Ramadan (mwezi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kunyosha chanzo kidogo
kunyosha chanzo kidogo
Mstari 16:
Kuna wataalamu wanaoona ya kwamba kutokea kwa utaratibu wa kufunga mwezi mzima uliathiriwa na desturi ya kufunga katika [[Kanisa la Syria]]. Kufuatana na Bukhari, Waarabu asilia na Wayahudi wa Uarabuni kabla ya kuja kwa Uislamu walifunga kwa siku chache tu, kwa mfano siku ya [[Ashura]] <ref>Bukhari-Ibn-Ismail, AbdAllah-Muhammad. "Sahih Bukhari - Book 031 (The Book of Fasting), Hadith 222.". hadithcollection.com. Retrieved 19 July 2012.</ref>
<ref>Bukhari-Ibn-Ismail, AbdAllah-Muhammad. "Sahih Bukhari - Book 031 (The Book of Fasting), Hadith 223.". hadithcollection.com. Retrieved 19 July 2012.</ref>
[[<ref>Bukhari-Ibn-Ismail, AbdAllah-Muhammad. "Sahih Bukhari - Book 031 (The Book of Fasting), Hadith 220.". hadithcollection.com. Retrieved 19 July 2012.]]</ref>
 
==Kusoma Qurani==
Mstari 60:
Haya ni baadhi ya yanayotakiwa kufanywa na muislam, hasa awapo ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, hivyo basi tujihimu katika kuyatekeleza haya tuliyoelezwa na tumuombe Allah atutakabaliye matendo yetu “Amin”.
 
==Marejeo==
 
<references/>
 
{{mbegu-dini}}