ukombozi kutoka mzunguko wa kuzaliwa upya).<ref>For dharma, artha, and kama as "brahmanic householder values" see: Flood (1996), p. 17.</ref><ref>For the ''Dharma Śāstras'' as discussing the "four main goals of life" (dharma, artha, {{IAST|kāma}}, and moksha) see: Hopkins, p. 78.</ref><ref>For definition of the term पुरुष-अर्थ ({{IAST|puruṣa-artha}}) as "any of the four principal objects of human life, i.e. {{lang|sa|धर्म}}, {{lang|sa|अर्थ}}, {{lang|sa|काम}}, and {{lang|sa|मोक्ष}}" see: Apte, p. 626, middle column, compound #1.</ref>
 
Katika shule zote za Uhindu, maana ya maisha imefungwa ndani ya dhana za karma (kitendo chenye matokeo), samsara (mzunguko wa kuzaliwa na kuzaliwa upya), na moksha (ukombozi). Kuwepo kunaaminika kuwa maendeleo ya atman (sawa na dhana ya magharibi ya nafsi) kupitia vipindi vingi vya maisha , na maendeleo yake ya mwisho kuelekea ukombozi kutoka karma. Malengo hasa ya maisha kwa ujumlajumla husongeshwa chini ya (mazoea) pana ya yoga au dharma (kuishi kisahihi) ambayo yanakusudiwa kujenga kuzaliwa upyakupya kuzuri zaidi, ingawa hayo pia kwa ujumla ni matendo chanya katika maisha haya pia. Shule za jadi za Uhindu mara nyingi huabudu Madeva ambao ni dhihirisho ya Ishvara (Mungu wa kibinafsi au wa kuchaguliwa); Madeva hawa huchukuliwa kama aina zifaazo ili zitambuliwa kama aina ya kuboreka kiroho.
 
=====Uhindu wa Advaita na Dvaita=====
Shule za baadaye zilizitafsiri upya veda kuzingatia Brahman, "Yule BilaAsiye na Wa Pili",<ref name=bhaskaranandaessential>{{Harvard reference | last=Bhaskarananda | first=Swami | year=1994 | title=The Essentials of Hinduism: a comprehensive overview of the world's oldest religion | place=Seattle, WA | publisher=Viveka Press | isbn=1-884852-02-5}}</ref> kama kielelezo muhimu kinachomfanana Mungu.
 
Katika Advaita Vedanta ya kimoni, atman hatimaye hatofautishwihaitofautishwi na brahman, na lengo la maisha ni kujua au kutambua kwamba (nafsi) ya mtu ya atman inafanana na Brahman.<ref>{{Harvard reference | last= Vivekananda | first=Swami | authorlink=Swami Vivekananda | year=1987 | title=Complete Works of Swami Vivekananda | place=Calcutta | publisher= Advaita Ashrama | isbn=81-85301-75-1}}</ref>
Kwa Maupanishadi, yeyote anayefahamu kikamilifu atman, kama msingi wa ubinafsi, anajitambua na Brahman, na hivyo, anapata Mokasha (ukombozi, uhuru).<ref name="monierwilliams"/><ref name="werner">{{Harvard reference | last= Werner | first=Karel | year=1994 | title=A Popular Dictionary of Hinduism | place=Richmond, Surrey | editor = Hinnells, John (Ed.) | publisher= Curzon Press | chapter= Hinduism | isbn=0-7007-0279-2}}</ref><ref>See also the Vedic statement "ayam ātmā brahma" (This [[Ātman (Hinduism)|Atman]] is [[Brahman]])</ref>
 
Dvaita Vedanta yenye pande mbili na shule zingine za bhakti zina tafsiri yenye pande mbili. Brahaman anaonekana kama kiumbe kikuu chenye tabia na sifa wazi. Atman inategemea Brahman kwa kuwepo kwake; maana ya maisha ni kupata Moksha kupitia upendo wa Mungu na neema yake.<ref name="werner" />
 
=====Uvaishnavi=====
Tawi lingine la Uhindu ni Uvaishnavi , ambapo Vishnu ndiye Mungu mkuu. Si shule zote za Uvaishnavi ambazo hufunza maana ya maisha, lakini Gaudiya Vaishnavism, kwa mfano, hufunza Achintya Bheda Abheda inayomaanisha Kumuabudu Mungu tofauti na Mungu mmojapekee wa kweli na wakati uohuo huo ikitambua umoja muhimu wa nafsi zote, huku viumbe vyote hai ni sehemu za milele za Mungu mkuu aitwaye Krsna.
 
