Tofauti kati ya marekesbisho "Meno"

370 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
kunyosha lugha mwanzoni, picha mpya
(kunyosha lugha mwanzoni, picha mpya)
[[File:Cross sections of teeth intl.svg|thumb|300px|Meno]]
'''Meno''' ni viungo vya mwili vilivyopo mdomoni vyenye kazi ya kutafuna chakula.
'''Meno''' ni viungo vyenye asili ya mifupa vilivyo katika mataya ya [[viumbe vyenye uti wa mgongo]] vinavyotumika kwa kutafunia na kung'ata au kwa ajili ya kujilinda au kushambulia. Kwa [[banadamu]] meno hupatika [[kinywani]]. Kazi kubwa ya meno kwa binadamu ni katika [[umeng'enyaji wa chakula]] anachokula na mara chache katika kusaidia kukata vitu mbalimbali kama kutatua kitambaa au kukata kamba au waya. Binadamu ana aina mbalimbali za meno zinazomsadia kula vyakula vya aina mbalimbali kama vile vya mimea na wanyama. Kwa kawaida mtu mzima huwa na meno thelathini na mbili.
 
Meno hupatikana kwa [[vertebrata]] (wanyama wenye uti wa mgongo). Nje ya kutafuna chakula hutumiwa pia kama silaha za kujilinda au kushambulia wanyama wengine. Wanyama kadhaa huwa na meno nje ya mdomo kwa matumizi kama silaha (mfano: [[tembo]]) yanayoweza kutumiwa pia kama vifaa vya kuchimba (mfano: [[nguruwe-mwitu]]).
[[Picha:Aina za meno kinywani.jpg|thumb|250px|right|Aina za meno [[kinywani]]]]
 
'''Meno''' ni viungo vyenye asili ya mifupa vilivyo katika mataya ya [[viumbe vyenye uti wa mgongo]] vinavyotumika kwa kutafunia na kung'ata au kwa ajili ya kujilinda au kushambulia. Kwa [[banadamubinadamu]] meno hupatika [[kinywani]] tu. Kazi kubwa ya meno kwa binadamu ni katika [[umeng'enyaji wa chakula]] anachokula na mara chache katika kusaidia kukata vitu mbalimbali kama kutatua kitambaa au kukata kamba au waya. Binadamu ana aina mbalimbali za meno zinazomsadia kula vyakula vya aina mbalimbali kama vile vya mimea na wanyamanyama. Kwa kawaida mtu mzima huwa na meno thelathini na mbili.
 
[[Picha:Aina za meno kinywani.jpg|thumb|250px|right|Aina za meno [[kinywani]]]]
== Utangulizi ==
[[Umeng'enyaji wa chakula]] huanzia kinywani. Humo tunakitafuna kwa meno mpaka kiwe laini.
 
Binadamu huwa na aina mbili za meno. Tunazaliwa na mbegu za meno ya utoto yanayobadilishwa wakati wa kubalehe kwa meno ya kudumu. Kwa hiyo kuna [[wakaa]] mbili za meno.
 
Idadi ya meno ya utoto katika wakaa ya kwanza ni 20. Huanza kuota [[mtoto]] anapokuwa na umri wa miezi sita na kawaida yote huwa yamekwisha kuota mtoto anapotimiza umri wa miaka miwili.
 
[[Uyeyusho wa chakula]] huanzia [[kinywani]]. Humo tunakitafuna kwa meno mpaka kiwe laini. Kuna [[wakaa]] mbili za meno. Idadi ya meno katika wakaa ya kwanza ni 20. Huanza kuota [[mtoto]] anapokuwa na umri wa miezi sita na kawaida yote huwa yamekwisha kuota mtoto anapotimiza umri wa miaka miwili. Idadi ya meno katika wakaa ya pili ni [[thelathini na mbili]]. Huanza kuota katika umri wa miaka sita, yakakamilika katika umri wa miaka 18-20. Lakini mwingine huota upesi au hukawia.
 
== Aina za Meno ==
 
Umbo la meno hufuatana na [[kazi]] ambayo inayapasa kufanya. Meno yaliyopo katikati ya kila [[taya]] huwa na kingo kali za kukatia chakula. Haya huitwa [[meno ya kutatia]]kukatia au [[meno ya mbele]] ([[ing:]]incisors). (meno 8 ya kukatia, katika kila taya yapo meno 4). Meno yaliyofuata meno ya kukatia ni [[machonge]] (canine). Yapo machonge 4 kwa ujumla; katika kila taya kuna machonge 2. Kazi yake ni kurarua chakula. Meno yanayofuata [[machonge]] huitwa [[magego madogo]] (premolars) (jumla ya magego madogo ni 8; na katika kila taya yapo 4); na meno yanayoyafuata hayo huitwa [[magego]] (molars) (magego yate ni 12, na katika kila taya kuna magego 6. Magego madogo na magego ni kwa kusagia chakula. Katika wakaa wa kwanza huwa hakuna magego madogo.
 
== Muundo wa Jino ==
[[Picha:Tooth-anatomy.gifJino muundo.jpg|thumb|250px|right|Muundo wa jino]]
 
Meno hukaa kwa uthabiti ndani ya [[vitundu vya mataya]]. Kila jino lina sehemu mbalimbali. Sehemu ambayo huonekana kinywani ni [[kichwa cha jino]], na sehemu iliyomo ndani ya taya ni [[shina la jino]]. Karibu jino zima ni la [[pembe]]. Kichwa chake ni cha ufupa mgumu sana wenye rangi nyeupe ya kung’aa, nacho kwa [[lugha ya kitaalam]] huitwa [[enamel]]. Kazi yake ni kulinda [[pembe ya ndani]]. Pembe ya shina hulindwa na tabaka aina ya [[saruji]] ijulikanayo kwa jina la kitaalamu kama [[cementum]].