Mpira wa miguu : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
Content deleted Content added
d Robot: el:Ποδόσφαιρο is a featured article; cosmetic changes
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Angola vs Morocco 2013 AFCON.jpg|thumbnail|Mechi ya kananda Angola dhidi ya Moroko 2013]]
{{mergefrom|Soka}}
'''Mpira wa miguu''' (pia '''soka''' au '''kandanda''') ni mchezo unaochezwa na jumla ya wachezaji ishirini na wawili katika [[timu]] mbili husika, kila timu ikiwa na wachezaji kumi na mmoja. Lengo hasa la mchezo huu ni wachezaji kuumiliki mpira kwa kutumia miguu na kuuingiza mpira katika [[wavu]] wa wapinzani mara nyingi zaidi.
[[Picha:Football iu 1996.jpg|thumb]]
'''Mpira wa Miguu''', pia uitwao [[Soka]] au [[Kandanda]] ni aina ya [[mchezo]] wa mpira ambapo [[timu]] mbili za wachezaji kumi na mmoja hushindana kwa kupigania umiliki wa mpira na kuingiza mpira katika [[wavu]] wa wapinzani Wachezaji hucheza kwa miguu; pia wanaruhusiwa kutumia sehemu nyingine za mwili ila mikono hairuhusiwi kutumiwa. Mlinda mlango ndiye anayeruhusiwa kutumia mikono. Wachezaji wengine wanaweza kutumia mikono iwapo mpira ni wa kurushwa baada ya kutoka nje ya uwanja.
{{Wiktionary|kandanda}}
{{mbegu-michezo}}
== Tazama Pia ==
[[FIFA]]
 
Matumizi ya mikono ni marufuku isipokuwa kwa mlinda mlango katika eneo maalumu na wakati wa kurudisha mpira baada ya ya kutoka nje ya uwanja.
[[FIFA World Club Cup]]
 
==Historia==
[[C.A.F.]]
[[Ancient Greek Football Player.jpg|thumbnail|Mchezaji wa mpira wa miguu, [[Ugiriki wa Kale]]]]
Michezo mbalimbali ya kuchezea mpira inaweza kupatikana katika kila uwanja wa [[jiografia]] na historia. Wachina, Wajapani, Wakorea na Waitalia wote walikuwa wakicheza mpira zamani kabla ya enzi zetu. Wagriki na Waromania walitumia michezo hiyo kuwaandaa wapiganaji kabla ya vita. Hata hivyo, ni nchini [[Uingereza]] ambapo umbo la sokala kisasa lilianza kuipuka.
 
Ilianza wakati mashirikisho mawili (Shirikisho la Mpira wa miguu na Mpira wa [[Ragbi]]) yalitawanyika. Shirikisho la kwanza lilibakia [[Uingereza]]. Mnamo [[Oktoba]] 1963,Vilabu 11 vya [[London]] vilituma wawakilishi katika mkutano wa Freemason ili kujadili na kuweka kanuni zilizokubalika kusimamia mechi zilizochezwa kati yao.
[[FIFA Africa]]
 
Mkutano huu ulipelekea kuanzisha kwa [[Shirikisho la Kandanda]] (Football Association).
[[African Football Clubs]]
 
Miongoni mwa kanuni zilizowekwa ni zile za kukataa utumiaji wa mikono kushika mpira na kunyanganya kwa nguvu. Soka na Ragbi zilitawanyika mnamo tarehe hii.
[[FUFA]]
 
Miaka minane baada ya kuanzishwa, Shirikisho la Kandanda ([[FA]]) lilikuwa na wanachama 50. Shindano la kwanza la kandanda lilianza mwaka huo- [[Kombe la FA]]- ambalo lilifuatiwa na lile la [[Ligi ya Ubingwa]] miaka 17 baadaye. Wachezaji wawili wa Kilabu ya Darwin, [[John Dove]] na [[Fergus Suter]] walikuwa wa kwanza kulipwa kwa mchezo wao. Kitendo hiki kilikuwa mwanzo wa soka ya kulipwa iliyohalalishwa mnamo mwaka wa 1885. Mwamko huu ulipelekea kuanzishwa kwa Mashirikisho ya kitaifa nje ya Uingereza (Great Britain). Baada ya Shirikisho la Kandanda la Uingereza, Mashirikisho yaliyofuatia ni ya [[Uskoti]] (1873), [[Wales]] (1875) na [[Eire]] (1880).
[[Yanga FC]]
 
