Tofauti kati ya marekesbisho "Namba atomia"

172 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 103 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q23809 (translate me))
'''Namba atomia''' inataja idadi ya [[protoni]] katika kiini cha atomi. Idadi ya protoni kwakawaida huwa sawa na idadi ya [[elektroni]] za ganda[[mzingo elektroni]] hivyo namba atomia inataja pia idadi ya elektroni.<ref>Lakini katika hali ya [[ioni]] atomi inaweza kupokea elektroni ya ziada kutoka nje au kuachana na elektroni.</ref>
 
Atomi zenye namba atomia ileile ni za [[elementi]] moja zikionyesha tabia zilezile za kikemia isipokuwa mara chache isotopi zinaweza kuwa na tofauti ndogo. Atomi zenye namba atomia ileile lakini zinazotofautiana katika masi kwa sababu ya tofauti katika idadi ya [[neutroni]] huitwa [[isotopi]] ya elementoelementi moja.
 
Katika [[mfumo radidia]] elementi hupangwa kufuatana na namba atomia.
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-sayansi}}