Karatasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Paper 450x450.jpg|thumb|right|Laha ya karatasi]]
[[Picha:Zellstoff 200 fach Polfilter.jpg|thumb|right|[[Konge]] za [[ubao]] jinsi zinavyoonekana kwa [[hadubini]] ni chanzo cha karatasi]]
[[Picha:Jehovaszeugen-bethelselters-rota1991.jpg|thumb|right|Vikuto vya karatasi vyatumiwa kwenye [[machine]] kubwa za kuchapa]]
 
'''Karatasi''' (kutoka [[Kigiriki]] Χαρτί ''kharti'' kupitia [[lugha]] ya [[Kiarabu]] ''' قرطاص''' ''qartas'') ni [[laha]] bapa na nyembamba ya konge za mimea zilizokandamizwa na kushikanakushikamana. Watu huandika kwenye karatasi, [[vitabu]] na [[magazeti]] hufanywa kwa karatasi, natena vipande vikubwa vya karatasi hutumiwahutumika kwa kufunga vitu ndani yake. Karatasi hunywa kiowevu hivyo hutumiwa pia kwa shughuli za kusafisha.
 
Karatasi hunywa [[kiowevu]], hivyo hutumiwa pia kwa shughuli za kusafisha.
Karatasi hutengenezwa hasa kutokana na ubao uliosagwa lakini inawezekana kutumia konge za mimea mingine pia. Inawezekana kutumia pia karatasi iliyotumiwa kwa kutengezea karatasi mpya kwa mfano magazeti ya kale.
 
Karatasi hutengenezwa hasa kutokana na ubao uliosagwa lakini inawezekana kutumia konge za mimea mingine pia. Inawezekana kutumia pia karatasi iliyotumiwailiyokwishatumiwa kwa kutengezea karatasi mpya, kwa mfano magazeti ya kale.
Kwa matumizi mengine kuna pia karatasi nene kama bapa inayotumiwa kutengezea maboksi ya kubebea vifaa.
 
Kwa matumizi mengine kuna pia karatasi nene kama bapa inayotumiwa kutengezea maboksima[[boksi]] ya kubebea vifaa.
Watu wa kwanza wa kutengeneza karatasi walikuwa Wa[[china]].
 
Watu wa kwanza wa kutengeneza karatasi walikuwa Wa[[china]].
 
== Karatasi ya wadudu ==
Aina ya karatasi asilia hutengenezwa na [[nyigu]] na wadudu wengine kwa kujenga [[mzinga]] wao. Zinatafuta ubao ulioanza kuoza na kuitafuna halafu kuijenga kwa kuchanganya na [[mate]]. Inakauka kuwa kuta za mzinga na [[sega]].
 
== Kutengeneza karatasi ==
Ubao husagwa halafu kuchanganywa na maji kuwa aina ya [[uji]]. Karatasi ya kuandikia huongezwa madawama[[dawa]] ya kuondoakuondolea [[rangi]] yote ili karatasi inatokeaitokee nyeupenyeupe. Uji inatandikwahuo unatandikwa na kusukumwa kuwa laha bapa inayofaa kwa [[ukurasa]]. Baadaye kukatwahukatwa vipande-vipande jinsi vinavyotakiwa. Karatasi kwa matumizi kwenye mashine kubwa za kuchapa hutengenezwa mfululizo kwa umbo la kanda ndefu linaloviringishwa kuwa vikuto vikubwa. Mashine za kutengeneza karatasi hukausha uji la konge njiani kwa kuipasha joto.
 
Karatasi kwa matumizi kwenye mashine kubwa za kuchapa hutengenezwa mfululizo kwa umbo la kanda ndefu linaloviringishwa kuwa vikuto vikubwa. Mashine za kutengeneza karatasi hukausha uji wa konge njiani kwa kuipasha [[joto]].
Madawa mbalimbali huongezwa kwenye uji la karatasi kuipa sifa zinavyotakiwa kama uso wa kung'aa au rangi mbalimbali.
 
Madawa mbalimbali huongezwa kwenye uji lawa karatasi kuipa sifa zinavyotakiwa kama uso wa kung'aa au rangi mbalimbali.
 
Karatasi za kusafishia kwa mfano [[karatasi ya choo]] inatakiwa kuwa laini sana.
 
