Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
45,237
edits
(kunyosha lugha mwanzoni, picha mpya) |
(nyongeza, masahihisho ya picha) |
||
[[File:
[[Picha:17 Walross 1999.jpg|120px|thumbnail|Meno ya hatari!]]
'''Meno''' ni viungo vya mwili vilivyopo
Meno hupatikana kwa [[vertebrata]] (wanyama wenye uti wa mgongo). Nje ya kutafuna chakula hutumiwa pia kama silaha za kujilinda au kushambulia wanyama wengine. Wanyama kadhaa huwa na meno nje ya mdomo kwa matumizi kama silaha (mfano: [[tembo]]) yanayoweza kutumiwa pia kama vifaa vya kuchimba (mfano: [[nguruwe-mwitu]]).
Kwa [[binadamu]] meno hupatika kinywani tu. Kazi kubwa ya meno kwa binadamu ni katika [[umeng'enyaji wa chakula]] anachokula na mara chache katika kusaidia kukata vitu mbalimbali kama kutatua kitambaa au kukata kamba au waya. Binadamu ana aina mbalimbali za meno zinazomsadia kula vyakula vya aina mbalimbali kama vile vya mimea na nyama. Kwa kawaida mtu mzima huwa na meno thelathini na mbili.
[[Picha:Aina za meno kinywani.jpg|thumb|250px|right|Aina za meno kinywani]]▼
== Utangulizi ==
▲[[Picha:Aina za meno kinywani.jpg|thumb|250px|right|Aina za meno kinywani]]
[[Umeng'enyaji wa chakula]] huanzia kinywani. Humo tunakitafuna kwa meno mpaka kiwe laini.
Binadamu huwa na aina mbili za meno. Tunazaliwa na mbegu za meno ya utoto yanayobadilishwa wakati wa kubalehe kwa meno ya kudumu. Kwa hiyo kuna
Idadi ya meno ya utoto katika wakaa ya kwanza ni 20. Huanza kuota [[mtoto]] anapokuwa na umri wa miezi sita na kawaida yote huwa yamekwisha kuota mtoto anapotimiza umri wa miaka miwili.
Idadi ya meno katika wakaa ya pili ni
== Aina za Meno ==
Umbo la meno hufuatana na [[kazi]] ambayo inayapasa kufanya. Meno yaliyopo katikati ya kila [[taya]] huwa na kingo kali za kukatia chakula. Haya huitwa meno ya kukatia au [[meno ya mbele]] (''[[ing:]]incisors''). (meno 8 ya kukatia, katika kila taya yapo meno 4).
Meno yanayofuata meno ya kukatia ni [[machonge]] (''canine teeth''). Yapo machonge 4 kwa ujumla; katika kila taya kuna machonge 2. Kazi yao ni kurarua chakula.
Meno yanayofuata [[machonge]] huitwa [[magego madogo]] (''premolars'') (jumla ya magego madogo ni 8; na katika kila taya yapo 4); na meno yanayoyafuata hayo huitwa [[magego]] (molars) (magego yote ni 12, na katika kila taya kuna magego 6. Magego madogo na magego ni kwa kusagia chakula. Katika wakaa wa kwanza huwa hakuna magego madogo.
== Muundo wa Jino ==
[[Picha:Jino muundo.jpg|thumb|250px|right|Muundo wa jino]]
Meno hukaa kwa uthabiti ndani ya [[vitundu vya mataya]]. Kila jino lina sehemu mbalimbali. Sehemu ambayo huonekana kinywani ni [[kichwa cha jino]] (tajino), na sehemu iliyomo ndani ya taya ni [[
Sehemu kubwa ya jino ni mfupa laini unaoitwa [[dentini]]. Dentini kwenye sehemu ya tajino au kichwa hufunikwa kwa [[gamba la jino]]. Kichwa ni cha ufupa mgumu sana wenye rangi nyeupe ya kung’aa unaoitwa [[enameli ya jino]]. Kazi yake ni kulinda mfupa laini zaidi ya ndani. Pembe ya shina hulindwa na tabaka aina ya [[saruji]] ijulikanayo kwa jina la kitaalamu kama [[sementi ya jino]] ''(ing. cementum)''.
Katikati hasa ya [[cementum]] na [[mfupa wa taya]] kuna utando, ambao unasaidia kukuza jina katika kitundu chake, nao (utando huo) hulingana na [[ufizi]].
== Magonjwa ya Meno ==
=== Kuoza kwa meno ===
Chakula cha hatari kwa meno ni baadhi ya kile chenye
=== Kiseyeye ===
|