Kimeng'enya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Triosephosphate isomerase.jpg|thumb|200px|Modeli ya kimeng'enya kinachoitwa TIM]]
 
'''KimengVimeng'enya''' ''([[ing.]] enzyme)'' ni [[molekuli]] yaza pekee yaza kibiolojia inayojengwazinazojengwa na mwili na kazi yakezao ni kichocheokuarakisha michakato cha kikemia mwilini. Mara nyingi ni [[protini]]. Kichocheo kinaharakisha [[mmenyuko wa kikemia]]. Kwa hiyo vimeng'enya vinasaidia kazi za mwilini kama [[mmeng'enyo]] wa chakula.
 
Mfano wake ni kimeng'enya cha [[amylasi]] kinachopatikana katika [[mate]] mdomoni. Kimeng'enya hiki kinavunja molekuli za [[wanga]] kuwa molekuli ndogo zaidi. Hizi molekuli ndogo zaidi zinaendedela kuvukwa tumboni lakini kazi ya tumbo imesharahisishwa kutokana na kimeng'enya katika mate.
 
Kuna pia vimeng'emya nje ya mmeng'enyo tumboni vina kazi kote mwilini ndani ya seli kwa mfano vinaendesha kunakiliwa kwa [[DNA]] wakati wa kuzaa.