52,022
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 22:
==Uwanja==
[[Picha:
Uwanja una umbo la [[mstatili]]. Hakuna kipimo kamili kanuni zinasema urefu ni baina [[mita]] 90 na 120, upana baina mita 45 na 90. Kwa michezo ya kimataifa urefu uwe baina mita 100 - 110 na upana baina mita 64 na 75.
Goli ziko kwenye pande fupi zaidi. Kuna alama ya bendera kwenye kona za uwanja. Mwaka 2008 IFAB ilijaribu kusanifisha vipimo kuwa mita 105 kwa 68 lakini kanuni hii ilipumzishwa baadaye.
Mstari ni mpaka wa uwanja. Wakati mpira uko kwenye mstari hata kwa kiasi kidogo unahesabiwa bado uko ndani ya wanja. Kwa goli kukubaliwa sharti mpira umepita mstari wa goli kabisa.
==Mpangilio wa wachezaji==
|