Kiini cha atomu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+kiungo
Mstari 12:
Ilhali karibu masi yote iko ndani ya kiini nafasi yake ni ndogo na sehemu kubwa ya nafasi ya atomi huchukuliwa na mzingo elektroni.
 
Kwa hali ya kawaida atomi haionyeshi [[chaji ya umeme]]. Ina chaji ndani yake kulingana na idadi ya protoni ambazo ni chanya na elektroni ambazo ni hasi. Katika hali ya kawaida idadi yao ni sawa kwa hiyo chaji zinajibatilishana. Lakini kama elektroni zinaondoka katika mzingo elektroniki hali inabadilika na atomi huonyesha chaji.
 
==Marejeo==