Kutokana na ushawishi mkuu wa Uingereza katika mataifa ya Dunia, Soka ilizambaa kote duniani.Mataifa mengi mengine yalianzisha Mashirikisho ya Kandanda kufikia 1904 wakati [[Shirikisho la Soka Duniani]] ([[FIFA]]) lilipoanzishwa. Tangia hapo, kandanda ya kimataifa imekuwa ikikua licha ya vikwazo mbalimbali. Kufikia 1912, [[FIFA]] ilikuwa na uanachama wa mashirikisho 21, idadi iliyoongezeka na kufika 36 kufikia 1925. Kufikia 1930- mwaka ambapo kwa mara ya kwanza kulikuwa na mashindano ya [[Kombe La Dunia]], [[FIFA]] ilikuwa na wanachama 41. Idadi hii ilizidi kuongezeka na kufika 51 mnamo 1938 na 76 kufikia 1950. Baada ya Kongamano la [[FIFA]] la mwaka 2000, kulikuwa na wanachama 204 na idadi hii inazidi kukua kila mwaka.
[[Soka]]
 
==Kanuni==
[[Jamii:Michezo]]
Maagizo ya Kandanda hupitiwa na kufanyiwa mabadiliko kila mwaka (Mwezi wa Julai) na [[Shirikisho la Kandanda Duniani]] ([[FIFA]]).<ref>Kanuni za Soka, www.fifa.com [http://www.fifa.com/mm/document/affederation/federation/81/42/36/lawsofthegameen.pdf]</ref>
[[Jamii:Mpira wa Miguu| ]]
 
==Uwanja==
{{Link FA|ar}}
[[Picha:Football pitch metric.svg|300px|thumbnail|right|Vipimo vya uwanja wa soka]]
{{Link FA|el}}
 
{{Link FA|en}}
 
{{Link FA|es}}
==Mpangilio wa wachezaji==
{{Link FA|fr}}
 
{{Link FA|hr}}
<ref>Soccer Formations, www.soccerhelp.com [http://www.soccerhelp.com/Soccer_Formation_Basics.shtml]</ref>
{{Link FA|ml}}
<ref>Formations, www.expertfootball.com [http://www.expertfootball.com/coaching/formations.php]</ref>
{{Link FA|vi}}
Kuna wachezaji wa aina tatu: Walinzi, [[wachezaji wa kiungo]] na [[wachezaji wa mbele]] au straika. [[Goli kipa]] au [[mlinda lango]] ni mmoja kati ya walinzi.
{{link FA|ko}}
 
Ni uamuzi wa [[kocha]] kuhusu idadi ya wachezaji wanaocheza kuwa walinda lango, wa kiungo au wa mbele, ikitegemea mfumo uliotumika. Mfumo wa 4-4-2<ref>Mfumo wa 4-4-2, www.soccer-training-guide.com [http://www.soccer-training-guide.com/soccer-formations.html]</ref> umekuwa maarufu miongoni mwa timu nyingi. Mfumo huu hujumlisha walinzi wanne pamoja na mlinda lango, wachezaji wanne wa kiungo na wawili wa mbele.
 
==Utunukizi wa Alama==
 
Katika ligi za kitaifa na kimataifa, alama hutunukiwa kwa timu baada ya mchezo. Timu iliyoshinda hupewa alama tatu huku timu zilizotoka sare hupewa alama moja kila moja.
 