Si shule zote za Uvaishnavi ambazo hufunza maana ya maisha, lakini Uvaishnavi wa Kigaudiya unafunza, kwa mfano, Achintya Bheda Abheda kumaanisha kuabudu Mungu tofauti na mmoja wa kweli aitwaye Krsna huku vimube vyote hai ni sehemu za kimilele za Mungu mkuu aitwaye Krsna. Mtazamo wa kikatiba wa kimbekiumbe hai ni kumtumikia Mungu na upendo na kujali. Huduma bila malipo isiyositishwa na isiyosukumwa na chochote kwa Krsna na wafuasi wake ndiyo maana ya maisha katika hali uhuru. Sisi tupo katika Dunia ya kinafsi tukimtumikia Krsna kwa furaha huku tukifahamu vyema kuwa sisi ni roho za kinafsi na tunayo maisha ya milele. Kwa sababu ya kumchukia Krsna na kwa sababu ya mapenzi yetu ya kutaka kuwa na anasa m,bali na Krsnatupo katika Dunia hii ambapo tunapitia mzunguko unaojirudiarudia wa kuzaliwa, magonjwa, uzee na kifo katika miili tuliyopata ya spishi 8.4 za kimaisha, tukihama kutoka mwili mmoja hadi mwingine kulingana na karma yetu na mapenzi yetu.
 
Lengo la maisha ya binadamu haswa ni kufikiria zaidi ya njia ya kinyama ya kula, kulala, kufanya mapenzi na kulinda na kufuata akili ya juu zaidi ili kuanzisha upya uhusiano na Krsna, Baba yetu wa milele, ambaye kutoka kwake vyote vilitoka, ambaye ndiye mwezeshaji na mwenye kuangamiza. Maandiko yaliyoonyehswa kwetu kama vile Bhagavad-Gita na Srimad Bhagavatam yanafunza kuwa Sambandha (Mimi ni nani? Mungu ni nani? Uhusiano kati ya Mungu na mimi ni upi?) na Abhideya (mchakato wa kuanzisha uhusiano ulipotea na Mungu kupitia michakato 9 ya Bhakti - Huduma ya Maombi) na Prayojana - matokeo - kupata upendo wa Mungu. Mchakato rahisi zaidi ni kuimba maha Bhakti "Hare Krsna Hare Krsna KRsna Krsna Hare Hare - Hare Rama Hare Rama Rama Rama Hare Hare" pamoja na wafuasi wa Mungu. Huku maana ya maisha yakiwa kuanzisha upya uhusiano ulioisha na Mungu anayewapenda watu wote, lengo la uumbaji ni kutumia rasilimali kurudi nyumbani kwa Mungu, Dunia ya milele ya kinafsi inayoitwa Goloka Vrindavana - milki ya Mungu.
 
====Ujaini====
 
 
Ujaini ni dini iliyoanza katika Uhindi ya kale, mfumo wake wa kimaadili unakuza nidhamu ya kibinafsi kushinda yote mengine. Kupitia kuyafuata mafundisho ya kujiepusha na anasa zote, ya ujaini, binadamu anapata kutaalamika (maarifa kamili). Ujaini unaugawanya ulimwengu katika viumbe vilivyohai na visivyohai. Wakati tu visivyohai vinavyoshikilia vyenye uhai ndipo mateso hutokea. Kwa hivyo, furaha ni matokeo ya utekaji-kibinafsi na uhuru kutoka kwa vitu vya nje. Maana ya maisha basi huweza kusemwa kuwa kutumia mwili unaoonekana kupata utambuzi wa kibinafsi na neema..<ref>Shah, Natubhai. ''Jainism: The World of Conquerors.'' Sussex Academic Press, 1998.</ref>
=====Ubudha wa Mapema=====
Ubudha ni mafundisho yasiyo na pande mbili, ambapo kichwa, chombo, na hatua yote ni huonekana yakiwa si ya kweli.
 
