Mfalme Hezekia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mfalme Hezekia''' (kwa Kiebrania יְחִזְקִיָּ֫הוּ|H̱izkiyyahu, H̱izkiyya, Yeẖizkiyyahu|Ḥizqiyyā́hû, Ḥizqiyyā, Yəḥizqiyyā́h...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Åhus kyrka-10.jpg|thumb|right|Mfalme Hezekia alivyochorwa katika [[karne ya 17]] huko [[Åhus]], [[Sweden]].]]
'''Mfalme Hezekia''' (kwa [[Kiebrania]] יְחִזְקִיָּ֫הוּ|H̱izkiyyahu, H̱izkiyya, Yeẖizkiyyahu|Ḥizqiyyā́hû, Ḥizqiyyā, Yəḥizqiyyā́hû, '''Hizqiyyahu''' ben Ahaz, kwa [[Kigiriki]] Ἐζεκίας, ''Ezekias'') alitawala [[ufalme wa Yuda]] kati ya miaka [[729 KK]] na [[716 KK]] pamoja na [[baba]] yake [[mfalme Ahazi]], halafu peke yake hadi mwaka [[697 KK]], tena pamoja na [[mwana]]e Manase hadi [[kifo]] chake mwaka [[687 KK]].