Sementi ya meno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|Nafasi ya sementi ya meno katika muundo wa jino '''Sementi ya jino''' ''(lat. cementum)'' ni dutu inayofanana na aina y...'
 
No edit summary
Mstari 3:
'''Sementi ya jino''' ''([[lat.]] cementum)'' ni dutu inayofanana na aina ya [[mfupa]] na kufunika uso wa [[dentini]] ya [[kizizi cha jino]]. Ni ganda nyembamba linalotunza dentini na kuishika katika [[ufizi wa meno]] na [[kitundu cha taya]].
 
Sementi hii inafanywa hasa kwa kampaundi ya [[kalisi]] inayoitwa [[apatiti hidroksili]] (Ca<sub>5</sub>[OH|(PO<sub>4</sub>)<sub>3</sub>]). Kama kampaundi zote za kalisi inaweza kuyeyushwa kwa [[asidi]] na hivi uchafu mdomoni unaoruhusu kustawi kwa [[bakteria]] zinazotengeneza asidi ni hatari kwa afya ya meno. Hapo ni sababu ya umuhimu wa kupiga mswaki na kusafisha [[meno]] mara kwa mara hasa kwa watu wanaotumia sukari katika chakula na vinywaji.
 
Sementi hii inaendelea kujengwa upya na seli za pekee.