Wabudha wanaamini kwamba maisha kwa undani yamejaa mateso au kuchanganyikiwa. Hilo si kumaanisha kwamba hakuna raha maishani, lakini kwamba raha hii haisababishi furaha ya milele. Mateso yanasababishwa na kuvishikilia vitu vinavyonekana na kuguzika au visivyoonekana na visivyokuguzika ambavyo mwishowe husababisha mtu kuzaliwa tena na tena katika mzunguko wa kuwepo. Sutra na tantra za Kibudha haziongei kuhusu "maana ya maisha" au "madhumuni ya maisha", bali huzungumzia kuhusu uwezo wa maisha ya binadamu wa kukomesha mateso kupitia kujiepusha na tamaa na kushikilia dhana fulani. Mateso yanaweza kushindwa kupitia shughuli za binadamu, tu kwa kuondoa sababu ya mateso. Kufikia na kutimiza kutopenda raha ni mchakato wa ngazi nyingi ambazo hatimaye matokeo yake ni hali ya Nirvana. Nirvana inamaanisha uhuru kutoka mateso na kuzaliwa upya.<ref>{{cite web|url=http://www.thebigview.com/buddhism/fourtruths.html |title=The Four Noble Truths |publisher=Thebigview.com |date= |accessdate=2009-11-06}}</ref>
 
 
=====Ubudha wa Kimahayana=====
Shule za Ubudha wa Kimahayana zinasita kusisitiza mtazamo wa jadi (ambao bado unatekelezwa katika Kitheravada) wa kuachiliwa kutoka Mateso (Dukkha) ta kibinafsi na kufikia Mwamko (Nirvana). Katika Mahayana, Budha huonekana kama kiumbe wa milele, asiyebadilika, asiyeeleweka, na ambaye yupo kila mahali. Misingi mikuu ya mafundisho ya Kimahayana imejikita katika uwezekano wa ukombozi kutoka mateso wa viumbe vyote, na kuwepo kwa Budha-asili apitaye fikira , ambaye ni kiini cha Budha wa milele aliopo, lakini aliyejificha na asiyetambulika, katika viumbe wote.{{Citation needed|date=Septemba 2009}}
 
Shule za kifalsafa za Ubudha wa Kimahayana, kama vile Chan / Zen na shule za Utibeti wa vajrayana na Shingon, hufunza wazi kwamba boddhisattva lazima wajiepushe na ukombozi kamili, wajiruhusu wenyewe kuzaliwa tena ulimwenguni hadi viumbe wote wapate kutaalamika. Shule za kiibada kama vile Ubhuda wa Ardhi Takatifu hutafuta msaada wa mabudha wa mbinguni - watu binafsi ambao wametumia maisha yao yote{{Citation needed|date=Septemba 2009}} wakikusanya karma chanya, na kuutumia mkusanyiko huo kuwasaidia wote.
 
====Kalasinga====
[[File:Khanda1.svg|thumb|110px|left|Ishara ya kidini ya Khanda, ambayo ni ishara muhimu ya dini ya Kalasinga.]]
 
Dini yenye Mungu mmoja ya [[Kalasinga]] ilianzishwa na [[Guru]] [[Nanak Dev,]]. nenoNeno "Kalasinga" linamaanisha mwanafunzi, kuashiria kwamba wafuasi wataishi maisha yao milele wakijifunza. Mfumo huu wa falsafa ya dini na kueleza imejulikana tangu jadi kama Gurmat (maana yake shauri la maguru) au Sikh Dharma. Wafuasi wa Kalasinga wametakaswa kuyafuata mafundisho ya maguru wa Sikh kumi, au viongozi wa kutaalamika, na pia maandiko matakatifu yaitwayo Gurū Granth Sāhib yanayojumuisha maandiko mbalimbali yaliyochaguliwa na wanafalsafa wengi kutoka mazingira mbalimbali ya kijamii, kiuchumi na kidini.
 
