Tofauti kati ya marekesbisho "Kiebrania"

1 byte removed ,  miaka 8 iliyopita
no edit summary
No edit summary
[[Picha:Israel in Hebrew.svg|thumb|"jisraelYisra'el" ni neno "Israel" kwa lugha ya Kiebrania na kwa mwandiko wa Kiebrania]]
 
'''Lugha ya Kiebrania''' ni moja ya [[lugha za kisemiti]] na moja kati ya [[lugha]] mbili za kitaifa nchini [[Israel]] (pamoja na [[Kiarabu]]). Ni kati ya lugha za kale zaidi duniani.
Mwandiko wa lugha hiyo hufanywa kwa mwandiko wa pekee unaojulikana tangu miaka 3,000. Mwandiko huu ni wa konsonanti hasa, kwa kuwa mara nyingi vokali haziandikwi. Tabia hii ni sawa na alfabeti nyingine za [[Kisemiti]] kama [[Kiaramu]] au [[Kiarabu]].
 
Mfano: Jina la Abrahamu huandikwa "'''אַבְרָהָ֛םאַבְרָהָם'''" ambazo ni herufi "aBRHM" pekee; Alef ambayo ni herufi la kwanza tena si "a" kwa hakika. Vokali zinaweza kuonyeshwa kwa nukta na mistari chini ya herufi lakini mara nyingi haziandikwi.
 
{| border="2" cellpadding="4" cellspacing="0" style="margin: 1em 1em 1em 0; background: #f9f9f9; border: 1px #aaa solid; border-collapse: collapse; font-size: 95%;" style="text-align:center;" class="wikitable"
Anonymous user