Msitu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ainisha {{mbegu}} using AWB
kuswahilisha kidogo
Mstari 1:
[[Picha:Orman.JPG|right|thumb|220px|Msitu]]
'''MisituMsitu''' ni mkusanyiko wa uoto wa asiliasilia unaojumuisha miti ya aina mbalimbali, mimea na nyasimanyasi ambazoambayo huweza kuwa fupi au ndefu.
 
Mara nyingi [[wanyama]] mbalimbali wadogowakubwa na wadogo huishi na hutegemea uoto huo kwa kuwatimizia mahitaji yao kwa [[malazi]] na [[chakula]].
 
Hata hivyo maisha ya binadamu hutegemea [[mazingira]] yake yanayomzunguka katika kujikimu kwani kupitia misitu mvua hunyesha na hivyo kusababisha ustawi na ongezeko la chakula kwani asilimia kubwa ya watu hutegemea [[kilimo]] ili kujipatia mahitaji yao ya kila siku hasa katika nchi za [[Africa]] ambazo ziko nyuma sana katika nyanja ya utumiaji wa teknolojia za kisasa kama utumiaji wa [[zana]] bora bora za kilimo kama matrekta.