Maguru wa Kikalasinga hutuambia kwamba wokovu unaweza kupatikana kwa kuzifuata njia mbalimbali za kiroho, kwa hivyo si Wakalasinga pekee wanaopata wokovu: "Bwana anakaa ndani ya kila moyo, na kila moyo una njia yake yenyewe ya kumfikia."<ref name="Singh">{{cite book |author=Daljeet Singh |title=Guru Tegh Bahadur |publisher=Language Dept., Punjab |year=1971}}</ref> Wakalasinga huamini kwamba watu wote ni muhimu mbele ya Mungu.<ref name="Mayled">{{cite book |author=Jon Mayled |title=Modern World Religions: Sikhism |publisher=Harcourt Heinemann |year=2002 |isbn=0435336266}}</ref> Wakalasinga hupima maadili yao ya kitabia na ya kiroho na kuyatafuta maarifa, na lengo la kukuza maisha ya amani na usawa, na pia yenye hatua chanya.<ref>[http://www.sikhcoalition.org The Sikh Coalition]</ref>
Siri ya maisha na maana yake ni jambo linalorudiwa mara nyingi katika utamaduni maarufu, unaoonyeshwa katika burudani ya vyombo vya habari na aina mbalimbali za [[sanaa]].
 
[[File:Allisvanity.jpg|thumb|120px|''Yote ni bure'' ni, picha ya [[Charles Allan Gilbert na]], ni mfano wa ''vanitas''. Inaonyesha mwanamke akitazama uso wake katika kioo, lakini vyote vimepangwa ili kuifanya picha ya kifuvu kuonekana.]]
 
