Tajino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|Nafasi ya tajino kwenye muundo wa jino '''Tajino''' ni jina kwa kichwa cha jino katika elimu ya uganga wa meno. Nen...'
 
No edit summary
Mstari 4:
Sehemu ya tajino inafunikwa kwa [[enameli ya jino]] ambayo inafanya uso mgumu wa jino mwenye kazi ya kutafuna vyakula.
 
Kama tajino imeharibika daktari wa meno anaweza kuitengeza kwa kuongeza tajino bandia akitumia aina za saruji ya meno kama [[maligamu]] au metali.
<ref name="crown and bridge">{{cite web|title=American Dental Association Crown and Bridge|url=http://www.ada.org/productguide/c/125/Crown-and-Bridge|accessdate=2013-10-29}}</ref>