Sukari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 109 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11002 (translate me)
No edit summary
Mstari 14:
 
== Sukari kikemia ==
Aina zote za sukari ni sehemu ya dutu zinazoitwa [[kabohidrati]]. Wanakemia hujua aina mbalimbali za sukari. Sukari tunayotumia kama chakula huitwa [[sukrosi]] na fomula yake ni C<sub>12</sub>H<sub>22</sub>O<sub>11</sub>. Kuna pia sukari ndani ya [[matunda]] ambayo ni tofauti kikemia huitwa [[fruktosi]] (C<sub>6</sub>H<sub>12</sub>O<sub>6</sub>) inayosababisha utamu wa matunda.
 
Sukari jinsi inavyopatikana dukani huvunjwa tena mwilini. Kemia hutofautisha sukari aina za [[monosakaridi]] na [[disakaridi]]. Disakaridi ni molyekuli kubwa zaidi inayounganisha monosakaridi mbili. Monosakaridi ni sukari ya kimsingi inayoingia kwenye damu mara moja kwa mfano fruktosi. Hii ni sababu ya kwamba wanamichezo hula vidonge vya fruktosi au [[deksitrosi]] wakihitaji kuongeza nguvu haraka.