Katika mfululizo maarufu wa vitabu vya kuchekesha vya Douglas Adams kwa jina "The Hitchhiker's Guide to the Galaxy", Jibu la Swali Kuu la Maisha, Ulimwengu, na Yote lina ufumbuzi wa kinambari wa 42, ambayo Ilipatikana baada ya muda wa zaidi ya miaka milioni saba na nusu kupitia tarakilishi yenye nguvu kubwa kwa jina "Deep Thought". Baada ya kunganyika kwingi kutoka wazao wa waumbaji wake, "Deep Thought" anaelezea kuwa tatizo ni kuwa hawajui Swali Kuu, na ingewabidi kujenga kompyuta yenye nguvu zaidi ili kulibainisha. Kompyuta inaonyeshwa kuwa [[Dunia]], ambayo, baada ya kuhesabu kwa miaka milioni, inaharibiwa ili kuunda Barabara ya Kiulimwengu dakika tano kabla ya kukamilisha kufanya hesabu.<ref name="Yeffeth"/><ref name="Baggini" /><ref name="Badke"/><ref name="Adams H2G2 book1">{{cite book|title=[[The Hitchhiker's Guide to the Galaxy (book)|The Hitchhiker's Guide to the Galaxy]]|author=[[Douglas Adams]]|published=1979|isbn=0-330-25864-8|year=1979|publisher=Pan Books|location=London}}</ref> Katika Maisha, Ulimwengu na Kila kitu, inathibitishwa kwa kweli kuwa 42 ndilo Jibu Kuu, na kwamba haiwezekani kwa Jibu Kuu na Swali Kuu kujulikana katika ulimwengu mmoja, kwani zitafutana na kuuchukua ulimwengu, na kubadilishwa na kitu cha maajabu zaidi,(mhusika mmoja, Prak, anapendekeza kwamba hili huenda likawa limetokea tayari).<ref name="Adams H2G2 book3">{{cite book|isbn=0-330-26738-8|title=[[Life, the Universe and Everything]]|author=[[Douglas Adams]]|published=1982|year=1982|publisher=Pan|location=London}}</ref> Hatimaye, katika matumaini kwamba fahamu yake ina swali, Arthur Dent anajaribu kuliwaza swali, na anapata "unapata nini ukizidisha sita mara tisa?", Pengine ni dhana isiyosahihi, kwani kuwasili kwa "Golgafrinchans" katika Dunia ya kabla ya historia ingeharibu mchakato wa kuhesabu.<ref name="Adams H2G2 book2">{{cite book|title=[[The Restaurant at the End of the Universe]]|author=[[Douglas Adams]]|date=1 Januari 1980|isbn=0-345-39181-0|publisher=Ballantine Books|location=New York}}</ref> Hata hivyo, Dent, Fenchurch, na Marvin anayekaribia kufa waliona ujumbe wa mwisho wa Mungu kwa uumbaji wake: "Sisi tunaomba msamaha kwa shida tuliyowaletea".<ref name="Adams H2G2 book4">{{cite book|isbn=0-330-28700-1|title=[[So Long, and Thanks for All the Fish]]|author=[[Douglas Adams]]|published=1984|year=1985|publisher=Pan|location=London}}</ref>
Katika kipindi Kimoja cha "The Simpsons" kilichoitwa "Homer the Heretic", mfano wa Mungu unakubali kumwambia Homer maana ya maisha, lakini majina ya wahusika wa kipindi yanaanza kuonekana anapoanza kusema ni nini. Mapema katika kipindi hicho, Homer anaanzisha dini yake mwenyewe, ambapo anajaribu kumwabudu Mungu kwa njia yake mwenyewe, baadaye akimwwambia Moe kwamba dini hiyo haina kuzimu na haina kupiga magoti. Hata hivyo, Homer anaiacha kwa haraka dini yake ya anasa na ubinafsi baada baada ya nyumba yake kunusurika kuchomeka, akitafsiri moto kama ishara ya kulipiza kisasi kwa kimungu, na kuita "O Mwenye Nguvu za Kuumiza, nionyeshe nani wa kuumiza, naye ataumizwa." Ned anamfariji Homer kuwa moto haukuwa kisasi cha Mungu na Lovejoy anaelezea kwamba Mungu alikuwa "akifanya kazi katika mioyo ya marafiki na majirani wako walipokuja kukusaidia."<ref name="Pinsky">{{cite book|author=Mark I. Pinsky|title=The Gospel According To The Simpsons: The Spiritual Life Of The World's Most Animated Family|publisher=Westminster John Knox Press|year=2001|isbn=0664224199}}</ref>
 
Mwishoni mwa "The Matrix Revolutions", Smith anahitimsha kwamba "madhumuni ya maisha ni kuisha" na anakusudia kuharakisha lengo hilo.<ref name="Lawrence">{{cite book|author=Matt Lawrence|title=Like a Splinter in Your Mind: The Philosophy Behind the Matrix Trilogy|publisher=Blackwell Publishing|year=2004|isbn=1405125241}}</ref>{{page number}} [[The Matrix (series)|''The Matrix'' series]]. Mfululizo wa filamu wa "The Matrix" pia unatoa wazo la "wanaoishi katika ukweli uliobuniwa" na swali linalohusika na wazo hilo ikiwa kuwepo huko kunafaa kutazamwa kama kusiokuwa na maana, katika njia inayoweza kulinganishwa na Hadithi fupi yenye mafunzo ya pango ya Plato na jinsi baadhi ya mifumo ya imani hutazama ukweli, kama Ubuddha au Uaginostiki.<ref>Christopher Grau (2005). Philosophers Explore the Matrix. Oxford University Press.</ref>{{page number}}
 
==SeeTazama alsopia==
* [[Teleolojia]]
* [[Maisha]]
* [[Mtazamo wa Dunia]]
 
==ReferencesTanbihi==
{{reflist|2}}
 
* [http://www.mormon.org Answers to Life's questions] &ndash; by [[The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints]]
* [http://www.humanmindmap.net Human life on earth - A Spiritual Perspective] &ndash; by [[New age]]
 
--'''[[Mtumiaji:Perijove|Perijove]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Perijove|majadiliano]])''' 12:17, 21 Januari 2010 (UTC)
 
[[Jamii:Dini]]