== Matumizi ya karatasi ==
Karatasi hutumiwa kwa madhuminima[[dhumuni]] mengi:
* Karatasi ya kuandikia hutumiwa kwa madaftari na laha zinazouzwa kwa [[rimu]]
* Karatasi ya kuchapisha vitabu na magazeti hutengenezwa kwa vikuto
* Karatasi ya kusafishia hutengenezwa pia kwa vikuto
* Karatasi kwaza [[pesanoti]] inatakiwa kudumu muda mrefu, hivyo inaungwa pia na nyuzi za [[metali]] zinazotakiwa kuifanyakufanya iwe vigumu kutengeneza [[pesa bandia]]
* Karatasi nene kiasi yenye rangi na [[bombwe]] hutumiwa kama mapamboma[[pambo]] ya [[nyumba]] ikipakwa kwenye kuta za nyumba
* Karatasi ni muhimu kwa kufunga [[bidhaa]] katika masandukuma[[sanduku]] ya karatasi nene
* Katika [[utamaduni]] wa [[Asia]] kuta za vyumba mara nyingi ni karatasi tu
 
== Historia ==
 
== Watangulizi wa karatasi ==
Hata kabla ya kupatikana kwa karatasi yenyewe, mataifama[[taifa]] mbalimbali walitengeneza laha kwa maandiko yao.
 
Katika [[Misri ya Kale]] [[papiri]] ilitumiwa kwa miaka maelfuelfu kadhaa. Ilitengenezwa kwa kutumia [[kiini]] laini yacha [[tete]] fulani (''Cyperus papyrus'').
 
Watu wa [[Meksiko ya Kale]] walitengeneza laha za [[amatl]]. Hapa walitumia ganda laini ya ndani ya miti[[mti]] aina zaya [[mibuyumbuyu]] lililochemshwa na kupigwa hadi kuwa laha.
 
==Karatasi kutoka China==
Karatasi yenyewe ilibuniwa nchini [[China]]. [[Waziri]] [[Tsai-Lun]] alieleza mnamo mwaka [[105]] mtindo[[mbinu]] waya kutengeneza karatasi katika kitabu chake. Mabaki ya [[hariri]] yalichanganywa na [[nguo]] zilizochakaa na [[utembo]] wa miti. Yote yalipondwa na kusagwa halafu kupikwa katika [[maji]] na kusafishwa. Nyuzi tupu zilizobaki zilichotwa kwa [[chujio]] halafu zikaslibiwazikasilibiwa ndani ya chujio na kukandamizwa na kukaushwa.
 
Kimsingi [[kazi]] ya kutengeneza karatasi nindivyo vileilivyo hadi leo.
 
Mataifa jirani walipokea [[ujuzi]] kuhusu karatasi kutoka kwa Wachina. Mnamo [[750]] wafungwa Wachina waliwafundisha [[Waarabu]] mtindo huu na kitabu cha kwanza kilichoandikwa juu ya karatasi kilipatikana [[Baghdad]] mnamo [[870]].
Kimsingi kazi ya kutengeneza karatasi ni vile hadi leo.
 
[[Wazungu wa Ulaya]] walipokea ujuzi huu kutoka kwa Waarabu ama waliotawala sehemu za [[Hispania.]] ama sehemu nyingine.
Mataifa jirani walipokea ujuzi kuhusu karatasi kutoka kwa Wachina. Mnamo 750 wafungwa Wachina waliwafundisha Waarabu mtindo huu na kitabu cha kwanza kilichoandikwa juu ya karatasi kilipatikana [[Baghdad]] mnamo 870.
 
[[Kiwanda]] cha kwanza cha [[Ulaya]] kilianzishwa [[Fabriano]] ([[Italia]]) kabla ya mwaka [[1264]].
Wazungu wa Ulaya walipokea ujuzi huu kutoka kwa Waarabu waliotawala sehemu za Hispania.
 
Tangu [[Johannes Gutenberg]] aliyebuniabuni mashine ya kuchapa vitabu, mahitaji ya karatasi yaliongezeka sana duniani.
 
Leo hii njia nyingine za kutunza [[kumbukumbu]] kama vile [[tarakilishi]] na [[mtandao]] zimeanza kupunguza umuhimu wa karatasi kama media ya habari.
 
[[Jamii:Malighafi]]
[[Jamii:Teknolojia]]
 
{{Link FA|de}}