Dini asilia za Kiafrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
A
Mstari 1:
'''Dini asilia za Kiafrika''' ni kati ya [[dini za jadi]] ambazo zinadumu hata leo, ingawa wafuasi wake wanapungua mwaka hadi mwaka kulingana na [[dini]] zilizotokea [[Mashariki ya Kati]], hasa [[Ukristo]] na [[Uislamu]].
{{umbo}}
Dini nyingi za kiafrika zilikuwa zikifuata imani sawa kabisa na tamaduni za ulaya na nchi za ughaibuni. tunajua kuwa waanzilishi wa dini za kigeni hawakutuletea kitu kipya ila baadhi yao walileta mfumo mpya wa kuabudu. Badala ya kuabudia mapangoni au misituni kama waafrika waliowengi, walituhimiza kujenga makanisa na misikiti kwa ajili ya kumwabudu mungu. madhehebu mengi ya kikristo yamekuwa yakiabudu mungu kupitia wafu wa kizungu. mfano, kwa waafrika waliwaenzi wazee wao waliokufa na kuwaita mizimu ya mababu. jina hilo lilitumika kama watakatifu kwa dini baadhi za kikristo mfani romani katoliki. Waafrika waliwaabudu wafu kwenye makabuli yao, lakini wazungu waliwaabudu wafu kanisani kwa kutaja sala zao pamoja na kusujudu picha za hao wafu. lakini si madhehebu yote yafanyayo hivyo.
Katika amri kumi, waafrika walikuwa nazo hata kabla ya kuja kwa wazungu, waliwaheshimu wazazi wao, hawakuua, kuiba au kufanya kinyume na maagizo ya wazee wao.tatizo ni kwamba, Mungu mwenyewe alitoa namna ya kumwabudu, hakutaka tumwabudu kupitia wafu au mizimu, bali tumwabudu kupitia roho mtakatifu yaani uweza wake mwenyewe.
Hata wanaojiita wakristo kwa sasa yawapasa kuwa makini na kutambua wanachokiabudu, haijalishi we ni mkristo wa dhehebu gani au wewe ni mwislamu, jaribu kuchunguza kama unamwabudu mungu kupitia wafu. maana hakuna mtakatifu aliyekufa na mungu akawaagiza muombe kupitia hao wafu.
Ukitaka kumwabudu mungu, fuata Amri zote kumi huku ukimtegemea yeye tu.
 
Dini za Kiafrika zinafuata [[imani]] maalumu, sawa kabisa na hizo za nchi za ughaibuni ambazo zimeleta mfumo mpya wa kuabudu. Badala ya kuabudia ma[[pango]]ni au [[msitu|misituni]] kama Waafrika walio wengi, zimehimiza kujenga ma[[kanisa]] na [[misikiti]] kwa ajili ya kumwabudu [[Mungu]].
Inchi za Kislamu Africa:
Inchi za kislamu Africa ni 20.
 
[[Madhehebu]] mengi ya Kikristo yamekuwa yakimuabudu Mungu kupitia wafu wanaoheshimiwa kama [[watakatifu]], wakati Waafrika tangu zamani waliwaenzi wazee wao waliokufa na kuwaita [[mizimu]]. Waafrika hao tangu zamani waliwaheshimu wafu kwenye ma[[kaburi]] yao, lakini baadhi ya Wakristo waliwaheshimu wafu kanisani kwa [[sala]] zao pamoja na kusujudu pengine [[picha]] za hao wafu.
Inchi muhimu ni Algeria(98%), Somalia(97%), Misri(Egypt)(95%), Guinea((85%) na Nigeia(70%).
 
Katika [[Amri Kumi]] za [[Biblia]], Waafrika kwa jumla walikuwa nazo hata kabla ya kuja kwa Wazungu: walijua kwamba imewapasa kuwaheshimu wazazi wao, kutoua, kutoiba wala kufanya kinyume na maagizo ya wazee wao.
Waislamu wana idhaa ya kijani na kiusi.Hasa kijani, kama Moskiti wa kijani.
 
Kwa mtazamo wa Kikristo, Mungu mwenyewe ndiye aliyewaandaa hivyo Waafrika kupokea [[wokovu]] kwa njia ya [[Yesu Kristo]], aliyekuja si kutangua bali kukamilisha yale yote yaliyo mema katika [[binadamu]] wote.
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:Dini za Afrika|*]]
 
[[en:Traditional African religion]]
 
[[sw:African religion - Inland Christian Church]]