Biotekinolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Biotekinolojia''' ni aina ya tekinolojia inayotumia viumbehai kwa manufaa ya kibinadamu nje ya ufugaji wa kawaida. Hutumiwa hasa katika kilimo,...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Biotekinolojia''' ni aina ya [[tekinolojia]] inayotumia elimu ya [[viumbehaibiolojia]] kwa manufaa ya kibinadamu. Ni elimu pana sana inayoanza kwenye shughuli za kuchachusha mkate au pombe hadi kutumia njemitambo ya ufugajihali waya kawaidajuu katika maabara za kisasa.
 
Jina latokana na maneno ya Kigiriki “βιος” (bios, uhai) na “τεγνικος” (technikos, matumizi).
Hutumiwa hasa katika [[kilimo]], uzalishaji wa vyakula na [[tiba]]. Viumbehai kama mimea, bakteria, homoni na kadhalika hutumiwa kwa kupata dutu, kemikali, mazao na bidhaa nyingine.
 
HutumiwaTekinolojia hii hutumiwa hasa katika [[kilimo]], uzalishaji wa vyakula na [[tiba]]. Viumbehai kama [[mimea,]] na [[bakteria]], homonidutu za kibiolojia kama [[vimeng'enya]] na kadhalika hutumiwa kwa kupata dutu, kemikali, mazao na bidhaa nyingine. Kuna pia maeneo mengine ambako biotekinolojia inafanyiwa majaribio.
 
Mara nyingi biotekinolojia hudhaniwa ilitokea juzijuzi tu kwa njia ya fani kama [[uhandisi jenetikia]]. Lakini hali halisi mbinu zake zimeshatumiwa tangu kale katika tamaduni zilizogundua njia za kufuga wanyama na kuzalisha mimea.
 
==Historia==
Tangu miaka mielfu watu walitumia mbinu za biotekiolojia kamakwa kutengeneza kutengenez mkate, divai au pombe. Watengenazaji walitumia maarifa wakatumia bakteria za [[hamira]] kwa matokeo yaliyotafutwa lakini bila kujua halihabari za viumbe vidogo sana waliowafanyia halisikazi walichotumiahii.
 
TnaguTangu kale watu walitumia bakteria ya [[kasini]] (chumvi ya maziwa) kwa kupata [[jibini]] na [[mtindi]].
 
Nje ya vyakula watu walitumia tangu kale dutu zenye [[vimeng'enya]] (mfano: samadi, mawi) kwaili kulainisha ngozi kwa matumizi ya nguo.
 
==Sayansi na biotekinoloia==
SayansiTangu yakutokea kisasakwa ilianza[[mikrobiolojia]] wataalamu walianza kutambua viumbehai vidogo sana yaani [[bakteria]] vinavyofanyazinazofanya kazi katika michakato hii. ElimuMaendeleo hiihaya iliruhusuyalitegemea kuteuakugunduliwa nakwa kuzalisha aina za bakteria n.k[[hadubini]]. ziazoleta matokeo mazuri zaidi kuliko zamani.
 
Katika karne ya 19 [[Louis Pasteur]] aliweza kutenganisha bakteria safi za [[asidi asetia]] na [[hamira]]. Baada ya kugundua utengaji wa aina za bakteria safi na kufanikiwa kuzifuga kulikuwa na msingi kwa [[chanjo]] za kwanza dhidi ya magonjwa. Hapo wataalamu kama Pasteur na [[Robert Koch]] walitenganisha bakteria za kusababisha magonjwa. Halafu waliingiza kiasi kidogo cha bakteria dhaifu za aina husika katika damu ya watu ziliposababisha mfumo wa kinga mwilini kujua bakteria hizi na kujenga kinga dhidi yao.
Elimu hii iliruhusu kuandaa chanjo mbalimbali dhidi ya magonjwa tena kwa wingi katika maabara makubwa na kutoa chanjo kwa wakazi wa nchi yote.
 
Tangu mwaka 1916 [[Chaim Weizmann]] <ref>Weizmann alikuwa baadaye rais wa Israel</ref> alitambua namna ya kutengeneza [[butanoli]] na [[asetoni]] kwa kutumia bakteria za clostridium acetobutylicum akatengeneza dutu hii kwa wingi wa ajili ya viwanda vya baruti wakati wa vita ya kwanza ya dunia.
 
Tangu 1920 [[asidi sitiriki]] iliweza kutengezewa kwa kutumia [[kuvu]] ya aspergillus niger. Mfano mwingine ni utengezaji wa [[amino asidi]] bakteria za corynebacterium glutamicum.
Katika karne ya 20 sayansi ilianza kuelewa kuwepo kwa [[DNA]] ndani ya [[seli]] za viumbehai. Utambuzi huu uliongeza uhakika wa uteuzi, ufugaji na uzalishaji kwa kutumia tabia zile tu zizotafutwa na kujulikana kwenye DNA.
 
Kuna mifano mingi mingine jinsi gani dutu ambazo ni muhimu katika michakato za kisasa viwandani zinapatikana kwa njia ya bioteknolojia.
Katika nusu ya pili ya karne ya 20 sayansi ilianza kuelewa kuwepo kwa [[DNA]] ndani ya [[seli]] za viumbehai na kutumia elimu hii. Utambuzi huu uliongeza uhakika wa uteuzi, ufugaji na uzalishaji kwa kutumia tabia zile tu zizotafutwa na kujulikana kwenye DNA.
 
Mfano ni kutengenezwa kwa mazao ambayo DNA imebadilishwa ili kutoambukizwa na magonjwa fulani ya mimea. Makampuni makubwa ya kilimo yamegundua mimea iliyobadilishwa DNA ambazo hazigonjeki kutokana na matumizi ya sumu ya madawa; yanauza mbegu ya mimea ya jeni zilizobadilishwa pamoja na dawa linalofaa pamoja naye. Hii inaongeza mavuno na pia mapato ya makampuni husika.
 
[[jamii:Biolojia]]