Sentensi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
+kuifanya iwe kiwiki zaidi |
||
Mstari 1:
'''Sentensi''' ni kipashio kikubwa cha kimuundo ambacho kimeundwa na kirai nomino(KN) na kirai kitenzi(KT) ambacho hutoa taarifa fulani. kimsingi kirai nomino kinamiundo mbalimbali katika lugha ya
▲Sentensi ni kipashio kikubwa cha kimuundo ambacho kimeundwa na kirai nomino(KN) na kirai kitenzi(KT) ambacho hutoa taarifa fulani. kimsingi kirai nomino kinamiundo mbalimbali katika lugha ya kiswahili. miundo hiyo ni kama vile;
*Mfano wa nomino pekee:- '''mama''' anapika.
*Mfano wa nomino na kivumishi:- '''kijana mrefu''' amepotea.
*Mfano wa nomino na kibainishi:- ''juma bakari'' ni mwanafunzi.
==Aina za sentensi==
{{kuu|Tungo sentensi}}
*Sahili
*Shurutia
*Ambatano
*Changamano
==Muundo wa sentensi==
Sentensi huundwa kwa sehemu kuu mbili:
*[[Kiima]] (K)
*[[Kiarifu]] (A)
==Tazama pia==
*[[Lango:Lugha]]
*[[Tungo kishazi]]
{{aina za maneno}}
{{mbegu-lugha}}
[[Jamii:Sarufi]]
▲kuna aina kuu nne za sentensi nazo ni:
|