Ikiwa ni lazima mshindi apatikane, hasa kwenye meji za finali, mchezo huwa na muda wa ziada kama timu hizo ziko [[sare]]. Iwapo sare hiyo huendelea mchezo huamuliwa kwa mikwaju ya [[penalty]].
 
==Shirikisho la Kandanda Duniani==
<ref>Kuhusu FIFA, www.fifa.com [http://www.fifa.com/aboutfifa/index.html]</ref>
[[Shirikisho la Soka Duniana]] ([[FIFA]]) ndili shirikisho kuu linalosimamia Kandanda duniani. Wanachama wake ni mashirikisho ya kandanda ya nchi mbalimbali. Kufikia mwaka wa 2000, lilikuwa na wanachama 204 kutoka pembe zote za dunia. Shirikisho hili huandaa mashindano mbalimbali ya soka kama vile [[Kombe la Dunia]] na pia huwatunuku wachezaji.
 
==Orodha ya Wachezaji Maarufu Duniani==
 
<ref>Orodha ya Wachezaji Maarufu wa Soka, www.soccer-fans-info.com [http://www.soccer-fans-info.com/famous-soccer-players.html]</ref>
Orodha ifuatayo inaonyesha baadhi ya wanasoka maarufu Duniani, lakini haiashirii usanjari huu kulingana na ubora. Wapo wengine wengi ambao hawajatajwa hapa.
 
*[[David Beckham]] wa [[Uingereza]]
*[[Franz Beckenbauer]] wa [[Ujerumani]]
*[[Gabriel Batistuta]] wa [[Arjentina]]
*[[Michael Ballack]] wa [[Ujerumani]]
*[[Pablo Aimar]]
*[[Carlos Tevez]]
*[[Lionel Messi]]
*[[Adriano]]
*[[Dennis Bergkamp]]
*[[Jared Borgetti]] wa [[Mexico]]
*[[Fabio Cannavaro]]
*[[Roberto Carlos]]
*[[Ronaldinho]]
*[[Deco]]
*[[Hernan Crespo]]
*[[Didier Drogba]]
*[[Michael Essien]] wa [[Ghana]]
*[[Samuel Eto]] wa [[Cameroon]]
*[[Luis Figo]]
*[[Steven Gerald]]
*[[Thierry Henry]] wa [[Ufaransa]]
*[[Oliver Kahn]], Kipa wa [[Ujerumani]]
*[[Ricardo Kaka]]
*[[Roy Keane]]
*[[Jurgen Klinsmann]]
*[[Miroslav Klose]]
*[[Frank Lampard]]
*[[Diego Maradona]]
*[[Michael Owen]]
*[[Alessandro Nesta]]
*[[Pele]]
*[[Robert Pires]]
*[[Rivaldo]]
*[[Robinho]]
*[[Romario]]
*[[Ronaldo]] wa [[Brazil]]
*[[Cristiano Ronaldo]]
*[[Wayne Rooney]]
*[[Ruud Van Nistelrooy]]
*[[Patrick Viera]]
*[[Zinedine Zidane]]
 
==Tazama Pia==
 
*[[Mpira wa Miguu]]
*[[Shirikisho la Soka Duniani]]
 
==Viungo vya Nje==
*[http://www.expertfootball.com/history/soccer_history_mediterran.php Historia ya Soka (Mediterran)]
*[http://www.expertfootball.com/history/soccer_derby.php Historia ya Soka (Derby)]
*[http://www.expertfootball.com/history/soccer_gaming.php Historia ya Mchezo wa Soka]
*[http://www.expertfootball.com/history/ajax_1970.php Historia ya Soka (Ajax, 1970)]
*[http://www.expertfootball.com/history/bul_1994.php Historia ya Soka(1994)]
*[http://www.expertfootball.com/history/soccer_history_far_east.php Historia ya Soka katika nchi za Mashariki ya Mbali]
*[http://www.youtube.com/watch?v=wIpyzKKMsgQ Soccer Tactics and Formations (Video)]
 
==Virejeleo==
{{reflist}}
 
[[Jamii:Mpira wa Miguu|!]]