Daktari wa meno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Picha:US Navy 040227-N-0000W-057 Navy Dental Officer Lt. Raul Barrientos, right, a native of El Salvador, provides care to a patient at U.S. Naval Dental Cent...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:US Navy 040227-N-0000W-057 Navy Dental Officer Lt. Raul Barrientos, right, a native of El Salvador, provides care to a patient at U.S. Naval Dental Center (USNDC) Far East.jpg|thumbnail|Daktari wa meno anapiga sindano kinywani kabla ya kuendelea na tiba]]
'''Daktari wa meno''' ni [[tabibu]] aliyesoma [[uganga wa meno]] hasa. Anahusika na utambuzi, kinga na tiba ya magonjwa [[kinywani]], si [[meno]] pekee.
 
Katika nchi nyingi za dunia daktari huyu anapaswa kusoma kwenye [[chuo kikuu]] angalau hadi kiwango wa [[bachelor]]. Nchi nyingine zinatambua pia masomo kwenye vyuo vya pekee visivyofikia kiwango hiki.