Msitu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Mara nyingi [[wanyama]] mbalimbali wakubwa na wadogo huishi na hutegemea uoto huo kwa kuwatimizia mahitaji yao kwa [[malazi]] na [[chakula]].
 
Hata hivyo maisha ya binadamu hutegemea [[mazingira]] yake yanayomzunguka katika kujikimu kwani kupitia misitu mvua hunyesha na hivyo kusababisha ustawi na ongezeko la chakula kwani asilimia kubwa ya watu hutegemea [[kilimo]] ili kujipatia mahitaji yao ya kila siku hasa katika nchi za [[AfricaAfrika]] ambazo ziko nyuma sana katika nyanja ya utumiaji wa teknolojia za kisasa kama utumiaji wa [[zana]] bora bora za kilimo]] kama [[matrekta]].
 
Hivyo katika kutimiza upatikanaji wa chakula kwa wingi ni lazima misitu ilindwe kwa nguvu zote katika ukuaji na ustawi wa [[jamii]].