Tofauti kati ya marekesbisho "Pasifiki"

4 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 182 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q98 (translate me))
Kuna visiwa zaidi ya 25,000 katika Pasifiki vingi ni vidogo sana.
 
Bahari za pembeni ziko hasa upande wa Asia / Australia. Kati ya hizo ni: [[Bahari ya Calebes]], [[Bahari ya Uchina ya Kusini]], na [[Bahari ya JapanMashariki]].
 
Jina la Pasifiki (Kilatini: yenye amani, yaani kimya) limetokana na Wazungu wa kwanza waliovuka bahari hii mwaka 1520 [[BK]] kutoka [[Amerika ya Kusini]] hadi [[Ufilipino]] wakaikuta kuwa ni bahari tulivu. Lakini Pasifiki inaweza kuwa na [[dhoruba]] kali sana. Ni eneo lenye [[tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] mengi yanayosababisha mawimbi haribifu ya [[tsunami]] ambayo yalimaliza miji na vijiji ufukoni.